Kafulila anaamini hata kama Mama hamuoni ila wazee wa Suti nyeusi wanamuona🤣🤣🤣Kafulila wewe endelea kumsifia mama kwa kadiri unavyooma inafaa na inavyokupendeza. Mbona wenyewe wakimsifia lisu, mambe, mdude n.k. hamna wa kuwasema. Kila mtu awe huru kusifia anachotaka, ndiyo demokrasia. Kusimangana siyo vizuri.
Ni vema aachwe aandike mpk achoke. Kisha ataamua kwenda kuvua samakiMama tubampenda ila sio dizaini ya Kafulila
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]vijana wa kigoma wanapenda uchawa sana (refer mwijaku, baba levo etc) si ajabu kafulila kuwa hivyo.
Kafulila anawatesa sana BAVICHA na Sukuma GaungKafulila aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Simiyu kabla ya kutumbuliwa anashinda mitandaoni kila siku kumsifia rais Samia. Bila shaka haamini kama mama kamchoka na kaamua kumtupa kama jongoo.
Mwambieni Kafulila kuwa yeye siyo wa kwanza. Wapo akina Dr. Rutengwe walillia kama Yesu msalabani baada ya kutumbuliwa mpk leo hatujui wako wapi.
Lakini yupo Ally Happi aliyetumbuliwa sambamba na Kafulila yeye (Ally Happi) ameamua kujikita kwenye kilimo. Na tayari amejipatia umaarufu na heshima kubwa kwa kuposti mitandaoni kazi za mikono yake (kilimo). Wengi, hata wale waliokuwa wakimchukia Ally Happi kwa kauli zake wakati wa Magufuli sasa wanampa kongole kwa kuwaonesha vijana kwa vitendo dhana nzima ya kujiajiri.
Kafulila ni mfano mbaya wa kuigwa. Anaamini nje ya uteuzi hakuna maisha, hivyo anaendelea kutoa machapisho yenye mwelekeo wa kulamba miguu ya mama ili amuone na amkumbuke kwenye teuzi.
Shit Kafulila! You deserve curse.
You never know, anaweza kukumbukwa.Kafulila aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Simiyu kabla ya kutumbuliwa anashinda mitandaoni kila siku kumsifia rais Samia. Bila shaka haamini kama mama kamchoka na kaamua kumtupa kama jongoo.
Mwambieni Kafulila kuwa yeye siyo wa kwanza. Wapo akina Dr. Rutengwe walillia kama Yesu msalabani baada ya kutumbuliwa mpk leo hatujui wako wapi.
Lakini yupo Ally Happi aliyetumbuliwa sambamba na Kafulila yeye (Ally Happi) ameamua kujikita kwenye kilimo. Na tayari amejipatia umaarufu na heshima kubwa kwa kuposti mitandaoni kazi za mikono yake (kilimo). Wengi, hata wale waliokuwa wakimchukia Ally Happi kwa kauli zake wakati wa Magufuli sasa wanampa kongole kwa kuwaonesha vijana kwa vitendo dhana nzima ya kujiajiri.
Kafulila ni mfano mbaya wa kuigwa. Anaamini nje ya uteuzi hakuna maisha, hivyo anaendelea kutoa machapisho yenye mwelekeo wa kulamba miguu ya mama ili amuone na amkumbuke kwenye teuzi.
Shit Kafulila! You deserve curse.
Potelea pwete. Hata akikumbukwa kishatia aibu.You never know, anaweza kukumbukwa.
Hana ujanja nje ya siasa. Si umeona jinsi alivyohamahama vyama mbalimbali?Huyu huyu alietoa machozi baada ya kutaka kufukuzwa NCCR mageuzi.
Hawezi kulima kama Ally ?Ila Samia atamfuta tu machozi aendelee kusifu. Atampa ka ukurugenzi au ukuu wa mkoa tena .Si unaona Chalamila karudishwa.Hana ujanja nje ya siasa. Si umeona jinsi alivyohamahama vyama mbalimbali?
Huu uzi ni wa kinafiki na ni full udaku. Hili ni tatizo la sisi waafrika kupenda kushambuliana sisi binafsi badala ya kile tunachokitoa kwa ajili ya wengine.Kafulila aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Simiyu kabla ya kutumbuliwa anashinda mitandaoni kila siku kumsifia rais Samia. Bila shaka haamini kama mama kamchoka na kaamua kumtupa kama jongoo.
Mwambieni Kafulila kuwa yeye siyo wa kwanza. Wapo akina Dr. Rutengwe walillia kama Yesu msalabani baada ya kutumbuliwa mpk leo hatujui wako wapi.
Lakini yupo Ally Happi aliyetumbuliwa sambamba na Kafulila yeye (Ally Happi) ameamua kujikita kwenye kilimo. Na tayari amejipatia umaarufu na heshima kubwa kwa kuposti mitandaoni kazi za mikono yake (kilimo). Wengi, hata wale waliokuwa wakimchukia Ally Happi kwa kauli zake wakati wa Magufuli sasa wanampa kongole kwa kuwaonesha vijana kwa vitendo dhana nzima ya kujiajiri.
