Kafulila hukuwekeza kama wenzako akina Ally Happi utakuwa mpiga tarumbeta hadi lini? Unazeeka sasa!

Tumbili awekeze ili iweje? Ataendelea kutafuta nyanya za akina Hapiness
 
Ukimuona tumbili amepumzika ujue anaomboleza si muda msiba wake waja.

Kwahiyo kuendelea kuruka ruka na kudandia vitu asivyokuwa na uwezo navyo ndo tabia yake halisi.
 
Ukimuona tumbili amepumzika ujue anaomboleza si muda msiba wake waja.

Kwahiyo kuendelea kuruka ruka na kudandia vitu asivyokuwa na uwezo navyo ndo tabia yake halisi.
Kafulila ni mtu makini sana hili hata Rais Samia Suluhu Hassan analijua hili Vema,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…