OffOnline
JF-Expert Member
- Apr 23, 2022
- 644
- 478
BAVICHA mnateseka kwa kila kitu Cha Wana CCMzombie kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
BAVICHA mnateseka kwa kila kitu Cha Wana CCMzombie kabisa
mambo mrembo..?BAVICHA mnateseka kwa kila kitu Cha Wana CCM
MumeoKati ya Kafulila na wewe nani chizi?
Wanalialia tu mara oooh Kafulila analipa watu 😆😆Ila Kafulila ni mtu hatari sana kwa ustawi wa CHADEMA sijui kama wanajua
Daaah tunakwenda wapi?Dola ni 2790 kubadilisha leo nimeenda CRDB mpk nikachoka
Kama ni kweli mbona deni la Taifa linazidi kuwa kubwa sana? Mbona mfumuko wa bei ya bidhaa za viwandani bado upo juu? Mbona bidhaa za nishati kama Gesi na mafuta hayashuki bei ipasavyo ili kusaidia wananchi wa kipato cha chini? Mbona nafasi za ajira hazitoshelezi idadi ya wanataka ajira?
View attachment 3109280
Kwa unyenyekevu sana naomba kupitia tweet hii ya Mhe David Zacharia Kafulila.
Nawaomba mnaoshangaa Mhe Rais Dkt Samia Suluhu kukopa sana niwaombe pia kupitia tweet hii mshangae pia namna Rais Samia anavyokuza Uchumi kwa kiwango ambocho hakijawahi kushuhudiwa kwa miaka mingi.
Hebu nisaidieni ni Rais gani wa Tanzania tangu tupate Uhuru alikuza Uchumi kwa US$ 18bilioni ndani ya miaka Mitatu kama alivyofanya Rais Samia l eo?
Kama kweli kuna jambo mnaweza kumlalamikia Rais Samia kamwe haliwezi kuwa ni jambo la Ukopaji na ukuzaji wa Uchumi Tanzania.
Pia soma Deni La Taifa; Nyerere, Mkapa, Mwinyi, Kikwete na Magufuli kwa pamoja walikopa Trillioni 56.5. Samia kwa miaka 3 amekopa Trillioni 42
Hizo namba za ukuaji wa uchumi haziaksi upunguaji wa umaskini kwa watu.mh! tunaona namba tu ila huku mifukoni uchumi unatuchumu!,halina maana hilo ongezeko sasa!.
Tunaijenga Zanzibar kwanzaDaaah tunakwenda wapi?
Hana Akili huyo kafulila na hajiamini inawezekana na mkimbizi tu.
View attachment 3109280
Kwa unyenyekevu sana naomba kupitia tweet hii ya Mhe David Zacharia Kafulila.
Nawaomba mnaoshangaa Mhe Rais Dkt Samia Suluhu kukopa sana niwaombe pia kupitia tweet hii mshangae pia namna Rais Samia anavyokuza Uchumi kwa kiwango ambocho hakijawahi kushuhudiwa kwa miaka mingi.
Hebu nisaidieni ni Rais gani wa Tanzania tangu tupate Uhuru alikuza Uchumi kwa US$ 18bilioni ndani ya miaka Mitatu kama alivyofanya Rais Samia l eo?
Kama kweli kuna jambo mnaweza kumlalamikia Rais Samia kamwe haliwezi kuwa ni jambo la Ukopaji na ukuzaji wa Uchumi Tanzania.
Pia soma Deni La Taifa; Nyerere, Mkapa, Mwinyi, Kikwete na Magufuli kwa pamoja walikopa Trillioni 56.5. Samia kwa miaka 3 amekopa Trillioni 42
Mumeo
Anawajibu kuitetea Serikali na CCMHuyu ngedere naye anahangaika sana haridhiki tu na cheo alichopewa uchawa kama Lucas Mwashambwa
Kazini kuna kaziDaaah
Deni la Taifa kafikisha trillion Mia Moja huku makusanyo ya TRA kwa mwezi hayazidi trilioni tatu ambayo ndio yanayoendesha serikali.
View attachment 3109280
Kwa unyenyekevu sana naomba kupitia tweet hii ya Mhe David Zacharia Kafulila.
Nawaomba mnaoshangaa Mhe Rais Dkt Samia Suluhu kukopa sana niwaombe pia kupitia tweet hii mshangae pia namna Rais Samia anavyokuza Uchumi kwa kiwango ambocho hakijawahi kushuhudiwa kwa miaka mingi.
Hebu nisaidieni ni Rais gani wa Tanzania tangu tupate Uhuru alikuza Uchumi kwa US$ 18bilioni ndani ya miaka Mitatu kama alivyofanya Rais Samia l eo?
Kama kweli kuna jambo mnaweza kumlalamikia Rais Samia kamwe haliwezi kuwa ni jambo la Ukopaji na ukuzaji wa Uchumi Tanzania.
Pia soma Deni La Taifa; Nyerere, Mkapa, Mwinyi, Kikwete na Magufuli kwa pamoja walikopa Trillioni 56.5. Samia kwa miaka 3 amekopa Trillioni 42
Huyu anapashwa kuwa waziri

Ni sawaIla Kafulila ni mtu hatari sana kwa ustawi wa CHADEMA sijui kama wanajua