Kafulila: Huenda tuna kizazi bora zaidi kaburini kuliko hiki kilichopo leo duniani

Sahihi kabisa
 
Big brain
 
Tanzania ina vijana wazuri
 
Aliyasema haya wakati alipokuwa na akili yake timamu. Bahati mbaya ukienda CCM, sharti la kwanza ni lazima uache akili kwanza.

Ukimwuliza Kafulila leo hii juu ya hayo aliyoyasema, atayakana kabisa, kwa sababu yeye mwenyewe amewezeshwa.
Daaah
 
Munguambaeiki
 
Ni ma
 
Ni maneno mazuri,ila kushangaa si sawa Kwa upande wake wakati anajua wapi tunakosea. Serikali ilitoa fedha za kujenga madarasa haya ya COVID 19,na waliataka ndani ya miezi mitatu yakamilike. Huo ubora utakuwepo?
Jambo lingine wakandarasi wanaombwa sana fedha kwenye miradi waliyopewa anafikiri nn kitatikea kama sio kuharibu kazi?
Hiki ni kizazi Bora ,mana kinakupa ubora kulingana na urefu wa kamba yko .
 
Aisee tumechoka uharo wa huyu mshkaji wenu tupumzisheni kidogo.

Kafulila this kafulila that,

Kila siku .

Tired of your uchawa.
 
Jengo la 1960 kutokuwa na nyufa ni kulingana na uaminifu wa wajenzi "kutokuchakachua " , sementi iliwekwa kiwango kinachotakiwa. Jengo la 2000 sementi iliibiwa ndio maana lina nyufa.
 
Tanzania bado Iko imara sana
 
Kafulila hajatwambia tatizo ni nini sasa!
Tatizo ni Chama tawala tu.
 
Thank you Sir
 
Umenena, tangu enzi yako ukiwa bungeni ulikuwa mtu wa point na busara. Unanikumbusha aliyelala kaburini kama JPM.
 
Kasahau kama kizazi cha leo ni zao la kizazi anachodhani ni bora
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…