Tetesi: Kafulila kuwa mmoja wa wakuu wa wilaya wapya watakaoteuliwa hivi karibuni

Kuna fununu kwamba mbunge wa zamani wa Kigoma kusini ndugu Kafulila atajiunga na CCM wakati wowote kuanzia sasa na atakuwa miongoni mwa wakuu wa wilaya wapya watakaoteuliwa hivi karibuni.

Inasemekana Rais Magufuli alifurahishwa na namna David alivyosimama kidete katika kashfa ya escrow na kuyaumbua " majizi" licha ya vitisho alivyokuwa anapewa.

Na tusubiri muda utaongea!.

Siasa bhana acha tu
Mkewe ni mbunge wa chadema Viti maalum atajiuzulu hiyo nafasi au
Nyumba itakuwa na upinzani baba CCM na Mama Chadema itawezekana hilo kweli?
Au jamaa kaanza kuhisi mkewe anaibiwa anavyohuzulia vikao vya bunge na majukumu mengine ya kibunge? Ila hapa mama kapewa mtihani akitaka ndoa isiyumbe akubali kujihuzulu ubunge ili sense na mumewe uko haendako maana ndoa haiwezi kuwa sawa mama awe mbunge chadema afu baba kada ccm afu apewe ukuu wa wilaya
Ndani patakuwa hapakaliki na ndoa itakufa hapa Jesca kafulila ajitathmini tu
 
Mkuu wewe hujaona Mr Simba na wife Yanga na maisha yanaenda kama kawaida?!!
 
Tofautisha siasa na ushabiki wa mpira mkuu
Uku kwenye siasa watu wanapigwa mpaka risasi
Mkuu siasa ni kitu kingine,wakiamua kuwa hivyo ndoa yao itayumba sana
Maana mkulu mwenyewe kwanza hapendi wana ccm washirikiane na upinzani,sasa ndani mkeo ni mbunge wa chama pinzani unategemea mini hapo mkuu?
Kama mzee kaona chama hakifai sidhani kama mkewe ataendelea nacho na ikiwa hivyo k utakuwa na kausama kwenye ndoa yao
Afu pia kuna ushabiki wa vyama na uanachama
Kwenye ushabiki sawa
Linapokuja swala la uanachama na mkawa viongozi kwenye hivyo vyama tofauti hapo mnatengeneza nyufa kwenye ndoa zenu hamtaiva uko mbele
 
Kuna fununu kwamba mbunge wa zamani wa Kigoma kusini ndugu Kafulila atajiunga na CCM wakati wowote kuanzia sasa na atakuwa miongoni mwa wakuu wa wilaya wapya watakaoteuliwa hivi karibuni.
shida iko wapi si hata prof. s.muhongo alikuwa waziri wa nishati na madini
 
Kuna fununu kwamba mbunge wa zamani wa Kigoma kusini ndugu Kafulila atajiunga na CCM wakati wowote kuanzia sasa na atakuwa miongoni mwa wakuu wa wilaya wapya watakaoteuliwa hivi karibuni.

Inasemekana Rais Magufuli alifurahishwa na namna David alivyosimama kidete katika kashfa ya escrow na kuyaumbua " majizi" licha ya vitisho alivyokuwa anapewa.

Na tusubiri muda utaongea!.
Wanasiasa ni walaghai sana.
 
Sawa kwani nyie kinawauma nini sifa si anazo,hii awamu mpaka iishe cdm mtachekea chooni nyambaaaf
 
Tofautisha siasa na ushabiki wa mpira mkuu
Uku kwenye siasa watu wanapigwa mpaka risasi
Mkuu siasa ni kitu kingine,wakiamua kuwa hivyo ndoa yao itayumba sana
Maana mkulu mwenyewe kwanza hapendi wana ccm washirikiane na upinzani,sasa ndani mkeo ni mbunge wa chama pinzani unategemea mini hapo mkuu?
Kama mzee kaona chama hakifai sidhani kama mkewe ataendelea nacho na ikiwa hivyo k utakuwa na kausama kwenye ndoa yao
Afu pia kuna ushabiki wa vyama na uanachama
Kwenye ushabiki sawa
Linapokuja swala la uanachama na mkawa viongozi kwenye hivyo vyama tofauti hapo mnatengeneza nyufa kwenye ndoa zenu hamtaiva uko mbele
Una point mkuu umenikumbusha 1995 wakati Dr Slaa akiwa mbunge wa Chadema na mkewe Rose Kamili akiwa diwani wa CCM ilibidi baadae wife amfuate mumewe Chadema!!
 
Hii kitu inauma sana, sisi makada tunahangaika kutetea chama ila vyeo wanapewa wapuuzi tu wasiojua uchungu wa chama.

Ndio maana kada mwenzangu Troll JF kaamua kukaa kimya!
Ndo hali halisi mkuu..madubwana yanayojipendekeza ndo yanayokula nyama..m/kiti wenu hafai..hajui anchokifanya..ana creat division kubwa sana!watoto wako wanalia njaa muda wote... unatengeneza chakula kizuuri..then unaenda kuwaita watt wa jirani waje kula..si ukichaa huo!kamwe hawatakuita baba ndani ya mioyo yao utabaki mjinga tu kwao!
 
Ndo hali halisi mkuu..madubwana nanayojipendekeza ndo yanayokula nyama..m/kiti wenu hafai..hajui anchokifanya..ana creat division kubwa sana!watoto wako wanalia njaa muda wote... unatengeneza chakula kizuuri..then unaenda kuwaita watt wa jirani waje kula..si ukichaa huo!kamwe hawatakuita baba ndani ya mioyo yao utabaki mjinga tu kwao!
Hata ingekuwa wewe kati ya le mutuz na Kafulila nani ungempa uDC?!!
 
Back
Top Bottom