Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Huyo jamaa hapo anakuambia bakhtressa ni mwekezaji wa reli ugandaBakresa ni mteja sio mwekezaji Uganda, nadhani ni option nzuri Bakresa kubakia kuwa mteja tu
Huyo jamaa hapo anakuambia bakhtressa ni mwekezaji wa reli uganda
Hajui utofauti wa mteja na mwekezaji. Na ndio anatoa maoni na anataka serikali isikilize maoni
Kazi ipo
Pole kwa kuchelewa kukujibu nilikuwa busy kidogo.Ukubwa wa nchi na wingi wa weledi unaousema kungekuwa na failures zote hizo almost ktk kila sekta..wapi serikali inafanya vzr? Taja..kilimo? Mifugo? Uvuvi je? wapi..elimu? miaka zaidi ya 60 tulioanza nao baada ya kupata uhuru..unajua wao walipo? Malaysia, Singapore, South Korea..hata Kenya, Ghana..nk mnadangayana serikalini kuna wenye uwezo wa kubuni na kusimamia, tungekuwa hapa? Kafulila ndiyo think tank ya serikali..r you serious!
Maswali yote nimekuuliza hujajibu hata moja..
1. Taja PPP pilot project yoyote iliyopo kwa sasa..
2. Kuna ulazima gani ku-invite PPP pasina kuwa na mradi wa majaribio..
3. Kuna haraka gani kufanya PPP kwa sasa..
4. Kuna tatizo gani Botswana Almas zao zinawapa faida hapa Tanzania ni tofauti..
5. Kuna nini zaid kilichopo Kenya kufanya uchumi wao uwe imara zaid ya Tanzania..
Waulize hao weledi unaowasema tusikie..
Kuna mentality ya hovyo ndani ya serikali kudhani kuna monopoly ya brain na creativity..which s very wrong! Hata Rais Samia mara kadhaa amesema..inaonekana mambo mengi yanayosemwa nje ya serikali ni bora zaidi ya yanayofanyika au kutoka ndani ya serikali..which s true!
Ukubwa wa nchi na wingi wa weledi unaousema kungekuwa na failures zote hizo almost ktk kila sekta..wapi serikali inafanya vzr? Taja..kilimo? Mifugo? Uvuvi je? wapi..elimu? miaka zaidi ya 60 tulioanza nao baada ya kupata uhuru..unajua wao walipo? Malaysia, Singapore, South Korea..hata Kenya, Ghana..nk mnadangayana serikalini kuna wenye uwezo wa kubuni na kusimamia, tungekuwa hapa? Kafulila ndiyo think tank ya serikali..r you serious!
Maswali yote nimekuuliza hujajibu hata moja..
1. Taja PPP pilot project yoyote iliyopo kwa sasa..
2. Kuna ulazima gani ku-invite PPP pasina kuwa na mradi wa majaribio..
3. Kuna haraka gani kufanya PPP kwa sasa..
4. Kuna tatizo gani Botswana Almas zao zinawapa faida hapa Tanzania ni tofauti..
5. Kuna nini zaid kilichopo Kenya kufanya uchumi wao uwe imara zaid ya Tanzania..
Waulize hao weledi unaowasema tusikie..
Kuna mentality ya hovyo ndani ya serikali kudhani kuna monopoly ya brain na creativity..which s very wrong! Hata Rais Samia mara kadhaa amesema..inaonekana mambo mengi yanayosemwa nje ya serikali ni bora zaidi ya yanayofanyika au kutoka ndani ya serikali..which s true!
Unadhani mtu Sahihi kwenye Ubia wa kumsikiliza ni Kadogosa au Kafulila?Moja ya kitu kinachonikera kwenye ‘Millard Ayo’ baada ya kupewa access ya interview nzima. Unakuta wanakata na kuweka vipande vyao hasa maelezo ya muhusika.
Baada ya hapo mtangazaji poyoyo ana extrapolate ziara nzima with his shallow thinking, na hawaoni umuhimu wa kuweka extended version kwa kudhani kila mtu anarudhika na ujinga wao.
Worst hao watu walio walipa ‘Milliard Ayo’ hawaoni shida ya kuwarudia na kuwauliza kulikoni mbona hamjaweka maelezo yetu yote kwa kina kwakuwa lengo ilikuwa kutoa elimu au kuhabarisha umma (mfano, ilikuwa mwaliko wa Mrisho, Mrisho), Dar port unaona kabisa kuna Key information za mkurugenzi walikata.
Ndio kama hii mada kama ujamsikiliza Kadogosa jinsi wanavyotaka ku-maximise railway usage na maelezo ya Kafulila lengo ni kutoa access kwa private users lakini walipie railway costs; unaweza dhani kuna ubia kama mleta mada alivyoandika kwenye railway usage.
