Kafulila hukuwekeza kama wenzako akina Ally Happi utakuwa mpiga tarumbeta hadi lini? Unazeeka sasa!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Wenzako akina Happi wamewekeza kwenye kilimo na wanaajiri watanzania ili kuunyanyua Uchumi wa Nchi

Wewe David aka naniliu bado unadanda danda tu kwenye miti kutafuta mapera, unazeeka bwashee tumia akiba uliyojiwekea kwenye Ubunge, URAS na URC kufanya uwekezaji

Alhamis Ubarikiwe sana!
 
Muha gani hana akili ya kujishughulisha nje ya siasa,mbona Waha ni wafanyabiashara wazuri sana.Kila siku Mama Samia, Mama Samia.

Angekuwa anamuhitaji si angebaki madarakani,na kitu hajui ni kwamba Msoga Kingdom hawamtaki kwasababu ya sakata la ESCROW aliloliibuaga Bungeni na kuwaacha uchi akina Werema na vigogo wa serikali awamu ya nne.
 
Kafulila anasaidia Taifa na Wala sio mtu au kundi kama unavyoandika
 
Wenzako akina Happi wamewekeza kwenye kilimo na wanaajiri watanzania ili kuunyanyua Uchumi wa Nchi

Wewe David aka naniliu bado unadanda danda tu kwenye miti kutafuta mapera, unazeeka bwashee tumia akiba uliyojiwekea kwenye Ubunge, URAS na URC kufanya uwekezaji

Alhamis Ubarikiwe sana!
Kafulila ni inborn politician. Akiwa opposition na hata ccm. He is a political animal in nature. Mbunge+ RAS+ RC. hawezi kuacha kushiriki siasa kwasababu amezaliwa mwanasiasa.. na siasa sio maisha kwake bali platform ndio maana aliweza kuacha nafasi ya RAS kwenda kugombea ubunge akijua kabisa maslahi ya RAS ni makubwa na ya kudumu
IMG-20221117-WA0044.jpg
 
👆🏻kati ya vijana 12 kutoka africa kwenda USA special mission 2017, headline ilikuwa Kafulila, hapo hana ubunge wala udiwani baada ya kupoteza 2015
 
Muha gani hana akili ya kujishughulisha nje ya siasa,mbona Waha ni wafanyabiashara wazuri sana.Kila siku Mama Samia,Mama Samia...!
Angekuwa anamuhitaji si angebaki madarakani,na kitu hajui ni kwamba Msoga Kingdom hawamtaki kwasababu ya sakata la ESCROW aliloliibuaga Bungeni na kuwaacha uchi akina Werema na vigogo wa serikali awamu ya nne.
A true politician is always visible in national politics. Hata akistaafu akawa nyumban😂
 
Back
Top Bottom