johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kafulila anasaidia Taifa na Wala sio mtu au kundi kama unavyoandikaMuha gani hana akili ya kujishughulisha nje ya siasa,mbona Waha ni wafanyabiashara wazuri sana.Kila siku Mama Samia, Mama Samia.
Angekuwa anamuhitaji si angebaki madarakani,na kitu hajui ni kwamba Msoga Kingdom hawamtaki kwasababu ya sakata la ESCROW aliloliibuaga Bungeni na kuwaacha uchi akina Werema na vigogo wa serikali awamu ya nne.
Msikute mwenzenu kashajiunga na jamii ya mashoga ndio maana haachi kujikomba komba.... kila uchao mama Samia, mama Samia! Utadhani hana mengine ya kufanya. Anakera sana kwa kweli.
Pesa ya mke ni ya mke bali ya mme ni ya familiaAtumie hata hela ya Jesca waanzishe biashara ya lamba lamba
Kazi yake imsemeeMNATAMANI SANA RAIS SAMIA ASIWE NA WAKUMSEMEA
Kafulila ni inborn politician. Akiwa opposition na hata ccm. He is a political animal in nature. Mbunge+ RAS+ RC. hawezi kuacha kushiriki siasa kwasababu amezaliwa mwanasiasa.. na siasa sio maisha kwake bali platform ndio maana aliweza kuacha nafasi ya RAS kwenda kugombea ubunge akijua kabisa maslahi ya RAS ni makubwa na ya kudumuWenzako akina Happi wamewekeza kwenye kilimo na wanaajiri watanzania ili kuunyanyua Uchumi wa Nchi
Wewe David aka naniliu bado unadanda danda tu kwenye miti kutafuta mapera, unazeeka bwashee tumia akiba uliyojiwekea kwenye Ubunge, URAS na URC kufanya uwekezaji
Alhamis Ubarikiwe sana!
Maneno matupu hayasaidii taifa isiwe fallerKafulila anasaidia Taifa na Wala sio mtu au kundi kama unavyoandika
A true politician is always visible in national politics. Hata akistaafu akawa nyumban😂Muha gani hana akili ya kujishughulisha nje ya siasa,mbona Waha ni wafanyabiashara wazuri sana.Kila siku Mama Samia,Mama Samia...!
Angekuwa anamuhitaji si angebaki madarakani,na kitu hajui ni kwamba Msoga Kingdom hawamtaki kwasababu ya sakata la ESCROW aliloliibuaga Bungeni na kuwaacha uchi akina Werema na vigogo wa serikali awamu ya nne.