Doubleg Malafyale
JF-Expert Member
- Feb 17, 2017
- 2,733
- 3,561
Akijiuzulu mama anaweza kupewa hata u-DED
Hahahaha possible
C unaona akina slaa washaulamba ubalozi now
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akijiuzulu mama anaweza kupewa hata u-DED
Nimemsikia,tunamkaribisha nyumbani.Sasa anabaki huko huko Canada au anapangiwa nchi nyingine?Si umemsikia Slaa!
Anaweza kupelekwa hapo Kenya mkuu!!Nimemsikia,tunamkaribisha nyumbani.Sasa anabaki huko huko Canada au anapangiwa nchi nyingine?
Sawa,ni mtu serious mwenye commitment ya hali ya juu, nadhani popote watakapompeleka iwe Kenya or where ever atatufaa.Binafsi namtakia kila la heri.Anaweza kupelekwa hapo Kenya mkuu!!