Yes To Yes
JF-Expert Member
- May 12, 2024
- 208
- 157
Sikiliza hoja zake mbona nakueleza hii ni mara ya piliKafanya lipi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sikiliza hoja zake mbona nakueleza hii ni mara ya piliKafanya lipi?
Wewe uliyemsikiliza tuambie tu hapa bila kupoteza MbSikiliza hoja zake mbona nakueleza hii ni mara ya pili
Sifanyi hiyo Kazi hata hivyo kama MB tu inakushinda basi unasafari ndefuWewe uliyemsikiliza tuambie tu hapa bila kupoteza Mb
Kwani hapa natumia Upepo au Mb?Sifanyi hiyo Kazi hata hivyo kama MB tu inakushinda basi unasafari ndefu
Soma kuhusu social inference, ostracism and human herdingMkuu unajua nini hebu tiririka tukusikie
Nadhani tiririka tu maswala ya kunirudisha shuleni na uzee huu ni kunionea tuSoma kuhusu social inference, ostracism and human herding
Then matter closedNadhani tiririka tu maswala ya kunirudisha shuleni na uzee huu ni kunionea tu
Daah jamaa amepambana sana huyu KafulilaTumbili tu
Au ndio hakuna kitu unajua??!!! 🤣🤣🤣Then matter closed
If you do not know where you are going any path Will take you there and that any decision you make in life you are responsible for itAu ndio hakuna kitu unajua??!!! 🤣🤣🤣
Sasa umeshindwa kufafanua?If you do not know where you are going any path Will take you there and that any decision you make in life you are responsible for it
Kila kitu ni hatuasawa wanakopa lakini angalia treni zao na zenu
Kafulila mwamba sana apewe maua yake huyu Mgane😂😂
Mhe David Kafulila Mkurugenzi Mkuu wa Ubia nchi PPP amewatoa hofu Watanzania kuwa Serikali yao ya awamu sita ina nia na dhamira njema dhidi yao.
Katika kipindi Cha DK 45 Cha ITV Kafulila amesema si kosa nchi kukopa kwaajili ya miradi ya maendeleo ila ni dhambi kukopa ili kugharamia mishahara na mambo mengine yasiyo ya kimaendeleo ( matumizi ya kawaida )
Kafulila ameenda mbali mpaka kuwakumbusha namna Ulaya ilivyojengwa kwa mikopo toka Marekani (MARSHALL PLAN ) baada ya Vita kuu ya Pili vya Dunia miaka ya 1948.
Hata hivyo Kafulila ameonesha si kweli kwamba Uchumi wa Tanzania unajengwa kwa Mikopo pekee ila ni Kwa sehemu tu,
Kafulila anasema, Tanzania kwa kipindi cha miaka mitatu tumekopa nje kiasi cha US$ 5 bilioni wakati Uchumi wetu katika kipindi hicho umekua kwa US$ 20 bilioni sawa na tofauti chanya ya US$ 15 bilioni.
Mkurugenzi Kafulila amemsifu zaidi Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa namna alivyoipokea nchi na kwa kasi hii ya Uchumi ambayo hakuna nchi yoyote Africa Mashariki na Kati kwa miaka mitatu imefikia kiasi na kiwango chake.
Ndoa zinamengi wewe acha tuKafulila mwamba sana apewe maua yake huyu Mgane😂😂
Ndio maana Mungu lazima awe mbele yetuNdoa zinamengi wewe acha tu
sawa wanakopa lakini angalia treni zao na zenu
Kuhusu niniSasa umeshindwa kufafanua?
Tumbili kabisaYaani united kingdom, German zilijengwa kwa mikopo Toka Marekani ?? Sawa Tumbili
Hiyo inakuja na masharti ya jinsi ya kutumia. Mingine hadi inakutaka utumie makampuni yao kufanyia shughuli za hiyo mikopo. Na hawakukopeshi kujenga kitu cha maana. Ulaya ilikuwa inamiminiwa tu mapesa, pesa zao zilikuwa pegged na dola na waliweza kuchapa bila kuhatarisha inflation.Hata sisi kupewa Mikopo kwa riba ya 1% au 0.5% kwa miaka 20 ni sawa na kupewa tu Pesa Bure