johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
- #81
AG akikuita Tumbili ujue Mwenye shamba atakuwa makini sana na wewe!Ndie aliemsagia Kunguni?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AG akikuita Tumbili ujue Mwenye shamba atakuwa makini sana na wewe!Ndie aliemsagia Kunguni?
Tumbili awekeze ili iweje? Ataendelea kutafuta nyanya za akina HapinessWenzako akina Happi wamewekeza kwenye kilimo na wanaajiri watanzania ili kuunyanyua Uchumi wa Nchi
Wewe David aka naniliu bado unadanda danda tu kwenye miti kutafuta mapera, unazeeka bwashee tumia akiba uliyojiwekea kwenye Ubunge, URAS na URC kufanya uwekezaji
Alhamis Ubarikiwe sana!
SijakuelewaSometime wapinzani mislabeled sana kipindi cha Jpm kilikuwa cha kufa au kupona. Hakukua na intermediate
We ni mpuuzi RC analipwa 5.2M anaishi nyumba ya bure, ana utilities, ana perdiem, vikao kila siku, hata baaba ya kutolewa anapata kiinua mgongo siyo chini ya 50M, amekuwa mbunge, RAS kote huko hakupata pesa? shame on you3M unawekeza nini?
Ukimuona tumbili amepumzika ujue anaomboleza si muda msiba wake waja.Wenzako akina Happi wamewekeza kwenye kilimo na wanaajiri watanzania ili kuunyanyua Uchumi wa Nchi
Wewe David aka naniliu bado unadanda danda tu kwenye miti kutafuta mapera, unazeeka bwashee tumia akiba uliyojiwekea kwenye Ubunge, URAS na URC kufanya uwekezaji
Alhamis Ubarikiwe sana!
Sio kweli, lakiniRc 3m wakati DC and 5M?
Ukweli ni upi Mkuu?Sio kweli, lakini
Kafulila ni mtu makini sana hili hata Rais Samia Suluhu Hassan analijua hili Vema,Ukimuona tumbili amepumzika ujue anaomboleza si muda msiba wake waja.
Kwahiyo kuendelea kuruka ruka na kudandia vitu asivyokuwa na uwezo navyo ndo tabia yake halisi.
Nani huyo?Ndie aliemsagia Kunguni?
na pesa ya mke huwa ni ya moto utaila kwa matusi na kejeliPesa ya mke ni ya mke bali ya mme ni ya familia