NdioKafulila sio saizi yako kabisa,
Fanya mambo yako ila Kafulila anayo record hata Wewe unaijua,Ndio
Tanzania mafuta yameshuka sana, lazima tukubali Rais Samia na January Makamba ni watu makini Sana.
CHADEMA MMEJIFICHA WAPI AU HAMNA MAGARI?
Kazi itaendelea vizuri tu,Hivi wewe unaweza pongezwa kwa wajibu wako?
Jukumu lao hilo hawapaswi kupongezwa wajichanganye wapandishe bei ndo watatoa maelezo ya kuridhisha
Tanzania mafuta yameshuka sana, lazima tukubali Rais Samia na January Makamba ni watu makini Sana.
CHADEMA MMEJIFICHA WAPI AU HAMNA MAGARI?
Upo mbali kabisa na mada, umeruhusu povu litawale akili yako kitu ambacho hakimfai kabisa mtu makini anayetumia jukwaa hili katika kujenga hoja na kuhabarisha na kuwa tayari kuhabarishwa na wengine.Kwani Ruto alisema ana visima vya mafuta nyumbani kwake? Mwambieni Kafulila ndiyo imetoka hiyo. Ajiandae kumwangukia Mbowe tu, asitegemee kurudi....mkumbo ameshaanza taratibu na katiba kumtajataja samia haitamsaidia. ccm ina wenyewe
Kwanini usitupe Wewe?
Hatushindani na kenya hapa bali tunaangalia maisha yetu, bei ya mafuta imeshuka nauli hazijashuka sasa imenisaidia nini mimi ninaetumia public transport?Tanzania mafuta yameshuka sana, lazima tukubali Rais Samia na January Makamba ni watu makini Sana.
CHADEMA MMEJIFICHA WAPI AU HAMNA MAGARI?
Kwa sababu uwezo wa kupandisha bei wanao, Ila uwezo wa kushusha bei ya mafuta hawana.Mbona yalipopanda bei ni hawa ndio mliwalaumu why kushuka wasio wao?
Tanzania mafuta yameshuka sana, lazima tukubali Rais Samia na January Makamba ni watu makini Sana.
CHADEMA MMEJIFICHA WAPI AU HAMNA MAGARI?
Usifananishe bei ya mafuta tu baina ya Tanzania na kenya vile vile fananisha na kima cha mshahara, kenya mshahara yao ni ya juu kuliko kwetu na uchumi wa kenya uko juu kuliko wetu mkitowa habari kama hizi mfanye utfiti kwanza hata ukichukuwa bei ya mkate kwa shilingi ya Tanzania utakuta iko juu kenya kuliko tanzania.Ngoja wanyooshwe kwanza hao kenge na huyo Hustler ..
Na siku Machadomo yakishika Nchi in case itakuja kutokea itawanyoosha maskini wa Sasa na wengine hadi akili ziwakae sawa maana yanaaminishwa ujinga na yanakubali..
Utasikia utitiri wa Kodi,sijui tozo na blaaa blaa zingine as if Chadomo hawatakusanya Kodi 😆😆
Wewe usiwe tumbili,Cost of living ya Kenya iko juu Sana kuanzia makazi hadi vyakula hakuna wali wa buku jero wala chumba Cha 20,000 kule.Usifananishe bei ya mafuta tu baina ya Tanzania na kenya vile vile fananisha na kima cha mshahara, kenya mshahara yao ni ya juu kuliko kwetu na uchumi wa kenya uko juu kuliko wetu mkitowa habari kama hizi mfanye utfiti kwanza hata ukichukuwa bei ya mkate kwa shilingi ya Tanzania utakuta iko juu kenya kuliko tanzania.
Kafulila anajikomba au anafafanua vitu kwa kina?Huyu jamaa wanpe hata U DC jamani maana si kwakujikomba huku