Kafulila: Hata Ulaya ilijengwa kwa Mikopo toka Marekani Marshall Plan si dhambi kukopa ili kujenga miradi ya maendeleo kama SGR au JNHP

Kati ya marekan na ulaya wapi walianza kuendelea??
Huyu kiongozi vip

Wazungu kutoka ulaya ndo walioanzisha taifa la marekani
 
Hawana bando🀣🀣🀣
πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ Wamegoma hata kumchangia Lissu anunue gari la kifahari kwa ajili ya kuzurula nalo kwenye starehe zake binafsi. Na bado atawaomba hadi za mafuta maana viongozi wa CHADEMA walishaona wafuasi wao hawajitambui.
 
Hakika Mama anaupiga mwingi, sana
 
expand...
Kama ni maendeleo hata Mimi naunga mkono tukopetukope tukope

Hongera sana ndg yangu Kafulila naona nia yako ni njema Mungu akupe tarajio la moyo wako,

Hakika unanisaidia CCM na Rais Samia na Serikali,

Unajibu hoja kwaakili na kwa staha sana,

Hakika Umebarikiwa sana ndg yangu.

Nafuatilia maandiko yako yote hata usiku huu,

#Ubarikiwe, Ubarikiwe Ubarikiwe X7
 
Yaani united kingdom, German zilijengwa kwa mikopo Toka Marekani ?? Sawa Tumbili
Yes baada ya vita ya pili ya dunia ichi kama German na Great Britain zilikua dhohofuli hali kumbuka marekan yeye hakujihusisha na vita yoyote zaid ya kuwauzia siraha hapo ndo the rise and shine ya America brother
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…