Kafulila hukuwekeza kama wenzako akina Ally Happi utakuwa mpiga tarumbeta hadi lini? Unazeeka sasa!

Kafulila ni inborn politician. Akiwa opposition na hata ccm. He is a political animal in nature. Mbunge+ RAS+ RC. hawezi kuacha kushiriki siasa kwasababu amezaliwa mwanasiasa.. na siasa sio maisha kwake bali platform ndio maana aliweza kuacha nafasi ya RAS kwenda kugombea ubunge akijua kabisa maslahi ya RAS ni makubwa na ya kudumu
View attachment 2419182
Anaofanya kwa sasa sio Siasa ni Uchawa baada ya kupoteza fursa
 
Wenzako akina Happi wamewekeza kwenye kilimo na wanaajiri watanzania ili kuunyanyua Uchumi wa Nchi

Wewe David aka naniliu bado unadanda danda tu kwenye miti kutafuta mapera, unazeeka bwashee tumia akiba uliyojiwekea kwenye Ubunge, URAS na URC kufanya uwekezaji

Alhamis Ubarikiwe sana!

Si unajua watu wa Kigoma wabishi sana, si ajabu anajiona yeye bado bora sana na kutoa toa statistics za kusifia sifia ili ateuliwe tena, huenda anaona mbona Chalamila karudishwa, na mm lazima bana, hajui things don't go or work that way..!!

Msaidieni awaze kufanya kazi zingine, maana kama haamini kaondolewa uRC, kama vile anaota ha ha haaa, mpigie simu, mwambieni Kafulila, ww sio RC tena kama hajaelewa mtumie sms rangi nyekundu..!! 😂😂 mijitu mingine akili sifuri or negative kabisa, ila naona lile jina lake aliambiwa bungeni linabeba uhalisia kwa tabia yake Kafulila aisee..!! Asituaminishe ni tumbili kweli 😊
 
Afungue duka ameshindwaje muha Bill duka inaishije

Alfu Sasa alizoea Kuja kufatwa na v8 said mbili apelekwe ofcn Sasa HV akiamka anacheki sillingbord
 
Wenzako akina Happi wamewekeza kwenye kilimo na wanaajiri watanzania ili kuunyanyua Uchumi wa Nchi

Wewe David aka naniliu bado unadanda danda tu kwenye miti kutafuta mapera, unazeeka bwashee tumia akiba uliyojiwekea kwenye Ubunge, URAS na URC kufanya uwekezaji

Alhamis Ubarikiwe sana!
Wivu mtoto wa kiume utaacha linj?

Maisha yake unaendeshaga wewe?

Kafulila shikilia hapo hapo wakere zaidi Hadi waaibike
 
A. Happi mjanja sana aisee, yaan kagundua fika kuwa wakati haipo upande wake,, akaamua kuingia zake kilimoni tena as faster as does thunder!
 
Wenzako akina Happi wamewekeza kwenye kilimo na wanaajiri watanzania ili kuunyanyua Uchumi wa Nchi

Wewe David aka naniliu bado unadanda danda tu kwenye miti kutafuta mapera, unazeeka bwashee tumia akiba uliyojiwekea kwenye Ubunge, URAS na URC kufanya uwekezaji

Alhamis Ubarikiwe sana!
Kafulila ni mvivu sn hawezi kuwekeza chochote anasubiri uteuzi
 
Hivi ni sababu gani zilipelekea kutumbuliwa wakati ndie alikuwa Bingwa wa kusifia na kutoa siku saba 😆😀

Hebu guugo rimming alikuwa bingwa.

Nilicheka sana niliposikia amefukuzwa kazi.
 
Wenzako akina Happi wamewekeza kwenye kilimo na wanaajiri watanzania ili kuunyanyua Uchumi wa Nchi

Wewe David aka naniliu bado unadanda danda tu kwenye miti kutafuta mapera, unazeeka bwashee tumia akiba uliyojiwekea kwenye Ubunge, URAS na URC kufanya uwekezaji

Alhamis Ubarikiwe sana!
Wivu tu, na Ww kua chawa[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23]
 
Hivi ni sababu gani zilipelekea kutumbuliwa wakati ndie alikuwa Bingwa wa kusifia na kutoa siku saba 😆😀

Hebu guugo rimming alikuwa bingwa.

Nilicheka sana niliposikia amefukuzwa kazi.
Unamjua Rugemalira Bilionea!
 
Back
Top Bottom