Kinachosema na kinachoandikwa ni vitu viwili tofauti, ndio maana ‘’Milllatd Ayo’ anaanza kukerq bora waalike Jambo TV uwa wana short na extended version mara nyingi.
Huko kwenye mabasi Kafulila bado anajiropokea tu (story ni ndefu) as to why hawezi ku-guarantee bila ya kujua costs za kununua hayo mabasi.
Mtu sahihi ni Kadogosa kwa sababu yeye ndie ana sign na ku-negotiate terms.Unadhani mtu Sahihi kwenye Ubia wa kumsikiliza ni Kadogosa au Kafulila?
Sasa hoja yako hii na hoja ya mwandishi mnatofautia nini?Mtu sahihi ni Kadogosa kwa sababu yeye ndie ana sign na ku-negotiate terms.
Halafu hiyo ni besides za point kwa sababu on this instance kwenye railway walichosema Kafulila na Kadogosa kinafanana. Shida ni maelezo ya watu wanao-interpret.
Kilichopo TRC itatoa access kwa private operators kutumia railway for freight purposes only (so far that’s the plan), lakini TRC itawa charge gharama za kutumia njia na kuchangia gharama za maintance costs.
Ndio shida yetu watanzania ilipo tunatabia ya kujiaminisha vitu tunavyotaka kuamini na kukadhania huu ndio ukweli; wakati ni mambo ya vichwani kwetu.Sasa hoja yako hii na hoja ya mwandishi mnatofautia nini?
Kazi ya Mkurugenzi wa TRC sio kuamua kuhusu Share/Ubia kazi yake ni hiyo kusimamia reli mambo ya ubia hayamuhusu kabisa.
Nakuelewa vizuri mkuu wangu Mayor QuimbyMoja ya kitu kinachonikera kwenye ‘Millard Ayo’ baada ya kupewa access ya interview nzima. Unakuta wanakata na kuweka vipande vyao hasa maelezo ya muhusika.
Baada ya hapo mtangazaji poyoyo ana extrapolate ziara nzima with his shallow thinking, na hawaoni umuhimu wa kuweka extended version kwa kudhani kila mtu anaridhika na ujinga wa maelezo yao. .
Worst hao watu walio walipa ‘Milliard Ayo’ hawaoni shida ya kuwarudia na kuwauliza kulikoni mbona hamjaweka maelezo yetu yote kwa kina kwakuwa lengo ilikuwa kutoa elimu au kuhabarisha umma (mfano, ilikuwa mwaliko wa Mrisho, Mrisho), Dar port unaona kabisa kuna Key information za mkurugenzi walikata.
Ndio kama hii mada kama ujamsikiliza Kadogosa jinsi wanavyotaka ku-maximise railway usage na maelezo ya Kafulila lengo ni kutoa access kwa private users lakini walipie railway costs na tozo; unaweza dhani serikali inaingia ubia kama mleta mada alivyoandika kwenye railway usage.
Kinachosemwa na wahusika na kinachoandikwa wapambe au maelezo ya media uwa vitu viwili tofauti.
Ndio maana ‘’Milllatd Ayo’ anaanza kukera bora waalike Jambo TV uwa wana short na extended version mara nyingi za ziara au interview zao.
Huko kwenye mabasi Kafulila bado anajiropokea tu (story ni ndefu) as to why hawezi ku-guarantee bila ya kujua costs za kununua hayo mabasi.
Mie ni mtu wa kujifunza kila siku, uwanja wa kunipa elimu wako.Nakuelewa vizuri mkuu wangu Mayor Quimby
Sijaona shida yoyote kwako
Ila nadhani kuna jambo hulielewi vizuri hasa kuhusu Ubia
But Kadogosa hahusiki na mambo ya Ubia ila anahusika kwenye negotiations kama mmiliki wa mradi,Ndio shida yetu watanzania ilipo tunatabia ya kujiaminisha vitu tunavyotaka kuamini na kukadhania huu ndio ukweli; wakati ni mambo ya vichwani kwetu.
Yaani wewe unajua mikakati ya reli kuliko mkurugenzi wake na unaamini hivyo kabisa.
Tafuta interview ya maelezo ya Kadogosa lengo ni ku-maximise railway road; kuruhusu private firms kutumia na kuwalipa gharama. TRC haina mpango wala aipo kwenye mazungumzo ya PPP kwenye railway operation zao.
Sasa wwe unajua kuliko mtu mwenye operation strategy ya shirika. Hata Kafulila alichoongea hapo ni rail road access hayo ya PPP ni ya mtangazaji kwa kutumia mifano ya mabasi na hakumpa muda wa maelezo.
