Kafulila: Serikali haiwezi kujenga kila kitu, punguzeni kuzaliana, tumieni uzazi wa mpango

Acha tuzaliane tu kwa kweli nchi bado ina idadi ndogo ya nguvu kazi
Nchi ina idadi kubwa ya nguvu kazi. Mamilioni ya vijana kwa sasa hawana ajira kabisa au kazi za maana. Kutembeza maji, ukwaji wa azamu, pipi n.k huko barabarani na stendi ni sawa na kutokuwa na kazi tu.

Wapeni kazi za staha kwanza mamilioni ya vijana wa sasa kabla kabla ya kutaka kuongeza wengine tu.
 
Kiongozi yeyote ambaye mke wake ana watoto kuanzia watatu asinyoshee watanzania vidole kuwa wapange uzazi. Walau aseme tupange uzazi. Lakini kwa sasa tatizo la kutozaliana limeonekana kuwa ni baya kama tu kuzaliana kupita kiasi.
 
Mkuu,

Unaelewa population increase ya nchi kama yetu ikoje? Unaelewa ni asilimia ngapi?

Unaelewa rate ya population increase ni ngapi? Unaelewa population yetu ina double kila baada ya miaka mingapi?

Unaelewa kwa kuzaliana kwa sasa, kufikia mwaka 2050 tutakuwa watu wangapi?

Unaele2a Tanzania population ina double kila miaka mingapi sasa?

Unaelewa kuwa kuwa na mapori mengi na rasilimali nyingi si hoja, kwa sababu unaweza ukawa na mapori na rasilimali ambazo huwezi kuzitumia, huna elimu, hayo mapori yote ukayakata ukabaki na jangwa na watu kibao ambao hata kulima hawawezi kwa sababu wamegeuza nchi yao kuwa jangwa?

Unaelewa overpopulation si suala la ardhi wala mapori, ni suala la watu kuweza kutumia hiyo ardhi na resources effectively?

Unaelewa kuwa nchi inaweza kuwa ndogo, ina watu wengi, na haiko overpopulated, kwa sababu watu wake wanaweza kutumia teknolojia vizuri, halafu nchi inaweza kuwa kubwa, haina watu wengi, ikawa overpopulated kwa sababu watu wake hawawezi kutumia teknolojia kuitumia hiyo ardhi effectively?

Do you even know what overpopulation is?

Naona Watanzania wengi hata hawajui overpopulation ni nini, wakipita huko kati na kuona mapori wanaona nchi bado inahitaji watu zaidi mapori mengi tu.
CCM bhana😆 mna- raise hoja za kijinga sana na hii mojawapo ya typical behavior of primitive African leader.

Huwa hawataki ukweli, they made mistakes then finds someone wa kumwachia mistake zao. SHAMELESS.

Anyway hoja ina some sense Ina logic but hapa ni kuzunguka.mbuyu tu ila tatizo hutaki kulisema huenda unajua ila unafanya makusudi. Kwa sababu CHAMA CHA MAFISADI (CCM) ndiyo kinamewafanya waTz akili zao ziwe hapa.

Nakubali population growth inaweza kuongeza pressure kwenye resources na public services.

Lakini kusema Tanzania ina overpopulation bila kuonyesha metric inayothibitisha hilo that's oversimplification.

Kama unakubali mwenyewe kwamba overpopulation si suala la idadi ya watu pekee bali ni uwezo wa kutumia resources effectively.

Swal.langu ni kwa nini solution iwe na kupunguza watu badala ya kuongeza productivity, human capital, technology na miundombinu?

Tanzania we don’t have population problem Tanzania tuna productivity problem…

Hatututmii rasilimali zetu kuleta productivity efficiency.

Swali la msingi la kujiuliza wote mimi na wewe je, kama tukipunguza Population (fertility rate) itatatua shule zisizotosha, hospitali duni, unemployment na low productivity ya watu waliopo sasa?

Kama haitatatua hayo, basi population control ni ngonjera tu za MAFISADI YA CCM, ambazo hazina uhalisia wowote ule.

Na hiyo 2050 tutakuwa idadi ya watu pia si uthibtisho wa overpopulation..

Halafu kuba kitu kinaitwa distribution (Population distribution) sijui kama unakijua.

Tanzania tuna population density ndogo sana, ukilinganisha na eneo tuliyo nalo.

