Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Ukimsikiliza huyu chizi Kafulila unaweza kudhani nchi imepata uhuru 2021 na wakati muda wote wapo kwenye system
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dola ni 2790 kubadilisha leo nimeenda CRDB mpk nikachokaHizi ni siasa, hatutaki siasa.
Atuambie kwa pesa zetu za madafu na si kwa USD
Hana lolote ni tapeli tupuIla Kafulila ni mtu hatari sana kwa ustawi wa CHADEMA sijui kama wanajua
Hakika, hapa umenena vema.Serikali ya awamu ya sita uwazi ni mkubwa sana hivyo rushwa Iko chini sana
Mbona amekwambia vizuri tu hapo mkuuHizi ni siasa, hatutaki siasa.
Atuambie kwa pesa zetu za madafu na si kwa USD
Zidisha mara 2,600 kupata madafuHizi ni siasa, hatutaki siasa.
Atuambie kwa pesa zetu za madafu na si kwa USD
Mwashambwa wapo wengi, ila Mungu ni wetu sote
Kwanza kukopa hakuna shida,deni la takribani Trilioni 99 ni dogo sana kulinganisha na Ukubwa wa Uchumi wa Tanzania wenye zaidi ya Trilioni 221 za GDP
View attachment 3109280
Kwa unyenyekevu sana naomba kupitia tweet hii ya Mhe David Zacharia Kafulila.
Nawaomba mnaoshangaa Mhe Rais Dkt Samia Suluhu kukopa sana niwaombe pia kupitia tweet hii mshangae pia namna Rais Samia anavyokuza Uchumi kwa kiwango ambocho hakijawahi kushuhudiwa kwa miaka mingi.
Hebu nisaidieni ni Rais gani wa Tanzania tangu tupate Uhuru alikuza Uchumi kwa US$ 18bilioni ndani ya miaka Mitatu kama alivyofanya Rais Samia l eo?
Kama kweli kuna jambo mnaweza kumlalamikia Rais Samia kamwe haliwezi kuwa ni jambo la Ukopaji na ukuzaji wa Uchumi Tanzania.
Pia soma Deni La Taifa; Nyerere, Mkapa, Mwinyi, Kikwete na Magufuli kwa pamoja walikopa Trillioni 56.5. Samia kwa miaka 3 amekopa Trillioni 42
Olewa tunifikiwe sasahivi mambo ni magumu huku...🤣
duh!Olewa tu
Kutoka 65 hadi 85 ni ongezeko la asilimia 27. Tunaweza kusema uchumi wetu ulikuwa unakua kwa asilimia 9 kwa mwaka? Mbona data zinasomaga 5%?
Ukifanya ukuaji wa 5% kwa kila mwaka huwezi toka 67 hadi 85. Utafika kama 78-79Hii ni kwa miaka Mitatu 5% ni kwa kila mwaka
Ungekuwa haauna mifukoni ngekuwa na smartphone na data za kuja kujibu ujinga humu?mh! tunaona namba tu ila huku mifukoni uchumi unatuchumu!,halina maana hilo ongezeko sasa!.
pita pembeni we kibibi kibongeUngekuwa haauna mifukoni ngekuwa na smartphone na data za kuja kujibu ujinga humu?
Ungekuwa haauna mifukoni ngekuwa na smartphone na data za kuja kujibu ujinga humu?
Kayakusanya haya majobless yanamshushia nyuzi za kumsifu kila siku.Hana lolote ni tapeli tupu