Anaofanya kwa sasa sio Siasa ni Uchawa baada ya kupoteza fursaKafulila ni inborn politician. Akiwa opposition na hata ccm. He is a political animal in nature. Mbunge+ RAS+ RC. hawezi kuacha kushiriki siasa kwasababu amezaliwa mwanasiasa.. na siasa sio maisha kwake bali platform ndio maana aliweza kuacha nafasi ya RAS kwenda kugombea ubunge akijua kabisa maslahi ya RAS ni makubwa na ya kudumu
View attachment 2419182
Ukiona hivyo ujue miti ya kimaisha imeanza kuteleza!... kila uchao mama Samia, mama Samia! Utadhani hana mengine ya kufanya. Anakera sana kwa kweli.
Sahihi kabisa, Kafulila anamtetea Mama,Kafulila kingia juzi kwenye game la ccm akina Hapi wako miaka nenda rudi
Wenzako akina Happi wamewekeza kwenye kilimo na wanaajiri watanzania ili kuunyanyua Uchumi wa Nchi
Wewe David aka naniliu bado unadanda danda tu kwenye miti kutafuta mapera, unazeeka bwashee tumia akiba uliyojiwekea kwenye Ubunge, URAS na URC kufanya uwekezaji
Alhamis Ubarikiwe sana!
Wivu mtoto wa kiume utaacha linj?Wenzako akina Happi wamewekeza kwenye kilimo na wanaajiri watanzania ili kuunyanyua Uchumi wa Nchi
Wewe David aka naniliu bado unadanda danda tu kwenye miti kutafuta mapera, unazeeka bwashee tumia akiba uliyojiwekea kwenye Ubunge, URAS na URC kufanya uwekezaji
Alhamis Ubarikiwe sana!
Kafulila anayo hela ya Kula Ila sio Mwizi aiseAfungue duka ameshindwaje muha Bill duka inaishije
Alfu Sasa alizoea Kuja kufatwa na v8 said mbili apelekwe ofcn Sasa HV akiamka anacheki sillingbord
Kafulila ni mvivu sn hawezi kuwekeza chochote anasubiri uteuziWenzako akina Happi wamewekeza kwenye kilimo na wanaajiri watanzania ili kuunyanyua Uchumi wa Nchi
Wewe David aka naniliu bado unadanda danda tu kwenye miti kutafuta mapera, unazeeka bwashee tumia akiba uliyojiwekea kwenye Ubunge, URAS na URC kufanya uwekezaji
Alhamis Ubarikiwe sana!
Sio Mwizi ni kweli,Kafulila ni mvivu sn hawezi kuwekeza chochote anasubiri uteuzi
Alikuwa halipwi mshahara? mpuuzi tupuSio Mwizi ni kweli,
3M unawekeza nini?Alikuwa halipwi mshahara? mpuuzi tupu
Nyie wanaccm ndio mnafaidiSerikali yetu imeshageuzwa mtambo wa kurecycle watendaji wake.
Rc 3m wakati DC and 5M?3M unawekeza nini?
Sometime wapinzani mislabeled sana kipindi cha Jpm kilikuwa cha kufa au kupona. Hakukua na intermediateKafulila ni mvivu sn hawezi kuwekeza chochote anasubiri uteuzi
Wivu tu, na Ww kua chawa[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23]Wenzako akina Happi wamewekeza kwenye kilimo na wanaajiri watanzania ili kuunyanyua Uchumi wa Nchi
Wewe David aka naniliu bado unadanda danda tu kwenye miti kutafuta mapera, unazeeka bwashee tumia akiba uliyojiwekea kwenye Ubunge, URAS na URC kufanya uwekezaji
Alhamis Ubarikiwe sana!
Unamjua Rugemalira Bilionea!Hivi ni sababu gani zilipelekea kutumbuliwa wakati ndie alikuwa Bingwa wa kusifia na kutoa siku saba ππ
Hebu guugo rimming alikuwa bingwa.
Nilicheka sana niliposikia amefukuzwa kazi.
Ndie aliemsagia Kunguni?Unamjua Rugemalira Bilionea!