Kafulila: Bei ya mafuta Nairobi ni ghali sana pamoja na Ruto kuwa Rais, Dar bei iko chini. Hongera Rais Samia

Njaa mbaya sana jmn [emoji848][emoji119]
 
Hivi hawa wanasiasa wskiwaga madarakani wanawaambia vijana wajiajiri vipi wao wana mitaji na wanashindwa kujiajiri?

Haya maisha ya kuishi kama fisi anadhani mkono wa binadamu utaanguka autafune, ni maisha ya aibu sana.
Shida kafulila kasema mafuta yameshuka bei?
 
Kwani Ruto alisema ana visima vya mafuta nyumbani kwake? Mwambieni Kafulila ndiyo imetoka hiyo. Ajiandae kumwangukia Mbowe tu, asitegemee kurudi....mkumbo ameshaanza taratibu na katiba kumtajataja samia haitamsaidia. ccm ina wenyewe
Kenya patawaka moto,
 
Naomba kujua CV ya kafulila wadau japo nasikia amesoma shybush.lakini nikifanya diagnosis Naomba Hali yake ni mbaya saana apewe ata Katibu tarafa.
 
Huyu dogo atafute usingizi apate akili mpya
 
Atuliye aache wenge.Ruto kaapishwa juzi angebadili nini kwa siku2?Awamu yake imepita atuliye.
 
Mdogo wangu Kafu..kafuge kuku wa mayai kwa miezi sita tu, utapiga hela hutaamini.

Changamoto jiandae kupambana na vibaka na yale mapaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…