Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
CHADEMA walivyo na wivu watapingaSamia ni kiboko ya wasio na akili ,anafundisha maana ya Uongozi ππ
View: https://www.instagram.com/p/C7Y4SZ-t_B7/?igsh=MXE0N2t2d2p3bGc4YQ==
Bila mikopo hawewezi lipa mishaharaWapi huko kusiko na umeme?
Mbona hakuna mwezi hata mmja tumewahi sikia mshara umepitiliza Kwa sababu hela ya Mkopo imechelewa?Bila mikopo hawewezi lipa mishahara
Tunaserikali dhaifu sana
Mi Niko jikoniMbona hakuna mwezi hata mmja tumewahi sikia mshara umepitiliza Kwa sababu hela ya Mkopo imechelewa?
Kwani mtoto Akiwepo jikoni na mama yake ndio anapika au anajua Siri na mipango ya mama?Mi Niko jikoni
Acha ujinga wako wewe.nani kakwambia tunakopa kwa ajili ya kulipa mishahara? Kwa mwezi tunakusanya zaidi ya Trilioni mbili .ni vipi tutashindwa kulipa mishahara ikiwa tunakusanya mabilioni hayo ya pesa?Bila mikopo hawewezi lipa mishahara
Tunaserikali dhaifu sana
Hao wamechanganyikiwa na kuvurugwa akili zao.Kwani mtoto Akiwepo jikoni na mama yake ndio anapika au anajua Siri na mipango ya mama?
Acha ujinga wewe nyumbu
Deni tril 90 mpaka mnafanyiwa tahmin mpewe au myimwe alafu unakuja hapa unakenua tuAcha ujinga wako wewe.nani kakwambia tunakopa kwa ajili ya kulipa mishahara? Kwa mwezi tunakusanya zaidi ya Trilioni mbili .ni vipi tutashindwa kulipa mishahara ikiwa tunakusanya mabilioni hayo ya pesa?
Nani Kasifiwa hapa?Mmeshindwa kuboresha na kuendesha usafiri wa umma ( darts)
Mtaweza Nini nyie, mnatupgia mikelele tu
Mmeiua nhif, mmeiua nssf mmeshindwa issue ya kikokotoo
Mpaka mama yenu amekimbia mei mosi
Alafu mnakuja kumsifia upuuzi
Reference:Unaweza kutupa source ya Taarifa yako?
Kasome headingNani Kasifiwa hapa?
Hiyo tisini ulikopa wewe?Deni tril 90 mpaka mnafanyiwa tahmin mpewe au myimwe alafu unakuja hapa unakenua tu
Mabumunda nyie
Acha kuandika nadharia .unaposema mmeua unamaanisha nini? Kwamba wastaafu hawapewi nafasi? Suala la kikokotoo lilishatolewa ufafanuzi na serikali kupitia makamu wa Rais. Pia unaposema Mheshimiwa Rais alikimbia leo mosi napo unachekesha sana.kwani hufahamu kuwa Mheshimiwa Rais alikuwa kwenye majukumu ya kuiwakilisha nchi yetu?Mmeshindwa kuboresha na kuendesha usafiri wa umma ( darts)
Mtaweza Nini nyie, mnatupgia mikelele tu
Mmeiua nhif, mmeiua nssf mmeshindwa issue ya kikokotoo
Mpaka mama yenu amekimbia mei mosi
Alafu mnakuja kumsifia upuuzi
Nimegundua wewe ni kichwa sana CrdeAcha kuandika nadharia .unaposema mmeua unamaanisha nini? Kwamba wastaafu hawapewi nafasi? Suala la kikokotoo lilishatolewa ufafanuzi na serikali kupitia makamu wa Rais. Pia unaposema Mheshimiwa Rais alikimbia leo mosi napo unachekesha sana.kwani hufahamu kuwa Mheshimiwa Rais alikuwa kwenye majukumu ya kuiwakilisha nchi yetu?
Ni 87.5 inakatibia 90 kufika June kwa spidi yenu ya kukopaHiyo tisini ulikopa wewe?
Nimeisikiliza yote
View: https://youtu.be/fhipacCxA1I?si=rndkvpXhA5-Cyp4n
Mkuu jaribu kusikiliza hii inaweza ikakusaidia vema