Kafulila kubali yaishe kama Ally Happi. Kalime ama kavue migebuka. Unatia aibu kushinda mitandaoni kujipendekeza kwa mama

Kafulila wewe endelea kumsifia mama kwa kadiri unavyooma inafaa na inavyokupendeza. Mbona wenyewe wakimsifia lisu, mambe, mdude n.k. hamna wa kuwasema. Kila mtu awe huru kusifia anachotaka, ndiyo demokrasia. Kusimangana siyo vizuri.
Kafulila anaamini hata kama Mama hamuoni ila wazee wa Suti nyeusi wanamuona🤣🤣🤣
 
Dr Alilia
Haa
Cheo Raha, Cheo Ni Dhamana
 
Kafulila aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Simiyu kabla ya kutumbuliwa anashinda mitandaoni kila siku kumsifia rais Samia. Bila shaka haamini kama mama kamchoka na kaamua kumtupa kama jongoo.

Mwambieni Kafulila kuwa yeye siyo wa kwanza. Wapo akina Dr. Rutengwe walillia kama Yesu msalabani baada ya kutumbuliwa mpk leo hatujui wako wapi.

Lakini yupo Ally Happi aliyetumbuliwa sambamba na Kafulila yeye (Ally Happi) ameamua kujikita kwenye kilimo. Na tayari amejipatia umaarufu na heshima kubwa kwa kuposti mitandaoni kazi za mikono yake (kilimo). Wengi, hata wale waliokuwa wakimchukia Ally Happi kwa kauli zake wakati wa Magufuli sasa wanampa kongole kwa kuwaonesha vijana kwa vitendo dhana nzima ya kujiajiri.

Kafulila ni mfano mbaya wa kuigwa. Anaamini nje ya uteuzi hakuna maisha, hivyo anaendelea kutoa machapisho yenye mwelekeo wa kulamba miguu ya mama ili amuone na amkumbuke kwenye teuzi.

Shit Kafulila! You deserve curse.
Kafulila anawatesa sana BAVICHA na Sukuma Gaung
 
You never know, anaweza kukumbukwa.
 
Mambo hayahitaji kukurupuka huyo ally unaemsemea hakuanza kilimo na ufugaji jana au alipotumbuliwa yeye alikua na mipango yake uongozi umempitia na umemuacha akiwa vile vile huyo kafuuuu labda hana mbinu nyingine anaamini kwenye uongozi ila tujifunze kwa wenzetu unapopata gap fanya mambo yatakayo kusitiri baadae
 
Mjamaa anatia sana huruma, anaamini teuzi zinapatikana kwa njia ya kulamba miguu ya mkuu hata kama huna akili
 
Hana ujanja nje ya siasa. Si umeona jinsi alivyohamahama vyama mbalimbali?
Hawezi kulima kama Ally ?Ila Samia atamfuta tu machozi aendelee kusifu. Atampa ka ukurugenzi au ukuu wa mkoa tena .Si unaona Chalamila karudishwa.
 
Kafulila aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Simiyu kabla ya kutumbuliwa anashinda mitandaoni kila siku kumsifia rais Samia. Bila shaka haamini kama mama kamchoka na kaamua kumtupa kama jongoo.

Mwambieni Kafulila kuwa yeye siyo wa kwanza. Wapo akina Dr. Rutengwe walillia kama Yesu msalabani baada ya kutumbuliwa mpk leo hatujui wako wapi.

Lakini yupo Ally Happi aliyetumbuliwa sambamba na Kafulila yeye (Ally Happi) ameamua kujikita kwenye kilimo. Na tayari amejipatia umaarufu na heshima kubwa kwa kuposti mitandaoni kazi za mikono yake (kilimo). Wengi, hata wale waliokuwa wakimchukia Ally Happi kwa kauli zake wakati wa Magufuli sasa wanampa kongole kwa kuwaonesha vijana kwa vitendo dhana nzima ya kujiajiri.