Kafulila ni mfano mbaya wa kuigwa. Anaamini nje ya uteuzi hakuna maisha, hivyo anaendelea kutoa machapisho yenye mwelekeo wa kulamba miguu ya mama ili amuone na amkumbuke kwenye teuzi.
Shit Kafulila! You deserve curse.
Hawezi kulima kama Ally ?Ila Samia atamfuta tu machozi aendelee kusifu. Atampa ka ukurugenzi au ukuu wa mkoa tena .Si unaona Chalamila karudishwa.
Nyani haoni kundule. Mbona hata wewe unanishambulia badala ya kuishambulia hoja yangu? Hebu tuambie, Kafulila hajipend3k3zi kwa mama? Kila siku qnaandika sifa za kijinga humu jukwaani "mama kafanya hivi", hatujakqa sawa "mama anastahili vile". Huoni huu ni uzuzu?? Au wewe ndiye Kafulila?Huu uzi ni wa kinafiki na ni full udaku. Hili ni tatizo la sisi waafrika kupenda kushambuliana sisi binafsi badala ya kile tunachokitoa kwa ajili ya wengine.
Kwahiyo unamshauri Kafulila aendelee kujipendekeza kwasabb kulima ni kazi ngumu? Mtu wa hovyo kabisa wewe. Mlamba viatu vilivyopita hata chooni. Siku vikitakata hivyo viatu unavyovilamba utalamba nnya.Wewe mleta mada kwanini usiwe wa kwanza kwenda kulima shambani kama Hapi kama ni rahisi sana?.
NJAA MBAYA SANA JAMANIKafulila aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Simiyu kabla ya kutumbuliwa anashinda mitandaoni kila siku kumsifia rais Samia. Bila shaka haamini kama mama kamchoka na kaamua kumtupa kama jongoo.
Mwambieni Kafulila kuwa yeye siyo wa kwanza. Wapo akina Dr. Rutengwe walillia kama Yesu msalabani baada ya kutumbuliwa mpk leo hatujui wako wapi.
Lakini yupo Ally Happi aliyetumbuliwa sambamba na Kafulila yeye (Ally Happi) ameamua kujikita kwenye kilimo. Na tayari amejipatia umaarufu na heshima kubwa kwa kuposti mitandaoni kazi za mikono yake (kilimo). Wengi, hata wale waliokuwa wakimchukia Ally Happi kwa kauli zake wakati wa Magufuli sasa wanampa kongole kwa kuwaonesha vijana kwa vitendo dhana nzima ya kujiajiri.
Kafulila ni mfano mbaya wa kuigwa. Anaamini nje ya uteuzi hakuna maisha, hivyo anaendelea kutoa machapisho yenye mwelekeo wa kulamba miguu ya mama ili amuone na amkumbuke kwenye teuzi.
Shit Kafulila! You deserve curse.
Mkuu sio kafulila tu hata huyo mazee unayoona yanapiga kelele kwenye vyombo vya habari mfano waziri mkuchika sijui nani vile wote hao hawana maisha nje ya siasa.......ndio maana wengine wakitumbuliwa wanakuwa kama machizi mitandaoni mfano mwingine ni kigwangara yaani hao wote ni buuure kabisaKafulila aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Simiyu kabla ya kutumbuliwa anashinda mitandaoni kila siku kumsifia rais Samia. Bila shaka haamini kama mama kamchoka na kaamua kumtupa kama jongoo.
Mwambieni Kafulila kuwa yeye siyo wa kwanza. Wapo akina Dr. Rutengwe walillia kama Yesu msalabani baada ya kutumbuliwa mpk leo hatujui wako wapi.
Lakini yupo Ally Happi aliyetumbuliwa sambamba na Kafulila yeye (Ally Happi) ameamua kujikita kwenye kilimo. Na tayari amejipatia umaarufu na heshima kubwa kwa kuposti mitandaoni kazi za mikono yake (kilimo). Wengi, hata wale waliokuwa wakimchukia Ally Happi kwa kauli zake wakati wa Magufuli sasa wanampa kongole kwa kuwaonesha vijana kwa vitendo dhana nzima ya kujiajiri.
Kafulila ni mfano mbaya wa kuigwa. Anaamini nje ya uteuzi hakuna maisha, hivyo anaendelea kutoa machapisho yenye mwelekeo wa kulamba miguu ya mama ili amuone na amkumbuke kwenye teuzi.
Shit Kafulila! You deserve curse.
Mambo hayahitaji kukurupuka huyo ally unaemsemea hakuanza kilimo na ufugaji jana au alipotumbuliwa yeye alikua na mipango yake uongozi umempitia na umemuacha akiwa vile vile huyo kafuuuu labda hana mbinu nyingine anaamini kwenye uongozi ila tujifunze kwa wenzetu unapopata gap fanya mambo yatakayo kusitiri baadae