Kafulila: Ifikapo mwaka 2050 kipato cha kila Mtanzania kitakuwa kati ya TZS 12M na 20M pato la Taifa litafikia $700bn mara 9 zaidi ya leo

Naomba hiyo projection!
 
kipato cha kati ya 4500 hadi 8000 mbona tofauti ni kubwa sana maana yake hawana uhakika. kipato cha 4500 ni kidogo mno
 
Kwa sisiemu hii. Na upuuzi huu wakutekana ..?
 
Hoja za kipuuzi kama hizi hazitakiwi kuwa humu Jamii forum kwa Great thinkers , wewe kiazi na huyo Kafulila wako mmeshaoiga hesabu kuhusu kasi ya mfumuko wa bei katika bidhaa na huduma nchini na kushuka kwa thamani ya pesa ya Tanzania shilingi hadi kufikia mwaka 2050 na kujua kwamba hiyo milioni kumi na mbili mwaka 2050 itakuwa na purchasing power kiasi gani ? , au hiyo milioni kumi na mbili ya sasa ndio mnajiaminisha kwamba itakuwa na thamani sawa na milioni kumi na mbili ya 2050 ?
Kama kasi ya thamani ya shilingi inaporomoka kwa kasi kila siku na mfumuko wa bei unazidi kuongezeka humu nchini ,na hili kila mmoja anajionea ,hiyo projection ya mean annual income ya milioni kumi na mbili kwa mwaka kwa mwaka 2050 ni upuuzi na ugumu wa maisha na umasikini kwa mwananchi na living standards bado zitakuwa ovyo .
Stability na appreciation ya thamani ya fedha + kupungua kwa mfumuko wa bei ndio huwa key Kwa kupunguza umasikini kwa mwananchi na kuwa na uimara wa uchumi na si hizi bra braaa za kiseng£ kulamba makalio ya wanasiasa ili kushibisha matumbo yenu ,mazafakaz .
Mimi sio mchumi ila nadiriki kusema wachumi wa Tanzania hawana akili .
Mimi niliyesoma commerce na book keeping ya kidato cha kwanza hadi cha pili , Nina akili ya uchumi na fedha kuliko hawa wapuuzi wanaojiita economists and financial planners WA hii Nchi , a bunch of lunatics
Na mmoja wapo ni huyu kiazi Kafulila
Li
 
Zinaweza kuwa chini zaidi ya Sasa maana Uchumi wetu utaongezeka zaidi kuliko wa USA
Labda tutazidi uchumi wa USA kwa ninyi machawa uchwara kunengua viuno na kuuza papuchi zenu na puru hapo Lumumba Kwa Makada uchwara wa chama cha mazezeta Tanzania
 
Bila CCM itakuwaje?
 
Kwakweli hapa tuombe Uzima TU,

Asante Rais SAMIA
 
2050 CCM itakuwepo?
 
Viva CCM Viva, Viva Samia Viva
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…