Kafulila: Mwaka mmoja tu wa Rais Samia mauzo ya bidhaa na huduma nje yameongezeka kwa US$ 2.8bl Sawa na Shilingi trilioni 6

CM 1774858

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2021
Posts
5,621
Reaction score
5,029
Wakati baadhi ya Watanzania wachache wakiendelea kufumba macho na masikio wasione wala kusikia kazi kubwa na Nzuri inayofanywa na Rais wetu hodari wa awamu ya sita Mhe Samia Suluhu Hassan,

Aliyekuwa mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe David Kafulila ameandika haya Kwenye ukurasa wake wa tweeter kuhusu Tanzania kuvunja rekodi ya kuuza nje ya nchi bidhaa na huduma,

Kwa taarifa tu, Rekodi hii haijawahi kutokea tangu nchi yetu iwe huru kisiasa na kiuchumi,

#Hongera Rais Samia Suluhu Hassan na team yako,

👇👇👇


 
Kanogewa na teuzi huyu!! Kazi kusifia
 
Fix tu! Unasaka uteuzj tu!

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…