Kafulila: Pato la Kila Mtanzania litafikia TZS 17M kwa mwaka 2050

Bavicha Mazezeta wengi

Zezeta ni wewe ambaye kila maoni tofauti unayachukulia ni ya BAVICHA. Unataka kila mtu aukubali mtizamo wa huyo Kafulila asiyejua chochote?. Yani Kafulila ndio awe benchmark kwenye mambo ya uchumi Tanzania?. Punguza ujinga. Halafu mwambie Kafulila aache kuropoka afanye kazi aliyopewa.
 
Ushabiki ukizidi sana unageuka mpumbavu,.......hio $360 ya mwaka 2000,ndio sawa sawa ama zaidi na $1500 ya mwaka huu,unapolinganisha $ na Tzs unadhani hio $ thamani yake inabaki hivo hivo?,so due to inflation na $ strengthen hio 17M ya 2050 inaweza kua ni ada ya shule rahisi ya sekondari private
 
Kati ya Kafulila na Mzee Mbowe nani anaropoka?
Bavicha kwanini hamtaki kujitambua?
 
Soma vizuri hiyo tweeter X ameandika in dollars
 
Anafaa sana huyu 2030
 
Unamaanisha data zote za Serikali ni uongo?
Data nyingi zina favor interest za serikali. Serikali ilikwisha jiwekea kinga ya kupiga marufuku taasisi binafsi au NGO kukusanya data kwa hiyo watu wanalazimishwa kutumia data za serikali ambazo kwa hakika zina mapungufu mengi.
 
pesa itakua imeshuka thamani kwaiyo 27M iyakua sio kitu
 
Kafulila ni Mwamba sana
 
Eeh Mungu Baba Mwenyezi nakushukuru kwa kufanikisha juhudi zangu na kunitoa kwenye hizi hesabu za kipumbavu za hawa watu
 
Safi sana Kafulila
 

Uchumi ni Action ,Plan ,sera ,sheria ,katiba bora hivyo vitu ndivyo factors ya kutuambia kwamba uchumi utakuwa hivi ,sasa kila kitu wanauziwa waarabu then uje na porojo zako kwamba 2050 pato la mtu m1m1 litakuwa 17m how? Labda utuambie ikifika 2050 nchi itakuwa haina rasilimali na itapigwa mnada hapo tutakuelewa.
 
Hii imekaa kisomi zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…