Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
Yameanza kutukana matusi tu kama kawaida yao baada ya kuzidiwa na kushindwa kupanguwa hoja.Machadema naona yameanza kukimbia kusoma hoja za Kafulila
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yameanza kutukana matusi tu kama kawaida yao baada ya kuzidiwa na kushindwa kupanguwa hoja.Machadema naona yameanza kukimbia kusoma hoja za Kafulila
CCM Haina mpinzani kwenye hoja hata hivyo.Yameanza kutukana matusi tu kama kawaida yao baada ya kuzidiwa na kushindwa kupanguwa hoja.
CCM ni kama maji usipoyanywa utayaoga tuuuCCM Haina mpinzani kwenye hoja hata hivyo.
😆😆Nakuelewa Mzee wa KaziCCM ni kama maji usipoyanywa utayaoga tuuu
Hoja za Mheshimiwa David Kafulila zimekuwa nzito mpaka CHADEMA wamekwenda kujificha.😆😆Nakuelewa Mzee wa Kazi
Kule vichaa wengiYameanza kutukana matusi tu kama kawaida yao baada ya kuzidiwa na kushindwa kupanguwa hoja.
Hawana bando🤣🤣🤣Hoja za Mheshimiwa David Kafulila zimekuwa nzito mpaka CHADEMA wamekwenda kujificha.
Kati ya marekan na ulaya wapi walianza kuendelea??===
Mhe David Kafulila Mkurugenzi Mkuu wa Ubia nchi PPP amewatoa hofu na mashaka Watanzania kwani Serikali yao ya awamu sita chini ya Dkt Samia Suluhu Hassan ina nia na dhamira njema dhidi yao.
Kafulila akihojiwa Katika kipindi Cha Television amesema si kosa nchi kukopa kwaajili ya miradi ya maendeleo ila ni dhambi kukopa ili kugharamia mambo kama mishahara na mambo mengine yasiyo ya kimaendeleo yaani matumizi ya kawaida.
Kafulila ameenda mbali zaidi na kuwakumbusha namna Ulaya ilivyojengwa kwa misaada na mikopo toka Marekani ( Marshall Plan ) baada ya Vita kuu ya Pili ya Dunia miaka ya 1948.
Hata hivyo Mhe David Kafulila ameonesha si kweli kwamba Uchumi wa Tanzania unajengwa kwa Mikopo pekee ila ni Kwa sehemu tu,
Kafulila anasema, Tanzania kwa kipindi cha miaka mitatu imekopa fedha nje kiasi cha US$ 5 bilioni wakati Uchumi wake katika kipindi hicho umekua kwa kiasi cha US$ 20 bilioni sawa na tofauti chanya ya US$ 15 bilioni.
Mkurugenzi Mkuu huyo wa UBia amemsifu zaidi Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa jinsi alivyoipokea nchi na kwa kasi hii ya Uchumi ambayo hakuna nchi yoyote Africa Mashariki na Kati kwa miaka hii mitatu iliyofikia kiasi na kasi Kwa kiwango hiki kilichofikiwa na Tanzania ya Dkt Samia Suluhu.
=====
Sasa baada ya Vita ndio Ulaya ikapata shidaKati ya marekan na ulaya wapi walianza kuendelea??
Huyu kiongozi vip
Wazungu kutoka ulaya ndo walioanzisha taifa la marekani
Wako taabani CHADEMAHoja za Mheshimiwa David Kafulila zimekuwa nzito mpaka CHADEMA wamekwenda kujificha.
treni😂Kuhusu nini
😃😃😃 Wamegoma hata kumchangia Lissu anunue gari la kifahari kwa ajili ya kuzurula nalo kwenye starehe zake binafsi. Na bado atawaomba hadi za mafuta maana viongozi wa CHADEMA walishaona wafuasi wao hawajitambui.Hawana bando🤣🤣🤣
Wamejichokea akili zao.Wako taabani CHADEMA
Hakika Mama anaupiga mwingi, sana===
Mhe David Kafulila Mkurugenzi Mkuu wa Ubia nchi PPP amewatoa hofu na mashaka Watanzania kwani Serikali yao ya awamu sita chini ya Dkt Samia Suluhu Hassan ina nia na dhamira njema dhidi yao.