Lakin pressure kubwa sana ipo Dar es Salaam, Arusha, Mwanza au maeneo fulani ya kilimo.

Hivyo kusema Tanzania ina watu wengi ni kuficha tatizo la spatial distribution, urban planning na infrastructure concentration.

Kwa hiyo usiniambie tu population ni kubwa. Niambie ni kubwa wapi, kwa productivity gani, kwa resources gani, na kwa carrying capacity ipi?

Kwa upande wa technology unakubali kwamba technology inaweza kufanya nchi yenye watu wengi itumie resources vizuri.

Kwa nini Tanzania isiweke nguvu kwanza kwenye technology, education, health, irrigation, manufacturing, logistics, colleges & universities

Kwa nini tuanze kwa kupunguza potential workforce kabla hatujaongeza productivity yake?

Kwa hiyo Mkuu, tatizo siyo population growth.

Swali la msingi si tutakuja na watu wangapi? bali tuuna uwezo gani wa kuwafanya hao watu wawe productive?

Kama Leo mtu ana mtoto mmoja tu, lakini hana uwezo wa kumpa maisha bora, kama Elimu, AFYA, na ajira yenye kipato kizuri...

Je, hiyo population control ndiyo itaweza kumwezesha huyo mwananchi kuhudumia mtoto wake vizuri?

Kiufupi tusizunguke mbuyu CCM ni tatizo hii.

Kama leo Tuna-fail productivity kwa watu wachache watakuwa maskini na. tukiongeza productivity, population kubwa inaweza kuwa nguvu ya uchumi.
 
Nchi ina idadi kubwa ya nguvu kazi. Mamilioni ya vijana kwa sasa hawana ajira kabisa au kazi za maana. Kutembeza maji, ukwaji wa azamu, pipi n.k huko barabarani na stendi ni sawa na kutokuwa na kazi tu.

Wapeni kazi za staha kwanza mamilioni ya vijana wa sasa kabla kabla ya kutaka kuongeza wengine tu.
Nina mifano ya kutosha katka familia nyingi sana ambao Wana watoto wachache 1-2 nikiwemo mm mwenyewe...

Ajabu kwa uchache huo watoto wawili na mmoja, tulishindwa kupata maisha bora, kama vile Elimu, AFYA, ajira na kipato ambacho kinakidhi mahitaji yetu.

Siyo kwamba wazazi hawapambani, wanapambana sana tena sana, lakini kile kidogo wanacho pata baado hata wenyewe hakiwatoshi, kwa sababu tu ya sera mbovu za CCM za kushindwa kuweka mpango madhubuti ya kuwawezesha wazazi hao kuwapa maisha bora watoto wao.

Swali la msingi hapa. Je, kama Leo familia yenye mtoto mmoja inashindwa kumpa maisha bora kwa sababu ya kipato kidogo, je hiyo family planning ndiyo italeta maendeleo? Ndiyo itaboresha huduma za kijamii? Ndiyo itaboresha miundombinu? Ndiyo itamwezesha Mkulima wa Bariadi kule kufikisha Mazak yake sokoni kuuza bei rafiki? Au kutafuta pa kuzingizia wakati tatizo liko pale pale.
 
CCM bhana😆 mna- raise hoja za kijinga sana na hii mojawapo ya typical behavior of primitive African leader.

Huwa hawataki ukweli, they made mistakes then finds someone wa kumwachia mistake zao. SHAMELESS.

Anyway hoja ina some sense Ina logic but hapa ni kuzunguka.mbuyu tu ila tatizo hutaki kulisema huenda unajua ila unafanya makusudi. Kwa sababu CHAMA CHA MAFISADI (CCM) ndiyo kinamewafanya waTz akili zao ziwe hapa.

Nakubali population growth inaweza kuongeza pressure kwenye resources na public services.

Lakini kusema Tanzania ina overpopulation bila kuonyesha metric inayothibitisha hilo that's oversimplification.

Kama unakubali mwenyewe kwamba overpopulation si suala la idadi ya watu pekee bali ni uwezo wa kutumia resources effectively.

Swal.langu ni kwa nini solution iwe na kupunguza watu badala ya kuongeza productivity, human capital, technology na miundombinu?

Tanzania we don’t have population problem Tanzania tuna productivity problem…

Hatututmii rasilimali zetu kuleta productivity efficiency.

