Kafulila: Mitatu ya Rais Samia Uchumi ulikua kutoka US$67bil hadi US$85bil sawa na Ongezeko la TZS 46.8T mnaoshangaa deni la TZS 42T someni hii

Kama ni kweli mbona deni la Taifa linazidi kuwa kubwa sana? Mbona mfumuko wa bei ya bidhaa za viwandani bado upo juu? Mbona bidhaa za nishati kama Gesi na mafuta hayashuki bei ipasavyo ili kusaidia wananchi wa kipato cha chini? Mbona nafasi za ajira hazitoshelezi idadi ya wanataka ajira?
 
Hana Akili huyo kafulila na hajiamini inawezekana na mkimbizi tu.
 
Deni la Taifa kafikisha trillion Mia Moja huku makusanyo ya TRA kwa mwezi hayazidi trilioni tatu ambayo ndio yanayoendesha serikali.
Hayata kuwa yamelipwa hata baada ya kwenda mbinguni na kusaulika.
Anawabebesha wajukuu zetu wengine hata hawa jazaliwa mzigo wa madeni ambayo hawajui ni ya nini.
(hizo CT Scan zitakuwa zimesha kufa kama mabasi ya Mwendokasi)
 
Huyu anapashwa kuwa waziri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…