Mwananchi Huru
JF-Expert Member
- Nov 20, 2021
- 2,128
- 1,896
- Thread starter
- #41
CCM Wako wengi TUTanzania ina,
1. Lissu,
2. Zitto
3. Kafulila
4. Heche
5. Polepole
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CCM Wako wengi TUTanzania ina,
1. Lissu,
2. Zitto
3. Kafulila
4. Heche
5. Polepole
Nani hakujui kama upo UWTMimi sio CCM ila Kafulila Mali sana
Sio kumpuuza tu bali kum ignore kabisa hakuna kitu anafanya kikaelewekaUnampuuzaje Kafulila kama unataka kujifunza mambo mazito ya hii Dunia?
Basi wewe unamatatizo makubwa, Umeshawahi kumsikiliza?Sio kumpuuza tu bali kum ignore kabisa hakuna kitu anafanya kikaeleweka
Itakuwa ww ndio unamatatizo kama unapoteza muda kumsikilza tumbiliBasi wewe unamatatizo makubwa, Umeshawahi kumsikiliza?
Hata kama angekuwa nyani kambisa ila kama anatema madini lazima kumsikiliza ndio maana wazee walisema kubali wito KATAA neno,Itakuwa ww ndio unamatatizo kama unapoteza muda kumsikilza tumbili
Sio kitu sema akiliIla Kafulila Kuna kitu anacho Cha kipekee hata kama hatupendi kuwasifia watu wakiwa hai
Kafulila kanenepa sana dili zipo hukoKule ndiyo dili zinapitia, hao akina DP World lazima wasajili na PPP kwanza
Amekuwa kama wale kondoo wa shingo nene asee, anaiba haswaKafulila kanenepa sana dili zipo huko
Kwahiyo huyu kijana Kufulila anatwambi kwamba dunia inadaiwa.===
Huu ni mwaka ambao Dira ya Maendeleo ya Taifa ya awamu ya tatu chini ya Rais Benjamin Mkapa (2000-2025) imekamilika kwa mafanikio wakati Dira ya Sasa ya 2025-2050 chini ya Rais Samia Suluhu Hassan imeandaliwa na inasubiri kuzinduliwa tu kwa mafanikio pamoja na kwamba huu ni mwaka wa Uchaguzi alisema David Kafulila Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia nchini Tanzania PPPC Bw David Kafulila.
Kwenye Dunia hii ambayo ni ya Utandawazi ( information age ) Mahitaji ya binadamu duniani kote yamezidi kuwa makubwa zaidi ukilinganisha na uwezo w Serikali zetu zote duniani kuyakidhi Mahitaji hayo kwa kutumia Mikopo na Kodi ndio sababu Dunia inatutaka sisi kama Serikali kutafuta njia Mbadala ya kuendesha bajeti zetu nje ya Kodi au Mikopo alisisitiza.
Anasema, Kwa mujibu wa Ripoti ya IMF ya Oct 2024 uchumi wa dunia wa Serikali zote duniani umefikia US$ 102trilion wakati deni la dunia ni asilimia 95 ya Uchumi huo, Vile vile Deni lote la sekta binafsi nalo limefikia $164Trilioni huku Uchumi wote wa Dunia ukifikia $110trilioni ( Serikali & private ) lakini deni lote la Serikali, Sekta binafsi na Kaya jumla yake ni US$ 320 trilioni, Kwa maana nyingine deni la Dunia ni karibu mara tatu ya Uchumi wote wa Dunia kwa lugha nyepesi Dunia hii inaendeshwa kwa Mikopo.
Kafulila anasema wakati Uwiano wa deni la Africa kwa Uchumi wa Africa ni 67% Tanzania iko katika Hali nzuri kwani Uchumi kwa deni ni 47% wakati Kenya ni 70%, Rwanda% 71, Malawi 84% Msumbiji 96% Ghana 90% hivyo mwenendo wa deni la Tanzània kwa Uchumi wake ni mzuri ukilingamishwa na Chumi za nchi nyingi za Africa Mashariki na kati na Kusini.