Swali la msingi la kujiuliza wote mimi na wewe je, kama tukipunguza Population (fertility rate) itatatua shule zisizotosha, hospitali duni, unemployment na low productivity ya watu waliopo sasa?

Kama haitatatua hayo, basi population control ni ngonjera tu za MAFISADI YA CCM, ambazo hazina uhalisia wowote ule.

Na hiyo 2050 tutakuwa idadi ya watu pia si uthibtisho wa overpopulation..

Halafu kuba kitu kinaitwa distribution (Population distribution) sijui kama unakijua.

Tanzania tuna population density ndogo sana, ukilinganisha na eneo tuliyo nalo.

Lakin pressure kubwa sana ipo Dar es Salaam, Arusha, Mwanza au maeneo fulani ya kilimo.

Hivyo kusema Tanzania ina watu wengi ni kuficha tatizo la spatial distribution, urban planning na infrastructure concentration.

Kwa hiyo usiniambie tu population ni kubwa. Niambie ni kubwa wapi, kwa productivity gani, kwa resources gani, na kwa carrying capacity ipi?

Kwa upande wa technology unakubali kwamba technology inaweza kufanya nchi yenye watu wengi itumie resources vizuri.

Kwa nini Tanzania isiweke nguvu kwanza kwenye technology, education, health, irrigation, manufacturing, logistics, colleges & universities

Kwa nini tuanze kwa kupunguza potential workforce kabla hatujaongeza productivity yake?

Kwa hiyo Mkuu, tatizo siyo population growth.

Swali la msingi si tutakuja na watu wangapi? bali tuuna uwezo gani wa kuwafanya hao watu wawe productive?

Kama Leo mtu ana mtoto mmoja tu, lakini hana uwezo wa kumpa maisha bora, kama Elimu, AFYA, na ajira yenye kipato kizuri...

Je, hiyo population control ndiyo itaweza kumwezesha huyo mwananchi kuhudumia mtoto wake vizuri?

Kiufupi tusizunguke mbuyu CCM ni tatizo hii.

Kama leo Tuna-fail productivity kwa watu wachache watakuwa maskini na. tukiongeza productivity, population kubwa inaweza kuwa nguvu ya uchumi.

Inaonekana una hasira sana na CCM mpaka unahemuka kuita watu CCM bila hata uhakiki.

Kwanza mimi si CCM. Acha kuhemuka. Nawakosoa CCM kila siku. Leo hapa nimetoka kuwakosoa.

Pili, hoja yako ni logical non sequitur fallacy.

Kwa sababu inawezekana mambo mawili yote yakawa kweli kwa pamoja, kwamba inawezekana Watanzania wengi ni wajinga wanazaliana sana bila mpango, na hapohapo CCM ina uongozi mbovu.

Ukweli kwamba Watanzania wengi ni wajinga wanazaana sana bila mpango haufanyi CCM kuwa ni chama kizuri kisicho na lawama. Wewe umenishambulia kama vile kusema Watanzania wengi ni wajinga wanazaliana bila mpango maana yake CCM ni chama kizuri. Umeunganisha mambo mawili kwa namna ambayo mimi sijasema hivyo.

Hili si swali ambalo jibu lake ni lazima liwe A na kama si A basi lazima liwe B.

Unaleta false dichotomy logical fallacy.

Umeuliza kwa nini tusiongeze productivity badala ya kupunguza uzazi?

Kwani nani kasema tusiongeze productivity?

Again, this is a false dichotony. Kwamba "ama tupunguze uzazi, ama tuongeze productivity". Kwani haiwezekani kufanya vhote?

Unajua hesabu za kuongeza productivity zipo vipi?

Unajua unahitaji kumsomesha mtu kwa miaka mingapi mpaka awe productive katika jamii?

Unajua kama hujapunguza uzazi katika hiyo miaka ya kutaka kuongeza productivity, hizo habari za kuongeza productivity zitakuwa ni ndoto ya kuifukuza tu bila kuifikia?

Unajua kwa hesabu za kumsomesha mtu awe na miaka angalau 16 ili kuweza kufanya kazi na angalau miaka 23 awe productive properly zinapelekea population ku double kabla huyo mtu hajawa productive, yani ukitaka kuongeza productivity bila kupunguza uzazi, population yetu ya sasa ya watu milioni 70 itakuwa milioni 140? Wengi wakiwa ni watu wadogo tegemezi wanaoongeza mzigo katika jamii na kushusha productivity?

