johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
so what?Kuna fununu kwamba mbunge wa zamani wa Kigoma kusini ndugu Kafulila atajiunga na CCM wakati wowote kuanzia sasa na atakuwa miongoni mwa wakuu wa wilaya wapya watakaoteuliwa hivi karibuni. Inasemekana Rais JPM alifurahishwa na namna David alivyosimama kidete katika kadhfa ya escrow na kuyaumbua " majizi" licha ya vitisho alivyokuwa anapewa. Na tusubiri muda utaongea!
Kwa kweli anastahili!Kajitambua.
Tayari umeshapanic!!so what?
Hahahaa....... Umenikumbusha jaji Werema!Itakuwa jambo jema sana angalau tumbili apunguze machungu
Well saidHawahami na matatizo ya wananchi kwahiyo hawatusaidii.
Akipangiwa kituo cha Arumeru itapendeza!!Labda akapewe ukuu wa masjala ya mahakama ya mafissadi ili mafaili ya kesi yasikimbie ukuu wa wilaya ulishajazwa na kina jeni muroho u
Katambi atasubiri kidogo!Na katambi possibly