Kafulila: Mitatu ya Rais Samia Uchumi ulikua kutoka US$67bil hadi US$85bil sawa na Ongezeko la TZS 46.8T mnaoshangaa deni la TZS 42T someni hii

View attachment 3109280

Kwa unyenyekevu sana naomba kupitia tweet hii ya Mhe David Zacharia Kafulila.

Nawaomba mnaoshangaa Mhe Rais Dkt Samia Suluhu kukopa sana niwaombe pia kupitia tweet hii mshangae pia namna Rais Samia anavyokuza Uchumi kwa kiwango ambocho hakijawahi kushuhudiwa kwa miaka mingi.

Hebu nisaidieni ni Rais gani wa Tanzania tangu tupate Uhuru alikuza Uchumi kwa US$ 18bilioni ndani ya miaka Mitatu kama alivyofanya Rais Samia l eo?

Kama kweli kuna jambo mnaweza kumlalamikia Rais Samia kamwe haliwezi kuwa ni jambo la Ukopaji na ukuzaji wa Uchumi Tanzania.

Pia soma Deni La Taifa; Nyerere, Mkapa, Mwinyi, Kikwete na Magufuli kwa pamoja walikopa Trillioni 56.5. Samia kwa miaka 3 amekopa Trillioni 42
Uchumi ungekuwa, upungufu wa fedha za kigeni usingekuwepo, pili nguvu ya shillingi dhidi ya dola na Fedha zingine za nje ungekuwa mkubwa. Lakini ukiona unashindwa Kuendesha hata mwendokasi na Bandari ambazo ni biashara ya huduma za usafirishaji na uchukuzi basi ujue unashida za kiungozi
 
Chadema wapite kimya kimya hapa maana hawachelewagi kumtaja Mwenyekigoda wao milele
 
Uchumi ungekuwa, upungufu wa fedha za kigeni usingekuwepo, pili nguvu ya shillingi dhidi ya dola na Fedha zingine za nje ungekuwa mkubwa. Lakini ukiona unashindwa Kuendesha hata mwendokasi na Bandari ambazo ni biashara ya huduma za usafirishaji na uchukuzi basi ujue unashida za kiungozi
Kwani huu Uchumi uliokua ni wa kigeni?
 
View attachment 3109280

Kwa unyenyekevu sana naomba kupitia tweet hii ya Mhe David Zacharia Kafulila.

Nawaomba mnaoshangaa Mhe Rais Dkt Samia Suluhu kukopa sana niwaombe pia kupitia tweet hii mshangae pia namna Rais Samia anavyokuza Uchumi kwa kiwango ambocho hakijawahi kushuhudiwa kwa miaka mingi.

Hebu nisaidieni ni Rais gani wa Tanzania tangu tupate Uhuru alikuza Uchumi kwa US$ 18bilioni ndani ya miaka Mitatu kama alivyofanya Rais Samia l eo?

Kama kweli kuna jambo mnaweza kumlalamikia Rais Samia kamwe haliwezi kuwa ni jambo la Ukopaji na ukuzaji wa Uchumi Tanzania.

Pia soma Deni La Taifa; Nyerere, Mkapa, Mwinyi, Kikwete na Magufuli kwa pamoja walikopa Trillioni 56.5. Samia kwa miaka 3 amekopa Trillioni 42
Hiyo ni TAKWIMU gani mkuu,inamaanisha sekta. Moja au ni aje,mbona population density and requirements hujagusia wakati huduma zinakuwa hafifu na madeni ya wazabuni hayalipiki na entertainment facility ( hotels) imekuwa single side(zenji) watalii hawafanyi hata shopping mnawakimbizia unguja ambao ni wategemezi kwa 10% ya pato la bara, mbona mnatupiga na kitu kizito ,dollar hakuna sababu export Iko chini kuliko import,na TRA wanakusanya kikuda bila kurudisha ktk jamii wanapeleka miradi brbr na ndege Tena kwa cash,this is mean.
Tunaomba mikakati mizuri ya uchumi,biashara zinakufa sana.
 
Tu Mbili 😀🤣😀😂
 
Nadhani Kafulila yeye ameonesha jinsi deni hili kubwa lilivyoleta manufaa kwenye ukuzaji wa uchumi pia.