Unaelewa kuwa hapo hakuna hesabu za kuongeza productivity bila kupunguza uzazi?

Unaelewa kuwa hesabu za productivity zinahusisha hesabu za breadwinners wangapi wana support watoto wangapi, na bila kupunguza hii 3% annual population increase timebomb ya watoto ambao ni tegemezi na unproductive huwezi kuongeza productivity hapo kwa nfumo wowote wa kiuchumi ambao uko feasible sasa hivi Tanzania?

Pia, kwa nini unaona mtu akisema tupunguze uzazi, anatakiwa kufanya hiyo habari ya kupunguza uzazi tu, bila kufanya habari nyingine za kuongeza productivity?

Kwa nini huelewi kuwa kwa sasa, chochote tunachofanya kuongeza productivity, hakitusaidii sana, kwa sababu ni kama tunakimbia katika treadmill iliyosimama, juhudi zetu hazitusogezi mbele, na pengine tunarudi nyuma, kwa sababu juhudi zote zinamezwa na ukuaji wa population?

Umemsoma Professor Paul Bjerk katika "Building A Peaceful Nation: Julius Nyerere and The Establishment of Tanzania 1961 - 1964" professor Bjerk alivyoelezea jinsi serikali ya kwanza Nyerere ilivyoanza mpango wa maendeleo kwa ari kubwa, ikafanya kila kitu by the book, ikasahau kuangalia population growth, na baada ya miaka mitano, ingawa mipango yote ilitekelezwa kama ilivyopangwa, mwishowe mipango ilikuwa ishapitwa na wakati kwa sababu serikali haikuangalia suala la ongezeko la watu?

Umesoma haya mambo yalivyotusumbua tangu tunapata uhuru au unarukia hoja kwa hisia tu?

Unauliza "Kwa nini tuanze kwa kupunguza potential workforce kabla hatujaongeza productivity yake?"

Kwa sababu hatujaongeza productivity yake.

Unataka kuongeza watoto kwenye nyumba ndogo ambayo haitoshi watoto ulionao kabla hujawatafutia nafasi ya chumba cha kulala hao watoto wapya?

Kabla hujawezesha watu waliopo kupika kwa nishati bora, ukiongeza watu inaleta tatizo la mazingira tu la watu kukata miti na kusababisha jangwa.

Weka teknolojia kwanza kabla ya kuongeza watu.

Kabla hujaweza kujenga shule nzuri, makazi bora, vyuo vya kutosha, kuweza kuwa na uchumi wenye kuweza kutoa ajira zaidi, kwa nini unataka kuongeza watu?

Una watoto wawili, huwezi kuwalisha kuwaelimisha na kuwapa dawa, halafu unasema hapa suluhisho ni kuongeza watoto watano zaidi?

Hawa watu waliopo tu wanalia njaa, hawana kazi, hawana elimu, hawana tiba, unaona kuongeza watu zaidi ndiyo suluhisho la matatizo yetu?
 
Inaonekana una hasira sana na CCM mpaka unahemuka kuita watu CCM bila hata uhakiki.

Kwanza mimi si CCM. Acha kuhemuka. Nawakosoa CCM kila siku. Leo hapa nimetoka kuwakosoa.

Pili, hoja yako ni logical non sequitur fallacy.

Kwa sababu inawezekana mambo mawili yote yakawa kweli kwa pamoja, kwamba inawezekana Watanzania wengi ni wajinga wanazaliana sana bika mpango, na hapohapo CCM ina uongozi mbovu.

Ukweli kwamba Watanzania wengi ni wajinga wanazaana sana bila mpango haufanyi CCM kuwa ni chama kizuri kisicho na lawama. Wewe umenishambulia kama vike kusema Watanzania wengi ni wajinga wanazaliana bila mpango maana yake CCM ni chama kizuri. Umeunganisha mambo mawili kwa namna ambayo mimi sijasema hivyo.

Hili si swali ambalo jibu lake ni lazima liwe A na kama si A basi lazima liwe B.

Unaleta false dichotomy logical fallacy.

Umeuliza kwa nini tusiongeze productivity badala ya kupunguza uzazi?

Kwani nani kasema tusiongeze productivity?