Kafulila akihojiwa Katika kipindi Cha Television amesema si kosa nchi kukopa kwaajili ya miradi ya maendeleo ila ni dhambi kukopa ili kugharamia mambo kama mishahara na mambo mengine yasiyo ya kimaendeleo yaani matumizi ya kawaida.
Kafulila ameenda mbali zaidi na kuwakumbusha namna Ulaya ilivyojengwa kwa misaada na mikopo toka Marekani ( Marshall Plan ) baada ya Vita kuu ya Pili ya Dunia miaka ya 1948.
Hata hivyo Mhe David Kafulila ameonesha si kweli kwamba Uchumi wa Tanzania unajengwa kwa Mikopo pekee ila ni Kwa sehemu tu,
Kafulila anasema, Tanzania kwa kipindi cha miaka mitatu imekopa fedha nje kiasi cha US$ 5 bilioni wakati Uchumi wake katika kipindi hicho umekua kwa kiasi cha US$ 20 bilioni sawa na tofauti chanya ya US$ 15 bilioni.
Mkurugenzi Mkuu huyo wa UBia amemsifu zaidi Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa jinsi alivyoipokea nchi na kwa kasi hii ya Uchumi ambayo hakuna nchi yoyote Africa Mashariki na Kati kwa miaka hii mitatu iliyofikia kiasi na kasi Kwa kiwango hiki kilichofikiwa na Tanzania ya Dkt Samia Suluhu.
=====
Its true aiseeKafulila is one of the best MP ever
Naunga mkono hoja. Ni miongoni mwa wabunge bora kabisa kuwahi kutokea hapa nchiniKafulila is one of the best MP ever
Daaahh😂😂
Tumblr chochea kuni Wakati wa kulipa Wajukuu zako watakuwa viongozi wa brundi 😂😂🔥🔥🔥
===
Mhe David Kafulila Mkurugenzi Mkuu wa Ubia nchi PPP amewatoa hofu na mashaka Watanzania kwani Serikali yao ya awamu sita chini ya Dkt Samia Suluhu Hassan ina nia na dhamira njema dhidi yao.
Kafulila akihojiwa Katika kipindi Cha Television amesema si kosa nchi kukopa kwaajili ya miradi ya maendeleo ila ni dhambi kukopa ili kugharamia mambo kama mishahara na mambo mengine yasiyo ya kimaendeleo yaani matumizi ya kawaida.
Kafulila ameenda mbali zaidi na kuwakumbusha namna Ulaya ilivyojengwa kwa misaada na mikopo toka Marekani ( Marshall Plan ) baada ya Vita kuu ya Pili ya Dunia miaka ya 1948.
Hata hivyo Mhe David Kafulila ameonesha si kweli kwamba Uchumi wa Tanzania unajengwa kwa Mikopo pekee ila ni Kwa sehemu tu,
Kafulila anasema, Tanzania kwa kipindi cha miaka mitatu imekopa fedha nje kiasi cha US$ 5 bilioni wakati Uchumi wake katika kipindi hicho umekua kwa kiasi cha US$ 20 bilioni sawa na tofauti chanya ya US$ 15 bilioni.
Mkurugenzi Mkuu huyo wa UBia amemsifu zaidi Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa jinsi alivyoipokea nchi na kwa kasi hii ya Uchumi ambayo hakuna nchi yoyote Africa Mashariki na Kati kwa miaka hii mitatu iliyofikia kiasi na kasi Kwa kiwango hiki kilichofikiwa na Tanzania ya Dkt Samia Suluhu.
=====
Kama ni maendeleo hata Mimi naunga mkono tukopetukope tukopeexpand...
Yes baada ya vita ya pili ya dunia ichi kama German na Great Britain zilikua dhohofuli hali kumbuka marekan yeye hakujihusisha na vita yoyote zaid ya kuwauzia siraha hapo ndo the rise and shine ya America brotherYaani united kingdom, German zilijengwa kwa mikopo Toka Marekani ?? Sawa Tumbili