johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kuna fununu kwamba mbunge wa zamani wa Kigoma kusini ndugu Kafulila atajiunga na CCM wakati wowote kuanzia sasa na atakuwa miongoni mwa wakuu wa wilaya wapya watakaoteuliwa hivi karibuni.
Inasemekana Rais Magufuli alifurahishwa na namna David alivyosimama kidete katika kashfa ya escrow na kuyaumbua " majizi" licha ya vitisho alivyokuwa anapewa.
Na tusubiri muda utaongea!.
Inasemekana Rais Magufuli alifurahishwa na namna David alivyosimama kidete katika kashfa ya escrow na kuyaumbua " majizi" licha ya vitisho alivyokuwa anapewa.
Na tusubiri muda utaongea!.