Kafulila: Mitatu ya Rais Samia Uchumi ulikua kutoka US$67bil hadi US$85bil sawa na Ongezeko la TZS 46.8T mnaoshangaa deni la TZS 42T someni hii

CM 1774858

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2021
Posts
5,621
Reaction score
5,029



Kwa unyenyekevu sana naomba kupitia tweet hii ya Mhe David Zacharia Kafulila.

Nawaomba mnaoshangaa Mhe Rais Dkt Samia Suluhu kukopa sana niwaombe pia kupitia tweet hii mshangae pia namna Rais Samia anavyokuza Uchumi kwa kiwango ambocho hakijawahi kushuhudiwa kwa miaka mingi.

Hebu nisaidieni ni Rais gani wa Tanzania tangu tupate Uhuru alikuza Uchumi kwa US$ 18bilioni ndani ya miaka Mitatu kama alivyofanya Rais Samia l eo?

Kama kweli kuna jambo mnaweza kumlalamikia Rais Samia kamwe haliwezi kuwa ni jambo la Ukopaji na ukuzaji wa Uchumi Tanzania.

Pia soma Deni La Taifa; Nyerere, Mkapa, Mwinyi, Kikwete na Magufuli kwa pamoja walikopa Trillioni 56.5. Samia kwa miaka 3 amekopa Trillioni 42
 

Tlaatlaah, Lucas Mwashambwa mwenzenu katika teuzi huyo hapo
 
Mwashambwa wapo wengi, ila Mungu ni wetu sote
 
Mheshimiwa Kafulila alichambua vizuri sana na kwa Takwimu.ndio maana watu kama CHADEMA na akili zao kisoda hawawezi kupangua hoja hizo kwa hoja.
 
Mheshimiwa Kafulila alichambua vizuri sana na kwa Takwimu.ndio maana watu kama CHADEMA na akili zao kisoda hawawezi kupangua hoja hizo kwa hoja.

Hapa inabidi tuambiwe ukwel tuache kudanganyana

kwahiyo uchumi umekuwa kwa uwekezaji au kwaajiri ya mikopo ya nchi

na kama tukidanganywa miundo mbinu ni uwekezaji hapo tutakuwa tuna danganywa

Tofautisha kati ya uwekezaji wa mitaji, ujenzi wa miundombinu na lengo au dhumuni la mkopo

maana mikopo mingne inawekezwa ktk sekta ambayo hawezi kuzalisha hata sh. Kumi kama ujenzi wa vyoo na madarasa
 
kuna mambo ni kujipanga tu gentleman,

hayahitaji miujiza wala ushirikina.
Ila ni kwa Neema na Baraka za Mungu tu yanawezekana bila tashwishi yeyote 🐒

Ni kweli mmejipanga:

Your browser is not able to display this video.


Hongereni.
 
Hoja hapa ni Value for money hii TZS42T
 
Anajaribu kku spin ili kuficha madeni!?
 
Serikali ya awamu ya sita uwazi ni mkubwa sana hivyo rushwa Iko chini sana
 
Good progress

Lakini Bado benchmark yetu ni Kenya, smaller country with less population
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…