Kafulila: Mwaka mmoja tu wa Rais Samia mauzo ya bidhaa na huduma nje yameongezeka kwa US$ 2.8bl Sawa na Shilingi trilioni 6

Kafulila yuko vizuri
 
Ila huyu Mama anajitahidi Sana tukiacha chuki zetu za kijinga kijinga,
Mauzo kuongezeka kwa trilioni 6 sio jambo dogo,
2025 kura yangu anayo huyu Mama
😍😍
 
Me Mungu anisamehe tu kwa kweli
 
Tulia wewe kijana
 
Tumbili atulizane,aache uchawa!
Ampikie Jesca akiwa kwenye majukumu yake ya Covid 19.
Muda wake wa matumizi umeisha.
 
Duh Tumbili mama keshakusikia,pumzika kidogo unatuchosha na makele yako.
 
Duh Tumbili mama keshakusikia,pumzika kidogo unatuchosha na makele yako.
nafahamu,shida yenu Ni Uzalendo tu, Kafulila tangu enzi ya ESCROW huyu yuko bold Sana kusaidia nchi yake, CCM tunatamani akina Kafulila wengi,Dont stop him
 
Unatafuta huruma ati ee, usaliti ulikuponzaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…