Maklilioni
Member
- Nov 9, 2017
- 15
- 14
Huyo ndio politician ambaye yupo kwa maslahi yake tyu sio kupambania nchi kwa shida zote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Makada makanja nja Kama wewe hawatufai awamu hii ya mwendo wa hapa kazi TU.
Utendaji na ufanisi uliotukuka indio key factor ndani ya CCM mpya.
Kidumu Chama
Ukuu wa wilaya haumtoshi kinana anapaswa kuwa mkuu wa mkoa..Kuna fununu kwamba mbunge wa zamani wa Kigoma kusini ndugu Kafulila atajiunga na CCM wakati wowote kuanzia sasa na atakuwa miongoni mwa wakuu wa wilaya wapya watakaoteuliwa hivi karibuni.
Inasemekana Rais Magufuli alifurahishwa na namna David alivyosimama kidete katika kashfa ya escrow na kuyaumbua " majizi" licha ya vitisho alivyokuwa anapewa.
Na tusubiri muda utaongea!.
Kinana tena?!!Ukuu wa wilaya haumtoshi kinana anapaswa kuwa mkuu wa mkoa..
Povuuuuu!so what?
Anaweza,amteue.Kuna fununu kwamba mbunge wa zamani wa Kigoma kusini ndugu Kafulila atajiunga na CCM wakati wowote kuanzia sasa na atakuwa miongoni mwa wakuu wa wilaya wapya watakaoteuliwa hivi karibuni.
Inasemekana Rais Magufuli alifurahishwa na namna David alivyosimama kidete katika kashfa ya escrow na kuyaumbua " majizi" licha ya vitisho alivyokuwa anapewa.
Na tusubiri muda utaongea!.
Si umemsikia Slaa!Anaweza,amteue.
Machali hana ujasiri!Na machali vp, kafia wapi maskini wee?
Werema chali!!Ngedere kajiunga na nyani,
Wapi Jaji Werema
Chonde chonde asiisahau na karaiItakuwa jambo jema sana angalau tumbili apunguze machungu