Kafulila hukuwekeza kama wenzako akina Ally Happi utakuwa mpiga tarumbeta hadi lini? Unazeeka sasa!


Hamna lolote, ni mzigo ndio maana katumbuliwa.
 
Salum Ally Happi anatoa funzo kubwa kwa Vijana kuwa ukiwa kwenye nafasi tumia pia kuwekeza. Kilimo na ufugaji anaofanya Happi ni WA kuwekeza Kweli Kweli sio wa mtaji wa kutegemea mbolea ya ruzuku. Jamaa alijipanga.
 
Naunga mkono hoja
 
Unafahamu shughuli ya kipato ya Kafulila ni nini?
 
Siasa ina hela bwasheh
Happi mwenyewe akirudishwa
Jembe analitupa kule
Au nyanya zake ana export nje [emoji1]

Ova
 
Ina maana hajui kama msoga ndio think tank ya maza?
 
Je, tunajua kila shughuli binafsi za Kafulila? Wengine huwa wanafanya kazi zao kimyakimya. Mnataka ajitangaze kwenye mitandao kama Ally Hapi?
 
MACHAWA SIKU ZOTE HAWAWEKEZI KWA AJILI YA AKIBA LAKINI KUNA YULE MBUNGE ASIYE NA CHAMA ataleta POSHO wanayolipwa na CCM
 
Heshima niliyokuwaga nampa Kafulila na Zito dah! Kweli wanasiasa sio wa kuwaamini aisee
 
Mkuu kafulila ni msukuma. Wazazi wake walihamia kigoma akazaliwa huko. Baba yake ni mwalimu.
 
Kafulila kingia juzi kwenye game la ccm akina Hapi wako miaka nenda rudi
 
Kafulila anafanya kile alichokuwa wanafanya akina Makala, Mwigulu n.k hata waliopotemwa waliendelea kusifu na baadae wakarudi kwenye gemu.

KAFULILA sio mjinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…