Kafulila: Bei ya mafuta Nairobi ni ghali sana pamoja na Ruto kuwa Rais, Dar bei iko chini. Hongera Rais Samia

Kafulila: Bei ya mafuta Nairobi ni ghali sana pamoja na Ruto kuwa Rais, Dar bei iko chini. Hongera Rais Samia

Huyu jamaa anafananishq kenya na Tanzania ? Kule mlinzi wa kawaida analipwa laki nne ya Tanzania kwenda juu, utafananisha na Tanzania ambapo laki nne ni mshahara wa mwalimu na mlinzi analipwa mpaka elfu 80 !?
 
Back
Top Bottom