Rais wa Matajiri
JF-Expert Member
- Sep 14, 2018
- 1,522
- 643
Kafulila ndio kutwa kumsifia Rais Samia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uchumi ungekuwa, upungufu wa fedha za kigeni usingekuwepo, pili nguvu ya shillingi dhidi ya dola na Fedha zingine za nje ungekuwa mkubwa. Lakini ukiona unashindwa Kuendesha hata mwendokasi na Bandari ambazo ni biashara ya huduma za usafirishaji na uchukuzi basi ujue unashida za kiungozi
View attachment 3109280
Kwa unyenyekevu sana naomba kupitia tweet hii ya Mhe David Zacharia Kafulila.
Nawaomba mnaoshangaa Mhe Rais Dkt Samia Suluhu kukopa sana niwaombe pia kupitia tweet hii mshangae pia namna Rais Samia anavyokuza Uchumi kwa kiwango ambocho hakijawahi kushuhudiwa kwa miaka mingi.
Hebu nisaidieni ni Rais gani wa Tanzania tangu tupate Uhuru alikuza Uchumi kwa US$ 18bilioni ndani ya miaka Mitatu kama alivyofanya Rais Samia l eo?
Kama kweli kuna jambo mnaweza kumlalamikia Rais Samia kamwe haliwezi kuwa ni jambo la Ukopaji na ukuzaji wa Uchumi Tanzania.
Pia soma Deni La Taifa; Nyerere, Mkapa, Mwinyi, Kikwete na Magufuli kwa pamoja walikopa Trillioni 56.5. Samia kwa miaka 3 amekopa Trillioni 42
Chadema wapite kimya kimya hapa maana hawachelewagi kumtaja Mwenyekigoda wao milele
View attachment 3109280
Kwa unyenyekevu sana naomba kupitia tweet hii ya Mhe David Zacharia Kafulila.
Nawaomba mnaoshangaa Mhe Rais Dkt Samia Suluhu kukopa sana niwaombe pia kupitia tweet hii mshangae pia namna Rais Samia anavyokuza Uchumi kwa kiwango ambocho hakijawahi kushuhudiwa kwa miaka mingi.
Hebu nisaidieni ni Rais gani wa Tanzania tangu tupate Uhuru alikuza Uchumi kwa US$ 18bilioni ndani ya miaka Mitatu kama alivyofanya Rais Samia l eo?
Kama kweli kuna jambo mnaweza kumlalamikia Rais Samia kamwe haliwezi kuwa ni jambo la Ukopaji na ukuzaji wa Uchumi Tanzania.
Pia soma Deni La Taifa; Nyerere, Mkapa, Mwinyi, Kikwete na Magufuli kwa pamoja walikopa Trillioni 56.5. Samia kwa miaka 3 amekopa Trillioni 42
Kwani huu Uchumi uliokua ni wa kigeni?Uchumi ungekuwa, upungufu wa fedha za kigeni usingekuwepo, pili nguvu ya shillingi dhidi ya dola na Fedha zingine za nje ungekuwa mkubwa. Lakini ukiona unashindwa Kuendesha hata mwendokasi na Bandari ambazo ni biashara ya huduma za usafirishaji na uchukuzi basi ujue unashida za kiungozi
Hiyo ni TAKWIMU gani mkuu,inamaanisha sekta. Moja au ni aje,mbona population density and requirements hujagusia wakati huduma zinakuwa hafifu na madeni ya wazabuni hayalipiki na entertainment facility ( hotels) imekuwa single side(zenji) watalii hawafanyi hata shopping mnawakimbizia unguja ambao ni wategemezi kwa 10% ya pato la bara, mbona mnatupiga na kitu kizito ,dollar hakuna sababu export Iko chini kuliko import,na TRA wanakusanya kikuda bila kurudisha ktk jamii wanapeleka miradi brbr na ndege Tena kwa cash,this is mean.
View attachment 3109280
Kwa unyenyekevu sana naomba kupitia tweet hii ya Mhe David Zacharia Kafulila.
Nawaomba mnaoshangaa Mhe Rais Dkt Samia Suluhu kukopa sana niwaombe pia kupitia tweet hii mshangae pia namna Rais Samia anavyokuza Uchumi kwa kiwango ambocho hakijawahi kushuhudiwa kwa miaka mingi.
Hebu nisaidieni ni Rais gani wa Tanzania tangu tupate Uhuru alikuza Uchumi kwa US$ 18bilioni ndani ya miaka Mitatu kama alivyofanya Rais Samia l eo?
Kama kweli kuna jambo mnaweza kumlalamikia Rais Samia kamwe haliwezi kuwa ni jambo la Ukopaji na ukuzaji wa Uchumi Tanzania.
Pia soma Deni La Taifa; Nyerere, Mkapa, Mwinyi, Kikwete na Magufuli kwa pamoja walikopa Trillioni 56.5. Samia kwa miaka 3 amekopa Trillioni 42
Sasa hizo data hao wenye kuweka katika daraja Fulani , wanaangalia madafuKwani huu Uchumi uliokua ni wa kigeni?
Tu Mbili 😀🤣😀😂

Tunaomba mikakati mizuri ya uchumi,biashara zinakufa sana.
Nyie BAVICHA someni vizuri hii
View attachment 3109280
Kwa unyenyekevu sana naomba kupitia tweet hii ya Mhe David Zacharia Kafulila.
