Pre GE2025 Kafulila: Kwa mara ya kwanza chini ya Rais Samia Tanzania imefanyiwa Tathimini na International Credit Rating Agency na kuibuka Vinara

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Bila mikopo hawewezi lipa mishahara
Tunaserikali dhaifu sana
Acha ujinga wako wewe.nani kakwambia tunakopa kwa ajili ya kulipa mishahara? Kwa mwezi tunakusanya zaidi ya Trilioni mbili .ni vipi tutashindwa kulipa mishahara ikiwa tunakusanya mabilioni hayo ya pesa?
 
Deni tril 90 mpaka mnafanyiwa tahmin mpewe au myimwe alafu unakuja hapa unakenua tu

Mabumunda nyie
 
Nchi iko gizani bila umeme miaka takribani 3 mlifanya tathmini ya damage kiuchumi??

Alafu mnakimbilia kukopokopa tu.
Pumbambu nyie
 
Mmeshindwa kuboresha na kuendesha usafiri wa umma ( darts)
Mtaweza Nini nyie, mnatupgia mikelele tu

Mmeiua nhif, mmeiua nssf mmeshindwa issue ya kikokotoo
Mpaka mama yenu amekimbia mei mosi

Alafu mnakuja kumsifia upuuzi
 
Nani Kasifiwa hapa?
 
Acha kuandika nadharia .unaposema mmeua unamaanisha nini? Kwamba wastaafu hawapewi nafasi? Suala la kikokotoo lilishatolewa ufafanuzi na serikali kupitia makamu wa Rais. Pia unaposema Mheshimiwa Rais alikimbia leo mosi napo unachekesha sana.kwani hufahamu kuwa Mheshimiwa Rais alikuwa kwenye majukumu ya kuiwakilisha nchi yetu?
 
Nimegundua wewe ni kichwa sana Crde
 
Mnakopa eti kujenga madarasa na kulipa mishahara na matumizi mengine ya anasa. hiyo model ya uchumi Gani? bwana lucas
 
Kama mnakopea miradi ya kimkakati
Tonyesheni basi hesabu zenu jinsi mtakavyo tengeneza faida na kulipa deni vinginevyo ni propaganda za kipuuzi
 
Back
Top Bottom