Kafulila: Bei ya mafuta Nairobi ni ghali sana pamoja na Ruto kuwa Rais, Dar bei iko chini. Hongera Rais Samia

Kwani Ruto alisema ana visima vya mafuta nyumbani kwake? Mwambieni Kafulila ndiyo imetoka hiyo. Ajiandae kumwangukia Mbowe tu, asitegemee kurudi....mkumbo ameshaanza taratibu na katiba kumtajataja samia haitamsaidia. ccm ina wenyewe
Rais aangalie waliotoka upinzani kwenye nafasi ya u-dc, naona sio waadilifu, ni wapigaji sana, ucheza na TV kujifanya wawajibikaji, kwa kuwa wengi hawajajengwa kimaadili ya kutumikia wananchi, utumia nafasi hizo kujitafutia fedha tu na kuwasumbuwa wananchi!
 
Kama wapo makini basi bei iendelee kushuka, maana kwa sasa huwezi sifia sana vile ina fluctuate...

Leo ni chini, mwezi ujao inaweza ikapaa juu na kuwa zaidi ya nchi nyingine hapa EAC
 
Anaanza kutafuta nafasi ya uteuzi, kabla hajaja na hilo pambio lake angetwambia kwa nini mafuta hayajawahi kupanda Zanzibar tangu hizi ngojera zianze. alafu ndo aje na habari za kina Ruto.
 
Kafulila ni jembe sana I see
 
Sasa Samia anaingia vipi kwenye mafuta?wakati mlituambia kupanda bei kumesababishwa na vita ya Ukraine,vita haijaisha sasa Samia anahusiika vipii? Uchawa ukizidi,Hawa jamaa wanaweza wakatoa hata..........!?
 
Hakika njaa ni kitu cha hatari sana ndugu zangu akina kafulila ni kama wameshakuwa mapunguani Fulani hv.
 
VIVA MAMA VIVA
 
Alishatenguliwa, akae atulize mshono, unadhani huyu mama ni kama yule mwendazake aliependa kusifiwa,!? Ulikuwa ukimsifia na kumpamba anakuhonga teuzi! Moja mujarab! Mama alishaziba masikio kwa huyu akalime chikichi tu na kuvua migebuka! Maana kiinua mgongo alipewa
 
Poor mind! Kila kitu watu wanafanya propaganda! Mnataja taja tu numbers! Fanyeni comparative analysis kwanini nchi flani iwe na bei hii au ile sio kutaja tu numbers kama machungwa!
 
Aangalie na levy inayochukuliwa na serikali kwenye mafuta 🏃🏽🏃🏽
 
Poor mind! Kila kitu watu wanafanya propaganda! Mnataja taja tu numbers! Fanyeni comparative analysis kwanini nchi flani iwe na bei hii au ile sio kutaja tu numbers kama machungwa!
Fanya Wewe hiyo Comparative analysis ulete tuone
 
haya bwana wapambe
 

Attachments

  • 5088765-4144b5d4a03045cc84c8ef764e3827fb.mp4
    4.3 MB
So what is Kenya standing as ur control reference?, Do it on multiple economy issues, big shame, a comparative syndrome shouldn't be so picky.
 
ndo wale wakufanisha dola na paundi....shame upon them....how dare you compare two different economy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…