Nyie BAVICHA someni vizuri hii
 
mh! tunaona namba tu ila huku mifukoni uchumi unatuchumu!,halina maana hilo ongezeko sasa!.
Mkome kabisa,hakuna Serikali inagawa pesa ila ukiona magorofa yanaota mjini ujue watu wamechangamkia fursa
 
Hapa inabidi tuambiwe ukwel tuache kudanganyana

kwahiyo uchumi umekuwa kwa uwekezaji au kwaajiri ya mikopo ya nchi

na kama tukidanganywa miundo mbinu ni uwekezaji hapo tutakuwa tuna danganywa

Tofautisha kati ya uwekezaji wa mitaji, ujenzi wa miundombinu na lengo au dhumuni la mkopo

maana mikopo mingne inawekezwa ktk sekta ambayo hawezi kuzalisha hata sh. Kumi kama ujenzi wa vyoo na madarasa
Mna tafsiri finyu ya uwekezaji.Bila kuwekeza kwenye human resources hakuna Cha maana utapata.

Human resources ndio chachu ya ufanisi wa sekta zingine
 
Hizi ni siasa, hatutaki siasa.

Atuambie kwa pesa zetu za madafu na si kwa USD
Mbona Waziri wa mipango Huwa anasoma hotuba yenye figures za pesa ya Madafu? Hapo si unazidisha tuu unapata zaidi ya Shilingi Trilioni 220 za GDP
 
Ukifanya ukuaji wa 5% kwa kila mwaka huwezi toka 67 hadi 85. Utafika kama 78-79
By 2023 ndio tulikiwa na $ 79.6B(takribani 80bln).

Figures za Kafulira ni estimates za 2024 ambazo zitafikia hiyo $85bln Kwa Ukuaji huo huo sawa na takwimu za deni la Taifa lenye takwimu za 2024.

So Yuko sawa kabisa Mkuu.
 
View attachment 3109280

Kwa unyenyekevu sana naomba kupitia tweet hii ya Mhe David Zacharia Kafulila.

Nawaomba mnaoshangaa Mhe Rais Dkt Samia Suluhu kukopa sana niwaombe pia kupitia tweet hii mshangae pia namna Rais Samia anavyokuza Uchumi kwa kiwango ambocho hakijawahi kushuhudiwa kwa miaka mingi.

Hebu nisaidieni ni Rais gani wa Tanzania tangu tupate Uhuru alikuza Uchumi kwa US$ 18bilioni ndani ya miaka Mitatu kama alivyofanya Rais Samia l eo?

Kama kweli kuna jambo mnaweza kumlalamikia Rais Samia kamwe haliwezi kuwa ni jambo la Ukopaji na ukuzaji wa Uchumi Tanzania.

Pia soma Deni La Taifa; Nyerere, Mkapa, Mwinyi, Kikwete na Magufuli kwa pamoja walikopa Trillioni 56.5. Samia kwa miaka 3 amekopa Trillioni

View attachment 3109280

Kwa unyenyekevu sana naomba kupitia tweet hii ya Mhe David Zacharia Kafulila.

Nawaomba mnaoshangaa Mhe Rais Dkt Samia Suluhu kukopa sana niwaombe pia kupitia tweet hii mshangae pia namna Rais Samia anavyokuza Uchumi kwa kiwango ambocho hakijawahi kushuhudiwa kwa miaka mingi.

Hebu nisaidieni ni Rais gani wa Tanzania tangu tupate Uhuru alikuza Uchumi kwa US$ 18bilioni ndani ya miaka Mitatu kama alivyofanya Rais Samia l eo?

Kama kweli kuna jambo mnaweza kumlalamikia Rais Samia kamwe haliwezi kuwa ni jambo la Ukopaji na ukuzaji wa Uchumi Tanzania.

Pia soma Deni La Taifa; Nyerere, Mkapa, Mwinyi, Kikwete na Magufuli kwa pamoja walikopa Trillioni 56.5. Samia kwa miaka 3 amekopa Trillioni 42
Kumbe uchimi umeongezeka na hamsemi
Magari yaliyonunuliwa na serikali ya awamu hii ni mengi mno kabkati ya hayo asikimia 65% yameegeshwa kwenye taasisi husika kwa kukosa mafuta

Na asikinia 35% ndio yenye mafuta ila hayatembea kutatua kero za wananchi bali yanazurura mitaan yakiwa na dereva pekee na mengine yanazurura yakiwa na familia ya muhusika aliekabiziwa gar hlo na magari hyo mengi yao hayatumii namba za serikal bal8 yanatumia namba binafsi zile za zaman zilizoanzia na (A) na (B)
 
Mbona Waziri wa mipango Huwa anasoma hotuba yenye figures za pesa ya Madafu? Hapo si unazidisha tuu unapata zaidi ya Shilingi Trilioni 220 za GDP
Wee kichwa nazi.

Thamsni ya shilingi na dola wakati huo na sasa zilikuwa sawa!
 
Wewe mpumbavu kweli,thamani ya Dola inahusikaje na mada tajwa hapo Juu?

Ndio maana inatumika $ Ili kuondoa hivyo visingizio vyenu vya kipumbavu
 
Back
Top Bottom