Again, this is a fakse dichotony. Kwamba "ama tupunguze uzazi, ama tuongeze productivity". Kwani haiwezekani kufanya vhote?

Unajua hesabu za kuongeza productivity zipo vipi?

Unajua unahitaji kumsomesha mtu kwa miaka mingapi mpaka awe productive katika jamii?

Unajua kama hujapunguza uzazi katika hiyo miaka ya kutaka kuongeza productivity, hizo habari za kuongeza productivity zitakuwa ni ndoto ya kuifukuza tu bila kuifikia?

Unajua kwa hesabu za kumsomesha mtu awe na miaka angalau 16 ili kuweza kufanya kazi na angakau miaka 23 awe productive properly zinapelekea popukation ku double kabla huyo mtu hajawa productive, yani ukitaka kuongeza productivity bila kuounguza uzazi, population yetu ya sasa ya watu milioni 70 itakuwa milioni 140? Wengi wakiwa ni watu wadogo tegemezi wanaoongeza mzigo katika jamii na kushusha productivity?

Unaelewa kuwa hapo hakuna hesabu za kuongeza productivity bila kupunguza uzazi?

Unaelewa kuwa hesabu za productivity zinahusisha hesabu za breadwinners wangapi wana support watoto wangapi, na bila kupunguza hii 3% annual population increase timebomb ya watoto ambao ni tegemezi na unproductive huwezi kuongeza productivity hapo kwa nfumo wowote wa kiuchumi ambao uko feasible sasa hivi Tanzania?

Pia, kwa nini unaona mtu akisema tupunguze uzazi, anatakiwa kufanya hiyo habari ya kupunguza uzazi tu, bila kufanya habari nyingine za kuongeza productivity?

Kwa nini huelewi kuwa kwa sasa, chochote tunachofanya kuongeza productivity, hakitusaidii sana, kwa sababu ni kama tunakimbia katika treadmill iliyosimama, juhudi zetu hazitusogezi mbele, na pengine tunarudi nyuma, kwa sababu juhudi zote zinamezwa na ukuaji wa population?

Umemsoma Professor Paul Bjerk katika "Building A Peaceful Nation: Julius Nyerere and The Establishment of Tanzania 1961 - 1964" professor Bjerk alivyoelezea jinsi serikali ya kwanza Nyerere ilivyoanza mpango wa maendeleo kwa ari kubwa, ikafanya kila kitu by the book, ikasahau kuangalia population growth, na baada ya miaka mitano, ingawa mipango yote ilitekelezwa kama ilivyopangwa, mwishowe mipango ilikuwa ishapitwa na wakati kwa sababu serikali haikuangalia suala la ongezeko la watu?

Umesoma haya mambo yalivyotusumbua tangu tunapata uhuru au unarukia hoja kwa hisia tu?

Unauliza "Kwa nini tuanze kwa kupunguza potential workforce kabla hatujaongeza productivity yake?"

Kwa sababu hatujaongeza productivity yake.

Unataka kuongeza watoto kwenye nyumba ndogo ambayo haitoshi watoto ulionao kabla hujawatafutia nafasi ya chumba cha kulala hao watoto wapya?

Kabla hujawezesha watu waliopo kupika kwa nishati bora, ukiongeza watu inaleta tatizo la mazingira tu la watu kukata miti na kusababisha jangwa.

Weka teknolojia kwanza kabla ya kuongeza watu.

Kabla hujaweza kujenga shule nzuri, makazi bora, vyuo vya kutosha, kuweza kuwa na uchumi wenye kuweza kutoa ajira zaidi, kwa nini unataka kuongeza watu?

Una watoto wawili, huwezi kuwalisha kuwaelimisha na kuwapa dawa, halafu unasema hapa suluhisho ni kuongeza watoto watano zaidi?

Hawa watu waliopo tu wanalia njaa, hawana kazi, hawana elimu, hawana tiba, unaona kuongeza watu zaidi ndiyo suluhisho la matatizo yetu?
Naona umepanic kusema chama Cha Mafisadi CCM ndiyo tatzo la nchi hii, ndiyo inatufanya tuone maendeleo makubwa lakini kumbe hakuna kitu.

Niongeze hapo, ndiyo nina hasira na CCM kwa sababu waliua my innocent Brother, bila sababu za Msingi nk lakini pia kwa mambo yanayo endelea yanafanya niichukie zàidi.