Kafulila ni mfano mbaya wa kuigwa. Anaamini nje ya uteuzi hakuna maisha, hivyo anaendelea kutoa machapisho yenye mwelekeo wa kulamba miguu ya mama ili amuone na amkumbuke kwenye teuzi.

Shit Kafulila! You deserve curse.
Huu uzi ni wa kinafiki na ni full udaku. Hili ni tatizo la sisi waafrika kupenda kushambuliana sisi binafsi badala ya kile tunachokitoa kwa ajili ya wengine.

Wewe mleta mada kwanini usiwe wa kwanza kwenda kulima shambani kama Hapi kama ni rahisi sana?.

Uzi mmoja wa hovyo sana.
 
Hawezi kulima kama Ally ?Ila Samia atamfuta tu machozi aendelee kusifu. Atampa ka ukurugenzi au ukuu wa mkoa tena .Si unaona Chalamila karudishwa.

Hawezi kulima, Ally Hapi mwenyewe analima basi au anafanya maonesho? Kafulila hata maonyesho ya kilimo yamemshinda.
 
Huu uzi ni wa kinafiki na ni full udaku. Hili ni tatizo la sisi waafrika kupenda kushambuliana sisi binafsi badala ya kile tunachokitoa kwa ajili ya wengine.
Nyani haoni kundule. Mbona hata wewe unanishambulia badala ya kuishambulia hoja yangu? Hebu tuambie, Kafulila hajipend3k3zi kwa mama? Kila siku qnaandika sifa za kijinga humu jukwaani "mama kafanya hivi", hatujakqa sawa "mama anastahili vile". Huoni huu ni uzuzu?? Au wewe ndiye Kafulila?
Wewe mleta mada kwanini usiwe wa kwanza kwenda kulima shambani kama Hapi kama ni rahisi sana?.
Kwahiyo unamshauri Kafulila aendelee kujipendekeza kwasabb kulima ni kazi ngumu? Mtu wa hovyo kabisa wewe. Mlamba viatu vilivyopita hata chooni. Siku vikitakata hivyo viatu unavyovilamba utalamba nnya.
 
Huyu tumbili anaboa saaana . hivi anajua maana halisi ya wizi na ufisad?anachofanya ni zaidi ya ufisadi.
 
Kafulila aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Simiyu kabla ya kutumbuliwa anashinda mitandaoni kila siku kumsifia rais Samia. Bila shaka haamini kama mama kamchoka na kaamua kumtupa kama jongoo.

Mwambieni Kafulila kuwa yeye siyo wa kwanza. Wapo akina Dr. Rutengwe walillia kama Yesu msalabani baada ya kutumbuliwa mpk leo hatujui wako wapi.

Lakini yupo Ally Happi aliyetumbuliwa sambamba na Kafulila yeye (Ally Happi) ameamua kujikita kwenye kilimo. Na tayari amejipatia umaarufu na heshima kubwa kwa kuposti mitandaoni kazi za mikono yake (kilimo). Wengi, hata wale waliokuwa wakimchukia Ally Happi kwa kauli zake wakati wa Magufuli sasa wanampa kongole kwa kuwaonesha vijana kwa vitendo dhana nzima ya kujiajiri.

Kafulila ni mfano mbaya wa kuigwa. Anaamini nje ya uteuzi hakuna maisha, hivyo anaendelea kutoa machapisho yenye mwelekeo wa kulamba miguu ya mama ili amuone na amkumbuke kwenye teuzi.

Shit Kafulila! You deserve curse.
NJAA MBAYA SANA JAMANI
 
Mkuu sio kafulila tu hata huyo mazee unayoona yanapiga kelele kwenye vyombo vya habari mfano waziri mkuchika sijui nani vile wote hao hawana maisha nje ya siasa.......ndio maana wengine wakitumbuliwa wanakuwa kama machizi mitandaoni mfano mwingine ni kigwangara yaani hao wote ni buuure kabisa
 
Kafulila alikuwa anafanya nini kabla ya kuingia kwenye siasa??

Back
Top Bottom