Kafulila: Anayetaka kuwekeza TANESCO na aje,Tanzania inajengeka kwa Kasi mno mwaka 2050 tutahitaji zaidi ya Megawatt 60K wakati leo tuna Megawatt 4K

Hiyo Mwegawatt 4 k ilifija lini? Acheni uzindukaye, nchi ina 1.6k Mega watt na hitaji toshelezi ni 2.6+k MW
 
Huyu Kafulila mbona anawaza tofauti kabisa na viongozi wengine wa Serikali hii!!!!!!
Kafulila anakitu Cha ziada TISS mzingatieni huyu jamaa atawafaa sana huko mbeleni
Watanzania hawawapendi wale wasomi wenye ubunifu vichwani wanaishia kuwapiga vipapai.

Lakini huyu kwao Kigoma anayajua masuala hayo ya 'kienyeji'.
 
Unajua ukubwa wa rasilimali zilizopo katika ardhi ya Tanzania ambazo bado hazijatumika?. Punguza unyonge wa kujidharau.
 
Nadhani mfanye pia review ya bei ya umeme wa Tanzània kwani ni kubwa
 
Soma Tena uelewe vizuri. Muwekeza auwawekezaji wanatakiwa wajenge mitambo yao kuziba Hilo pengo la upungufu wa Mega watt 56 elfu.
Yaani Leo tunazo negawat 4 elf wawekezaji wajenge megawatt 56 elf zifikie jumla ya megawatt 60 elf
Sawa
 
Waruhusu unanzishwaji wa kampuni shindani, Tanesco imedumaa ichangamshwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…