Ona hii kichwa hewaNdo uzae sasa...the land is so biiiiggg...
Ona hii kichwa hewaNdo uzae sasa...the land is so biiiiggg...
Hii nchi haiongozwi kwa vitabu vya dini vya mungu wa Wayahudi na Waarabu.Mwanzo 1:28 Mungu akawabarikia, Mungu akawaambia, Zaeni, mkaongezeke, mkaijaze nchi, na kuitiisha; mkatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani, na kila kiumbe chenye uhai kiendacho juu ya nchi. Katiba tumeshindwa kuifuata, Hata Kitabu cha MWENYEZI MUNGU...!
Jifunze logical fallacies hizi kabla ya kubishana kijingajinga hapa.
Zitakusaidia sana huko mbele kwenye kujenga arguments.
Mujinga mwenyewe. HUJIELEWI.So far unabisha bila mantiki kama mjinga tu.
Unacho fanya ni evasion.Kila niliposema kuna logical fallacy kuna logical fallacy, si disagreement tu.
Mfano.
Ninapokuambia huwezi kufanikiwa bila kupunguza uzazi, hata kama ukiiondoa CCM, hapo sijakwambia kuwa utafanikiwa kwa kupunguza uzazi tu, usifanye jitihada nyingine za kuongeza productivity.
Yani nikikwambia kuwa huu ugonjwa huwezi kupona bila kufanya operesheni, hilo halimaanishi nimekwambia usinywe dawa zinazoweza kukusaidia pia kupambana na ugonjwa huo. Unaweza kufanya operesheni na kunywa dawa pia.
Sasa ukija kuniuliza swali kwamba, kupunguza uzazi tu kutanisaidiaje kama sina namna ya kuongeza productivity, swali lako ni la logical fallacy.
Swali linaonesha you are semi literate, hujui kusoma kwa ufahamu.
Umefanya non sequitur logical fallacy kwamba nikipunguza uzazi siwezi kuongeza ufanisi kwa namna nyingine yoyote, kama vile nimesema tatizo letu ni uzazi mkubwa tu, tukipunguza uzazi tutaendelea bila kuongeza ufanisi sehemu nyingine.
Mimi sijasema hivyo. Nimesema tunaweza kufanya vyote kwa pamoja, kupunguza uzazi na kuongeza ufanisi vingine.
Ika nimesema bila kupunguza uzazi hatutoboi.
Huelewi wapi?
Swali lako ni la logical non sequitur fallacy.
Swali lako ni la false dichotomy fallacy.
Clearly. Logically.
Hii si habari kwamba tusipokubaliana tu nasema unatumia logical fallacy.
Labda huelewi logical fallacy iko wapi. Labda huelewi logical fallacu ni nini. Ndiyo maana hunielewi.
Mimi sijadiliani na wewe hapa, wewe hujui kusoma kwa ufahamu nitajadikiana nawe vipi?
Naandikia kadamnasi ya JF inayofuatikia isome na kujifunza hapa kuna logical fallacy.
Logical non sequitur.
False dichotomy.
Strawman argument.
Look them up, you may get a better understanding.
Right now it seems you don't understand these logical fallacies.
Perhaps you don't even know what a logical fallacy is.
That is how you come across.
Mujinga mwenyewe. HUJIELEWI.
Unacho fanya ni evasion.
Kuhusu hizo I know them all.
Ila nimechagua kukupuuza.
YOU'RE ORDINARY MIND, THIS ARGUMENT IS ABOVE OF YOUR LEVEL , THUS WHY UNAKIMBILIA PERSONAL ATTACKS.
Aanzie kwao Kigoma
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPPC), David Kafulila, ametoa angalizo la kiuchumi kuhusu mipaka na uwezo wa kifedha wa serikali, akisisitiza kuwa nchi haiwezi kuendelea kubeba mzigo wa kujenga kila mradi wa kibiashara huku ikikabiliwa na ongezeko kubwa la idadi ya watu linalohitaji uwekezaji wa haraka katika elimu ya ufundi na maarifa.
Akiongoza mhadhara, Mkurugenzi Mtendaji wa PPPC, David Kafulila, alieleza kwa mantiki kuwa mfumo wa ubia kati ya sekta ya umma na sekta binafsi si anasa, bali ni dharura ya kiutawala inayosaidia kuondoa urasimu na kuelekeza rasilimali kwenye maeneo yenye tija zaidi kwa jamii.
“Serikali haiwezi kuwa na bajeti ya kutosha kujenga barabara kuu, masoko na vituo vya mabasi, kisha ikagharamia hadi ujenzi wa vyoo ndani ya stendi hizo na kubakiwa na uwezo wa kuwapatia elimu bora watoto wa familia masikini,” alisema Kafulila.
Alibainisha kuwa njia mbadala ya kimkakati ni kuziachia kampuni na sekta binafsi kujenga na kuendesha miradi yote ya kibiashara, ili fedha zinazookolewa zielekezwe kwenye ujenzi wa hospitali, ununuzi wa dawa na utoaji wa elimu bora.Mkurugenzi mtendaji huyo alianika takwimu zinazoonyesha kuwa kasi ya ongezeko la watu nchini imefikia asilimia 3.4, kiwango ambacho ni cha juu ukilinganisha na wastani wa bara la Afrika ambayo ni asilimia mbili.
“Ongezeko la idadi ya watu duniani limefikia asilimia moja huku India ikifikia asilimia 0.8, na kwamba China ambako idadi ya watu inaendelea kupungua,” alibainisha. Alionya kuwa iwapo kasi hii ya ongezeko la watu ambao wengi wao wanatoka katika kaya masikini haitadhibitiwa kupitia elimu ya uzazi wa mpango, itaendelea kuwa mzigo mzito wa kibajeti ya Taifa katika utoaji wa huduma za msingi.
Kama haiongozwi na vitabu vya dini wangeacha kuvitumia wakati wa kuapa, na wangeacha utaratibu wa kufungua vikao na mikutano kwa sala. Unaelekea wewe unatokea sayari ya mars, ya humu duniani tuachie wenyewe.Hii nchi haiongozwi kwa vitabu vya dini vya mungu wa Wayahudi na Waarabu.
Hatupaswi kutunga sera na kuongoza nchi kwa kuzingatia mythologies story za wachunga mbuzi wa jangawani huko mashariki ya kati walioshi miaka elfu nne iliyopita.
DuuuhSir Einstein, overpopulation inaweza kuwa changamoto, lakini je, overcorruption haipo kwenye equation? Au hiyo sehemu tumeamua kuiacha kwa makusudi?.