Yes To Yes
JF-Expert Member
- May 12, 2024
- 208
- 157
Sahihi kabisa Mungu ndio Kila kitu lazima awe wa KwanzaNdio maana Mungu lazima awe mbele yetu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sahihi kabisa Mungu ndio Kila kitu lazima awe wa KwanzaNdio maana Mungu lazima awe mbele yetu
Nadhani hilo la Makampuni yao limekatiliwa kwa Sasa hata wazawa wanaruhusiwaHiyo inakuja na masharti ya jinsi ya kutumia. Mingine hadi inakutaka utumie makampuni yao kufanyia shughuli za hiyo mikopo. Na hawakukopeshi kujenga kitu cha maana. Ulaya ilikuwa inamiminiwa tu mapesa, pesa zao zilikuwa pegged na dola na waliweza kuchapa bila kuhatarisha inflation.
Ndio maana pesa ya mkopo wa IMF au WB huwezi kuichezea kwa sababu hiyo miradi inasimamiwa na waoHiyo inakuja na masharti ya jinsi ya kutumia. Mingine hadi inakutaka utumie makampuni yao kufanyia shughuli za hiyo mikopo. Na hawakukopeshi kujenga kitu cha maana. Ulaya ilikuwa inamiminiwa tu mapesa, pesa zao zilikuwa pegged na dola na waliweza kuchapa bila kuhatarisha inflation.
Hebu tiriirika tukusikie mwana historiaMwanafunzi aliyesoma History (II) hawezi kulinganisha Marshal Plan na mikopo tunayoingia leo.
Marshal Plan walikuwa very strategic
Sahihi kabisaNdio maana pesa ya mkopo wa IMF au WB huwezi kuichezea kwa sababu hiyo miradi inasimamiwa na wao
Kumbe mmnajua aiseHiyo inakuja na masharti ya jinsi ya kutumia. Mingine hadi inakutaka utumie makampuni yao kufanyia shughuli za hiyo mikopo. Na hawakukopeshi kujenga kitu cha maana. Ulaya ilikuwa inamiminiwa tu mapesa, pesa zao zilikuwa pegged na dola na waliweza kuchapa bila kuhatarisha inflation.
Miradi yake si ya kuendeleza nchi. Huwezi kuta wamekukopesha ujenge kiwanda cha chuma au irrigation scheme. Utasikia kukuza demokrasia na blah blah nyingine zinazokufunga na madeni bila kufanyia kitu cha maana.Ndio maana pesa ya mkopo wa IMF au WB huwezi kuichezea kwa sababu hiyo miradi inasimamiwa na wao
Google utaonaHebu tiriirika tukusikie mwana historia
Mpango wa Marshall ulikuwa ni mpango wa Marekani wa kuijenga upya Ulaya baada ya Vita Vikuu vya Pili vya Dunia. Ilitangazwa mnamo 1947 na kutekelezwa hadi mwaka wa 1951, na lengo lake lilikuwa kuimarisha uchumi, kuzuia kuenea kwa ushawishi wa Kikomunisti, na kukuza amani na ushirikiano kati ya mataifa ya Ulaya. Mpango huu ulihusisha misaada ya kiuchumi na kiufundi kwa nchi zilizoathiriwa zaidi na vita hivyo.Hebu tiriirika tukusikie mwana historia
Marshall plan haukuwa mkopo wa kuendesha serikali za ulaya na kulipana posho.
Mhe David Kafulila Mkurugenzi Mkuu wa Ubia nchi PPP amewatoa hofu Watanzania kuwa Serikali yao ya awamu sita ina nia na dhamira njema dhidi yao.
Katika kipindi Cha DK 45 Cha ITV Kafulila amesema si kosa nchi kukopa kwaajili ya miradi ya maendeleo ila ni dhambi kukopa ili kugharamia mishahara na mambo mengine yasiyo ya kimaendeleo ( matumizi ya kawaida )
Kafulila ameenda mbali mpaka kuwakumbusha namna Ulaya ilivyojengwa kwa mikopo toka Marekani (MARSHALL PLAN ) baada ya Vita kuu ya Pili vya Dunia miaka ya 1948.
Hata hivyo Kafulila ameonesha si kweli kwamba Uchumi wa Tanzania unajengwa kwa Mikopo pekee ila ni Kwa sehemu tu,
Kafulila anasema, Tanzania kwa kipindi cha miaka mitatu tumekopa nje kiasi cha US$ 5 bilioni wakati Uchumi wetu katika kipindi hicho umekua kwa US$ 20 bilioni sawa na tofauti chanya ya US$ 15 bilioni.
Mkurugenzi Kafulila amemsifu zaidi Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa namna alivyoipokea nchi na kwa kasi hii ya Uchumi ambayo hakuna nchi yoyote Africa Mashariki na Kati kwa miaka mitatu imefikia kiasi na kiwango chake.
Marshall Plan ilitiwa Saini mwaka 1948 na ilikuwa ni mikopo sio grant,Mpango wa Marshall ulikuwa ni mpango wa Marekani wa kuijenga upya Ulaya baada ya Vita Vikuu vya Pili vya Dunia. Ilitangazwa mnamo 1947 na kutekelezwa hadi mwaka wa 1951, na lengo lake lilikuwa kuimarisha uchumi, kuzuia kuenea kwa ushawishi wa Kikomunisti, na kukuza amani na ushirikiano kati ya mataifa ya Ulaya. Mpango huu ulihusisha misaada ya kiuchumi na kiufundi kwa nchi zilizoathiriwa zaidi na vita hivyo.
Upekee wa Mpango wa Marshall ulikuwa katika mbinu yake ya kipekee ya kutoa misaada kwa nchi za Ulaya zilizohitaji ujenzi upya baada ya Vita Vikuu vya Pili vya Dunia. Badala ya kutoa misaada kwa nchi hizo kwa njia ya mikopo, Marekani iliamua kutoa misaada hii kwa njia ya misaada ya moja kwa moja, ambayo ilikuwa na masharti maalum. Hii ilisaidia kuhakikisha kwamba misaada hiyo haikuwa na mzigo wa deni kwa nchi husika na badala yake iliongeza uwezo wao wa kujenga upya uchumi wao na kuimarisha utulivu katika eneo hilo. Hii ilikuwa tofauti na mbinu nyingine za misaada ambazo zilijumuisha mikopo ambayo ilikuwa na gharama kubwa za kurejesha na ilikuwa na hatari ya kuongeza mzigo wa deni.
Motive behind Marshal Plan ni tofauti na tunachokifanya, hivi vitu havilingani.Marshall Plan ilitiwa Saini mwaka 1948 na ilikuwa ni mikopo sio grant,
Sasa kama Ulaya imejengwa kwa Mikopo why not Tanzania?
Havilingani kiaje hebu weka tofauti mkuuMotive behind Marshal Plan ni tofauti na tunachokifanya, hivi vitu havilingani.
Tatizo la Jf Kila mtu ni mwalimuHavilingani kiaje hebu weka tofauti mkuu
Kwanini ni Mwalimu?Tatizo la Jf Kila mtu ni mwalimu
Jf ni zaidi ya shule ya chuo kikuuKwanini ni Mwalimu?
Ndio maana Jf inaitwa Great thinker so hakuna mnyonge huku