Nianze kwa kusema baadhi ya maneno you quoted me wrong.

Nirudi kwenye hoja zako, umeongea mengi in the same sense Yana logic, lakini baado hayajibu maswali yangu niliona kuuliza

Hoja yangu si kwamba population growth haina effect.

Hoja yangu ni kwamba population siyo tatizo nchi kusema kwamba Pop. Ni binding constraint ya Tz siyo kweli.

Let’s back here

Hapa niliuliza je tatzo la Tz ni population, au ni uwezo wa mfumo wa serikali kubadilisha population na resources tulizonazo kuwa productivity na better living standards?

Nikatolea mfano hapa, Kama leo familia yenye mtoto mmoja ina kipato kidogo, mtoto hapati elimu bora, afya bora na mzazi hana ajira yenye kipato kizuri, ni kwa sababu ana mtoto mmoja, au kwa sababu earning capacity na mfumo wa uchumi ni dhaifu? Ukimwambia huyo mzazi asizae, bado tatizo la kipato, ajira, elimu na afya lipo.

Kama population control ndiyo solution, ni tatizo gani hasa tunategemea litokee? Je, shule zitajengwa? Hospitali zitaboreshwa? Barabara zitajengwa? Kilimo kitaboreshwa? Viwanda vitaongezeka? Ajira zitatengenezwa? Serikali itakusanya kodi vizuri zaidi?

Kama jibu ni hapana, basi tunakubaliana kwamba population control ni pngonjera za Mafisadi CCM, si solution ya msingi wa development.

Nilizungumzia Kuhusu population distribution naona hapa umekwepa.

Tanzania si sahihi ni overpopulated/itakua overpopulated within next 10,20, year. Big no.

Kuna concentration kubwa ya watu na economic activity kwenye maeneo machache, huku maeneo mengine yakiwa na underutilised land na fursa chache.

Kwa nini tusizungumzie spatial economic planning barabara, uemem, unwagiliaj, industries, logistics, shule na mahosptalin Ili fursa za kiuchumi zisibaki concentrated mijini?

Mtu anayekimbia kijijini kwenda Dar es Salaam kwa sababu hakuna fursa kijijini haonyeshi kwamba Tz Kuwa Ina watu wengi, ila anaonyesha kwamba economic opportunities hazijasambazwa vizuri.

Hii Tanzania unayo iona ni Asilimia 6 ya watu waliyo hitimu vyuo vya kati na vikuu (tertiary education) lakini hao graduates baado hawana ajira, maisha yao ni magumu kipato chao changamoto je hilo unalizungumziaje? Tatzo ni pPop?

Je, tatizo ni kwamba Tanzania imezalisha watu wengi, au uchumi umeshindwa kuzalisha productive employment kwa watu tulio nao?

Na hapa ndipo tunarudi kwenye productivity.

Productivity haiji kwa kupunguza watu tu. Inatokana na technology, quality education, healthcare, reliable energy, industrialisation, nk

Population inaweza kuongeza pressure kwenye mfumo dhaifu kama huu wa CCM

LAKINI huu Mfumo wa Mafisadi CCM pia unaweza kuifanya population yoyote ionekane kubwa, regardless ni ndogo au ni kubwa.

Hivyo swali langu bado lipo pale pale:

Tukipunguza fertility kesho, bila kubadilisha productivity, governance, investment, infrastructure na spatial distribution ya economic opportunities ni njia gani gani hasa itakayofanya Tanzania iwe developed?
 
Hakuna nilipopanic unalazimisha mimi kuwa CCM wakati mimi si CCM.

Ni hivi, CCM ni tatizo. Hilo halina ubishi.

Lakini, pia ukiiondoa CCM leo bila ku address tatizo la population growth ya 3% kwa mwaka, hutoboi. Huzidishi productivity kwa mfumo wowote wa kiuchumi Tanzania.

Kwa sababu utakuwa na nchi "bottom heavy". Utatakiwa usomeshe, uwape huduma za afya, uwalishe watoto wengi tegemezi kwa miaka 18 mpaka 23 mpaka watakapoweza kuanza kazi.

Babies are not economically productive. Huelewi wapi?

You do not have that luxury. That is not the picture of productivity.

Na hao watoto nao usipopunguza uzazi watazaa watoto wengi zaidi.

Kuna binti single mother, hajafikisha hata miaka 40, alikuwa analalamika kaachiwa watoto watatu mabinti awalee, hana msaada.

