Pre GE2025 Kafulila: Kwa mara ya kwanza chini ya Rais Samia Tanzania imefanyiwa Tathimini na International Credit Rating Agency na kuibuka Vinara

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Sahihi kabisa crde Uchumi umekua kwelikweli, Mungu ambariki sana Samia.
Mungu aendelee kumjalia afya njema na nguvu za kuendelea kututumikia watanzania. Tunamshukuru sana Mheshimiwa David Kafulila kwa kazi kubwa anayoendelea kuifanya katika kuisemea serikali juu ya mambo mbalimbali yaliyofanywa na serikali yetu pamoja na kazi nzuri anayoifanya pale PPP.
 
Huyu dogo wangu ana akili sana. Angeiweka Simiyu pazuri. Wanyantuzu ni washamba sana, Bariadi watu hawajui lugha ya Taifa? Sasa nenda Kisesa, Mwanhuzi, Mwandoya. Mpina mwenyewe hajui kiswahili. Ni masikitiko
 
Jamaa anastahili pongezi anawakamua CHADEMA ile mbaya 😆😆
 
Huyu dogo wangu ana akili sana. Angeiweka Simiyu pazuri. Wanyantuzu ni washamba sana, Bariadi watu hawajui lugha ya Taifa? Sasa nenda Kisesa, Mwanhuzi, Mwandoya. Mpina mwenyewe hajui kiswahili. Ni masikitiko
Acha afanye kazi ya Kisayansi huo URC hata Mimi naweza
 
Credit rating ni screening ya wateja wote wa Mikopo walio serious wanaokopa kwenye taasisi Serious.

Credit rating ndio itakufanya iendelee kukopa au uache kukopa.

Ova!
Umefikia huko sababu mwanzoni ulikua hukopi hovyo hovyo.Now inabidi uangaliwe vilivyo.
 
Siku hizi kila kitu ni uongo, Siasa za Tanzania lazima uwe mwongo. Rating haikuanza wakati wa Samia, Moody, Fitch na Standard & Poor walianza kabla ya hapo, Moody walianza mwaka 2008; Tanzania ikawa na Sov Rating ya B,

Kila kitu uchawa uchawa tuu!!
 
Siku hizi kila kitu ni uongo, Siasa za Tanzania lazima uwe mwongo. Rating haikuanza wakati wa Samia, Moody, Fitch na Standard & Poor walianza kabla ya hapo, Moody walianza mwaka 2008; Tanzania ikawa na Sov Rating ya B,

Kila kitu uchawa uchawa tuu!!
Unaweza kutupa source ya Taarifa yako?
 
Hapana ni hitaji la taasisi kubwa kama WB& IMF
Miaka yote hiyo Tanzania alikua ni mwanachama wa hizo Taasisi Sasa why haikufanyika? Unaelewa maana ya rating? Unawekwa kwenye mizania Au viwango vya kukopesheka Au lah.
Nzuri
Mbaya
Nzuri zaidi
Tulikua A now Tuko B+
 
As long as Tanzania kuna idadi kubwa ya banks jua fika riba za mikopo ni kubwa ndio na loopholes ni nyingi ndio maana investors wamekuja kwa wingi ili wapate supernormal profit-na wanazipata kweli.

That's means hizo banks zinakopesha hela nyingi kwa Serikali na watu wachache kwa riba za juu huku majority kubwa ya Wananchi hawana vigezo vya kukopa.Just imagine kwa akili ndogo kama hizi banks zote zilizopo Tz zingekuwa zinakopesha watu wengi wa kati na wadogo-huu uchumi wa Tanzania ungekuwa hivi?

Kafulila anaongea hapo kisisasa kwa kujipendekeza na akijua fika hakuna Watanzania hata wanasoma report za finance kutoka BOT kujua ukweli.
 
Nakuelewa sana kada Machachari
 
Dogo kawa Chawa kupitiliza
Nchi Haina hata umeme wa kuwasha koroboi
Alafu chawa anasifia ujinga tu
 
Samia ni kiboko ya wasio na akili ,anafundisha maana ya Uongozi 👇👇

View: https://www.instagram.com/p/C7Y4SZ-t_B7/?igsh=MXE0N2t2d2p3bGc4YQ==
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…