Kafulila: Pato la Kila Mtanzania litafikia TZS 17M kwa mwaka 2050

Kafulila mbona unajipanpromo?
 
Atakuwa anatembelea mkongojo wa chuma au atakua anajiburuza kama kiwete?Tufumbe macho tuombe dua la kipato cha dolari 1500.InshaAllah!🙏
 
very law thinking, indonesia iliwachukua 8yrs kuachana na umasikini, Israel iliwachukua 3yrs kutoka nationless hadi kuaga umasikini,
 
africa inapaswa kuwa na mopango ya pamoja ya kuondokana na umasikini, haiwezekani tanzania iendelee msimbiji uganda congo masikini, nchi haitakalika,
 
Atakuwa anatembelea mkongojo wa chuma au atakua anajiburuza kama kiwete?Tufumbe macho tuombe dua la kipato cha dolari 1500.InshaAllah!🙏
magufuli ilimchukua miezi tu kututoa hipc hadi uchumi wa kati, na angeneendelea kuwa hai uchumi wetu ungekuwa imara africa
 
kwa mali asili tulizonazo Tanzania ni kidogo sana hizo.


Kweli tunasumbuliwa na adui ujinga.
 
Mwaka 2050uchumi wa SA itakuwa je,tunata atuambie pengo la kiuchumi wa walicho nacho na walala hoi litakuwa je.Ratio ya walichonacho na walalaho,Sasa Iko je na 2060 itakuwa je,.Purchasing power ya walala hoi itakuwa je,Katika ile pembe tatu ya mahitaji walalahoi wangapi watakuwa wametoka ile ngazi ya kwanza na kukwea ngazi ya pili"Manslow theory".tunahofu hilo Pato la wastani litakuwa kubwa lakini watu wasiokuwa na ajira watakuwa wengi,watoto wa mtaani watakuwa wengi,nyumba za urithi zenye familia zaidi ya tatu zitakuwa nyingi,kutakuwa na Old towns nyingi zenye miundombinu ya kizamani na iliyochakaa nyingi,single mother watakuwa wengi ,sijui Mungu awe nasi.
 
Kafulila hana akili kesho ukimuuliza atatoa takwimu tofauti na hizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…