Kafulila: Hata Ulaya ilijengwa kwa Mikopo toka Marekani Marshall Plan si dhambi kukopa ili kujenga miradi ya maendeleo kama SGR au JNHP

Kafulila mwamba sana apewe maua yake huyu Mgane😂😂
 
Hata sisi kupewa Mikopo kwa riba ya 1% au 0.5% kwa miaka 20 ni sawa na kupewa tu Pesa Bure
Hiyo inakuja na masharti ya jinsi ya kutumia. Mingine hadi inakutaka utumie makampuni yao kufanyia shughuli za hiyo mikopo. Na hawakukopeshi kujenga kitu cha maana. Ulaya ilikuwa inamiminiwa tu mapesa, pesa zao zilikuwa pegged na dola na waliweza kuchapa bila kuhatarisha inflation.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…