Kafulila: Bei ya mafuta Nairobi ni ghali sana pamoja na Ruto kuwa Rais, Dar bei iko chini. Hongera Rais Samia

Asante Sana Kafulila kwa Taarifa
 
Huu upumbavu wa kujilinganisha na wengine utakoma lini?,tujikite kwenye hali halisi ya maisha ya watu wetu kiuchumi
 
Mafuta yanapaswa kuuzwa chini ya 2400 per litre mkuu
 
Nitakuwa wa kwanza kupongeza Bei ikishuka ikarudi 1800 Kwa Lita ya Petrol .
 
Tunahitaji wanasiasa na viongozi wAliojikomboa kiuchumi ili tuwe na demokrasia imara na Viongozi wenye msimamo
 
Ww unadhani mpaka bei imeshuka Tz ni kwa sababu zipi?
 
unakuta bado kuna watu wanaamini wanasiasa na kuwatetea kwa nguvu zote!
 
Kuna kitu amesahau , ajaeleza hiyo Bei aliyoandika imetokana na nini..Ruto alivoingia madarakani tu Cha kwanza kaondoa ruzuku ya mafuta na kafanya ivo hata kwenye mahindi sababu yake kaona Ruzuku haina tija Bali ilikuwa inanufaisha watu wachache...ndio maana alisema Cha kwanza akiingia ni kupambana na cartel yaani hizi Bei zimekuwa kubwa coz ujanja wa wanaoodhi biashara ya mafuta ni mkubwa ndio wanasababisha Bei zipande.USISHANGAE SIKU CHACHE ZIJAZO BEI IKATELEMKA CHINI SANA.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Wewe kafulila aliyekutuma umwandame January makamba mara ndiye aliyekufukuzisha kazi
 
"Vijana mjiunge kwenye vikundi mpate mikopo ya kujiajiri'

Naipenda hii kauli huku mkewangu akiangaika na kesi za covid na yeye pa1 yakuwa bungeni bado anasaka teuzi.

Nchi tamu Sana hii
 
"Vijana mjiunge kwenye vikundi mpate mikopo ya kujiajiri'

Naipenda hii kauli huku mkewangu akiangaika na kesi za covid na hehe pa.oka yakuwa bungeni back anasak teuzi
Mikopo ni jambo jema Sana, wacha tujiunge vikundi vikundi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…