Nawaomba mnaoshangaa Mhe Rais Dkt Samia Suluhu kukopa sana niwaombe pia kupitia tweet hii mshangae pia namna Rais Samia anavyokuza Uchumi kwa kiwango ambocho hakijawahi kushuhudiwa kwa miaka mingi.
Hebu nisaidieni ni Rais gani wa Tanzania tangu tupate Uhuru alikuza Uchumi kwa US$ 18bilioni ndani ya miaka Mitatu kama alivyofanya Rais Samia l eo?
Kama kweli kuna jambo mnaweza kumlalamikia Rais Samia kamwe haliwezi kuwa ni jambo la Ukopaji na ukuzaji wa Uchumi Tanzania.
Pia soma Deni La Taifa; Nyerere, Mkapa, Mwinyi, Kikwete na Magufuli kwa pamoja walikopa Trillioni 56.5. Samia kwa miaka 3 amekopa Trillioni 42
Mkome kabisa,hakuna Serikali inagawa pesa ila ukiona magorofa yanaota mjini ujue watu wamechangamkia fursamh! tunaona namba tu ila huku mifukoni uchumi unatuchumu!,halina maana hilo ongezeko sasa!.
Mna tafsiri finyu ya uwekezaji.Bila kuwekeza kwenye human resources hakuna Cha maana utapata.Hapa inabidi tuambiwe ukwel tuache kudanganyana
kwahiyo uchumi umekuwa kwa uwekezaji au kwaajiri ya mikopo ya nchi
na kama tukidanganywa miundo mbinu ni uwekezaji hapo tutakuwa tuna danganywa
Tofautisha kati ya uwekezaji wa mitaji, ujenzi wa miundombinu na lengo au dhumuni la mkopo
maana mikopo mingne inawekezwa ktk sekta ambayo hawezi kuzalisha hata sh. Kumi kama ujenzi wa vyoo na madarasa
Mbona Waziri wa mipango Huwa anasoma hotuba yenye figures za pesa ya Madafu? Hapo si unazidisha tuu unapata zaidi ya Shilingi Trilioni 220 za GDPHizi ni siasa, hatutaki siasa.
Atuambie kwa pesa zetu za madafu na si kwa USD
By 2023 ndio tulikiwa na $ 79.6B(takribani 80bln).Ukifanya ukuaji wa 5% kwa kila mwaka huwezi toka 67 hadi 85. Utafika kama 78-79
Ulitaka kutwa amtukane kama Machadema?Kafulila ndio kutwa kumsifia Rais Samia
View attachment 3109280
Kwa unyenyekevu sana naomba kupitia tweet hii ya Mhe David Zacharia Kafulila.
Nawaomba mnaoshangaa Mhe Rais Dkt Samia Suluhu kukopa sana niwaombe pia kupitia tweet hii mshangae pia namna Rais Samia anavyokuza Uchumi kwa kiwango ambocho hakijawahi kushuhudiwa kwa miaka mingi.
Hebu nisaidieni ni Rais gani wa Tanzania tangu tupate Uhuru alikuza Uchumi kwa US$ 18bilioni ndani ya miaka Mitatu kama alivyofanya Rais Samia l eo?
Kama kweli kuna jambo mnaweza kumlalamikia Rais Samia kamwe haliwezi kuwa ni jambo la Ukopaji na ukuzaji wa Uchumi Tanzania.
Pia soma Deni La Taifa; Nyerere, Mkapa, Mwinyi, Kikwete na Magufuli kwa pamoja walikopa Trillioni 56.5. Samia kwa miaka 3 amekopa Trillioni
Kumbe uchimi umeongezeka na hamsemi
View attachment 3109280
Kwa unyenyekevu sana naomba kupitia tweet hii ya Mhe David Zacharia Kafulila.
Nawaomba mnaoshangaa Mhe Rais Dkt Samia Suluhu kukopa sana niwaombe pia kupitia tweet hii mshangae pia namna Rais Samia anavyokuza Uchumi kwa kiwango ambocho hakijawahi kushuhudiwa kwa miaka mingi.
Hebu nisaidieni ni Rais gani wa Tanzania tangu tupate Uhuru alikuza Uchumi kwa US$ 18bilioni ndani ya miaka Mitatu kama alivyofanya Rais Samia l eo?
Kama kweli kuna jambo mnaweza kumlalamikia Rais Samia kamwe haliwezi kuwa ni jambo la Ukopaji na ukuzaji wa Uchumi Tanzania.
Pia soma Deni La Taifa; Nyerere, Mkapa, Mwinyi, Kikwete na Magufuli kwa pamoja walikopa Trillioni 56.5. Samia kwa miaka 3 amekopa Trillioni 42
Wee kichwa nazi.Mbona Waziri wa mipango Huwa anasoma hotuba yenye figures za pesa ya Madafu? Hapo si unazidisha tuu unapata zaidi ya Shilingi Trilioni 220 za GDP
Wewe mpumbavu kweli,thamani ya Dola inahusikaje na mada tajwa hapo Juu?Wee kichwa nazi.
Thamsni ya shilingi na dola wakati huo na sasa zilikuwa sawa!
Ukimsikiliza huyu chizi Kafulila unaweza kudhani nchi imepata uhuru 2021 na wakati muda wote wapo kwenye system
zombie kabisaMkome kabisa,hakuna Serikali inagawa pesa ila ukiona magorofa yanaota mjini ujue watu wamechangamkia fursa