View attachment 3231060
Serikalini patamu sanaAmekuwa kama wale kondoo wa shingo nene asee, anaiba haswa
Ajibiwe tu huyu maana anapotoshaKwahiyo huyu kijana Kufulila anatwambi kwamba dunia inadaiwa.
Ukimwambia mwali au nurse serikalini patamu anaweza kukukata na panga, watu wamejaa madeni tupu mpk ya bia, serikalini ni patamu kwa majangili machache hayafiki hata 2000Serikalini patamu sana
Unaweza kuthibitisha haya unayo yasema,nani asiependa hela dunia hiiKafulila ni mtu bora sana Kwa Sasa hapa Tanzania, hataki rushwa, hataki Ufisadi lakini ni mjuvi wa mambo mengi lazima uongozi umwangalie najua mtanisema Mimi ni chawa wake sawa ila hata nyie msikilizeni kwa makini
Pole snHata kama angekuwa nyani kambisa ila kama anatema madini lazima kumsikiliza ndio maana wazee walisema kubali wito KATAA neno,
1.Ameasisi Dira Mpya ya 2025===
Huu ni mwaka ambao Dira ya Maendeleo ya Taifa ya awamu ya tatu chini ya Rais Benjamin Mkapa (2000-2025) imekamilika kwa mafanikio wakati Dira ya Sasa ya 2025-2050 chini ya Rais Samia Suluhu Hassan imeandaliwa na inasubiri kuzinduliwa tu kwa mafanikio pamoja na kwamba huu ni mwaka wa Uchaguzi alisema David Kafulila Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia nchini Tanzania PPPC Bw David Kafulila.
Kwenye Dunia hii ambayo ni ya Utandawazi ( information age ) Mahitaji ya binadamu duniani kote yamezidi kuwa makubwa zaidi ukilinganisha na uwezo w Serikali zetu zote duniani kuyakidhi Mahitaji hayo kwa kutumia Mikopo na Kodi ndio sababu Dunia inatutaka sisi kama Serikali kutafuta njia Mbadala ya kuendesha bajeti zetu nje ya Kodi au Mikopo alisisitiza.
Anasema, Kwa mujibu wa Ripoti ya IMF ya Oct 2024 uchumi wa dunia wa Serikali zote duniani umefikia US$ 102trilion wakati deni la dunia ni asilimia 95 ya Uchumi huo, Vile vile Deni lote la sekta binafsi nalo limefikia $164Trilioni huku Uchumi wote wa Dunia ukifikia $110trilioni ( Serikali & private ) lakini deni lote la Serikali, Sekta binafsi na Kaya jumla yake ni US$ 320 trilioni, Kwa maana nyingine deni la Dunia ni karibu mara tatu ya Uchumi wote wa Dunia kwa lugha nyepesi Dunia hii inaendeshwa kwa Mikopo.
Kafulila anasema wakati Uwiano wa deni la Africa kwa Uchumi wa Africa ni 67% Tanzania iko katika Hali nzuri kwani Uchumi kwa deni ni 47% wakati Kenya ni 70%, Rwanda% 71, Malawi 84% Msumbiji 96% Ghana 90% hivyo mwenendo wa deni la Tanzània kwa Uchumi wake ni mzuri ukilingamishwa na Chumi za nchi nyingi za Africa Mashariki na kati na Kusini.
View attachment 3231060
Samià anatisha sana1.Ameasisi Dira Mpya ya 2025
2.Ameasisi Mageuzi ya Mitaala ya Elimu ya Msingi Hadi Vyuo Vikuu
3.Anakusanya maoni Ili kufumua mfumo wa Kodi ambao imekuwa sio Rafiki Kwa biashara na uwekezaji
Chawa max upo?1.Ameasisi Dira Mpya ya 2025
2.Ameasisi Mageuzi ya Mitaala ya Elimu ya Msingi Hadi Vyuo Vikuu
3.Anakusanya maoni Ili kufumua mfumo wa Kodi ambao imekuwa sio Rafiki Kwa biashara na uwekezaji
Ila wewe jamàa ni tatizo kubwaKafulila akishaiba huwa anakuja kusifia sababu dira inamruhusu kuiba bila kusumbuliwa
Karibu mtanzania tajiriIla wewe jamàa ni tatizo kubwa