Kafulila: Mwaka mmoja tu wa Rais Samia mauzo ya bidhaa na huduma nje yameongezeka kwa US$ 2.8bl Sawa na Shilingi trilioni 6

Wa
Ni Waziri au Katibu Mkuu au Mkuu wa taasisi sio DC, DED protokali zinagoma
Watu walitolewa tra wakaenda KUwa Ma RAS Huko mikoani, wengine Makatibu wakuu wakaenda KUwa Ma RAS, achana na ujinga wa itifaki utakufa njaa
 
Hizo ni opinion za watu, Silazima aliyeandika hapo ni Kafulila, Don't generalize
 
Kuanzia 2019 mpaka sasa madhara ya uviko bado yapo.

Mwaka huu kidogo ndio kwanza mambo yameanza kulegea hivyo hakuna jipya wala la kusifia.
 
Unasemaje hakuna la kusifia wakati tumepata fedha za kigeni zaidi ya trilioni sita?

Why can't we be serious,
 
Ila huyu Mama anajitahidi Sana tukiacha chuki zetu za kijinga kijinga,
Mauzo kuongezeka kwa trilioni 6 sio jambo dogo,
2025 kura yangu anayo huyu Mama
Shida yake tu hana ubongo unaojitegemea!
 
Mama hana shida anajua kanuni za kazi sema amemkumbatia muhuni mwizi ila hajui kama ni mwizi kila kukicha anakaa kufikiri kuibia Wananchi..mimi akimuondoa yule ntaibeba familia yangu kwenda kupiga kura kama atabaki nae ntawaangalia wapiga kura...
 
Hizo ni opinion za watu, Silazima aliyeandika hapo ni Kafulila, Don't generalize
Umeelewa?? Nilimkkoti MTU aliyesema kafulila hawez kuteuliwa nafas za chini ya mku wa mkoa nikampa mifanoooo.kisa itifak
 
Acha kutukana watu bhana, kwanini Moderator JamiiForums karuhusu comment yako? Kwahiyo watanzania ambao watachagua Mgombea tofauti na unayemtaka wewe ndio wanakuwa ni wapumbavu?
Hahaaa mkapa alishawahi kutuita watz wapumbavu so tangu hapo sio tusi tena likawa halali kutumika popote saa yoyote...

Sent from my Infinix X624B using JamiiForums mobile app
 
Ila huyu Mama anajitahidi Sana tukiacha chuki zetu za kijinga kijinga,
Mauzo kuongezeka kwa trilioni 6 sio jambo dogo,
2025 kura yangu anayo huyu Mama
Ushawai kuugua ugonjwa wowote utotoni????
 
Back
Top Bottom