Ni role model wangu kwenye siasa,Kwa nini wewe mleta uzi unapenda sana kumsifia Kafulila??
Ndugu uwezi ingia ubia wa biashara bila ya taasisi husika kujua capacity yao.But Kadogosa hahusiki na mambo ya Ubia ila anahusika kwenye negotiations kama mmiliki wa mradi,
Kumbuka railways hii tumetumia zaidi ya TZS27tn mpaka Sasa hivyo mtu hawezi kuitumia for free ndio maana kunakuwa na terms za UBIA
KWELI NIMEAMINI MTU AKIHAMIA CCM WANAMNG'OA UBONGO, KILA K2 MNAUZA BADO KUJIUZA WENYEWE===
Mkurugenzi wa Ubia nchi Bwana David Kafulila ameiambia ARIDHIO ya TBC kuwa sasa ni rasmi mtu au kikundi chochote chenye uwezo na nia ya kununua na kuendesha vichwa na treni za SGR wanakaribishwa kufanya hivyo Kwa sharti la Ubia na Serikali ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania chini ya Rais Dkt Samia Suluhu Hassan.
Kafulila anasema kama ilivyo kwa miundombinu ya usafiri na usafirishaji ya Serikalí akitolea mfano wa barabara kuna watu wamenunua Mabasi na wanayaendesha na Serikali inapata kodi lakini kubwa ni Wananchi kupata huduma Bora huduma nzuri na kwa wakati ndivyo itakavyokuwa kwa SGR huku akitolea mfano wa mradi mkubwa kati ya DART na Mbia ambao kwa kiwango kikubwa uko tayari na mabasi zaidi 170 yanaletwa kwa kuanzia.
Kafulila anasema Serikali inafanya haya ili kuchachusha Uchumi wa nchi ( economic stimulus ) ambayo ndio hasa sera za Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan na kwa sera hizi ndio zinaifanya Tanzania kuendelea kusalia kileleni kwenye nchi zote za maziwa makuu.
View attachment 3057496
David nadhan ana MKE Bora sana anayempa utulivu wa akiri ama ana MKE MSOMI na mtaalam wa BIASHARA au anasoma Sana. Asingekuwa MAFUPI Nadhani angeona mbali Sana kimaono....TUMPE MUDA.===
Mkurugenzi wa Ubia nchi Bwana David Kafulila ameiambia ARIDHIO ya TBC kuwa sasa ni rasmi mtu au kikundi chochote chenye uwezo na nia ya kununua na kuendesha vichwa na treni za SGR wanakaribishwa kufanya hivyo Kwa sharti la Ubia na Serikali ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania chini ya Rais Dkt Samia Suluhu Hassan.
Kafulila anasema kama ilivyo kwa miundombinu ya usafiri na usafirishaji ya Serikalí akitolea mfano wa barabara kuna watu wamenunua Mabasi na wanayaendesha na Serikali inapata kodi lakini kubwa ni Wananchi kupata huduma Bora huduma nzuri na kwa wakati ndivyo itakavyokuwa kwa SGR huku akitolea mfano wa mradi mkubwa kati ya DART na Mbia ambao kwa kiwango kikubwa uko tayari na mabasi zaidi 170 yanaletwa kwa kuanzia.
Kafulila anasema Serikali inafanya haya ili kuchachusha Uchumi wa nchi ( economic stimulus ) ambayo ndio hasa sera za Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan na kwa sera hizi ndio zinaifanya Tanzania kuendelea kusalia kileleni kwenye nchi zote za maziwa makuu.
View attachment 3057496
nami nataka kichwa changu kimoja niwe nasafirishia mkaaNgoja waje Bavicha waseme👀
Sasa railway road access sindio Ubia wenyewe huo,Ndugu uwezi ingia ubia wa biashara bila ya taasisi husika kujua capacity yao.
Ili uingie ubia lazima TRC wajue capacity usage yao ya railway na potential idle railway time, ndio wakupe access kutokana na limitations za kuweza ku-maximise usage.
Baada ya TRC kuelewa operation limitations zao ndio wanaweza amua wanataka ubia wa aina gani kama wanahitaji.
Mkurugenzi wa ubia hawezi kuamka tu na kupanga operation strategy ya shirika, wakati ahusiki kwenye every day and long term strategy ya shirika. Vinginevyo hiyo biashara itakuwa controlled na mamlaka ya juu sio mkurugenzi, TRC inapokea orders tu how to operate.
Ata ukimsikiliza huyo Kafulila alikuwa anaongelea rail road access (ndio tafsiri yake ya PPP).
Sawa tu kama unaweza kukinunua it's oknami nataka kichwa changu kimoja niwe nasafirishia mkaa