Juzi nasikia yule binti wake wa kwanza naye ana mimba anakwenda kuzaa hivi karibuni.

Huyu mama anaenda kuwa bibi kabla ya kufikisha miaka 40. Miaka 18 ijayo huyo mjukuu naye si ajabu atakuwa na mtoto.

Sasa huelewi wapi kuwa huwezi kutengeneza uchumi wenye high productivity wakati unazalisha watoto wengi ambao wanakuwa tegemezi kwa miaka 18 mpaka 23 kabla hawajaweza kujitegemea?

Yani by the time hawa watoto wanaweza kujitegemea, population isha double kutoka milioni 70 mpaka 140.

Unajua population ya Tanzania inachukua muda gani ku double sasa hivi kwa rate yetu ya annual growth ya 3%?

Ushaongeza matatizo kabla ya kuongeza uwezo wa kutatua matatizo.

Huelewi wapi hapo?

Swali lako la tukiongeza population bila kuongeza productivity ni la kijinga, ni la strawman logical fallacy.

Kwa sababu mimi sijasema tupunguze uzazi halafu tusiongeze productivity.

In fact nimekuuliza kwa nini unafanya false dichotomy kwamba ukipunguza uzazi huwezi kufanya jitihada za kuongeza productivity pia?

Ulielewa hiko swali? Au najibizana na mtu asiye na uwezo wa kusoma kwa ufahamu hapa?

Kwa nini unauliza swali la kijinga la false dichotomy logical fallacy?

How many times am I going to point this out?

Are you semi literate?
 
Mwanzo 1:28 Mungu akawabarikia, Mungu akawaambia, Zaeni, mkaongezeke, mkaijaze nchi, na kuitiisha; mkatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani, na kila kiumbe chenye uhai kiendacho juu ya nchi. Katiba tumeshindwa kuifuata, Hata Kitabu cha MWENYEZI MUNGU...!

Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPPC), David Kafulila, ametoa angalizo la kiuchumi kuhusu mipaka na uwezo wa kifedha wa serikali, akisisitiza kuwa nchi haiwezi kuendelea kubeba mzigo wa kujenga kila mradi wa kibiashara huku ikikabiliwa na ongezeko kubwa la idadi ya watu linalohitaji uwekezaji wa haraka katika elimu ya ufundi na maarifa.

Akiongoza mhadhara, Mkurugenzi Mtendaji wa PPPC, David Kafulila, alieleza kwa mantiki kuwa mfumo wa ubia kati ya sekta ya umma na sekta binafsi si anasa, bali ni dharura ya kiutawala inayosaidia kuondoa urasimu na kuelekeza rasilimali kwenye maeneo yenye tija zaidi kwa jamii.

“Serikali haiwezi kuwa na bajeti ya kutosha kujenga barabara kuu, masoko na vituo vya mabasi, kisha ikagharamia hadi ujenzi wa vyoo ndani ya stendi hizo na kubakiwa na uwezo wa kuwapatia elimu bora watoto wa familia masikini,” alisema Kafulila.

Alibainisha kuwa njia mbadala ya kimkakati ni kuziachia kampuni na sekta binafsi kujenga na kuendesha miradi yote ya kibiashara, ili fedha zinazookolewa zielekezwe kwenye ujenzi wa hospitali, ununuzi wa dawa na utoaji wa elimu bora.Mkurugenzi mtendaji huyo alianika takwimu zinazoonyesha kuwa kasi ya ongezeko la watu nchini imefikia asilimia 3.4, kiwango ambacho ni cha juu ukilinganisha na wastani wa bara la Afrika ambayo ni asilimia mbili.

“Ongezeko la idadi ya watu duniani limefikia asilimia moja huku India ikifikia asilimia 0.8, na kwamba China ambako idadi ya watu inaendelea kupungua,” alibainisha. Alionya kuwa iwapo kasi hii ya ongezeko la watu ambao wengi wao wanatoka katika kaya masikini haitadhibitiwa kupitia elimu ya uzazi wa mpango, itaendelea kuwa mzigo mzito wa kibajeti ya Taifa katika utoaji wa huduma za msingi.
 
Hakuna nilipopanic unalazimisha mimi kuwa CCM wakati mimi si CCM.

Ni hivi, CCM ni tatizo. Hilo halina ubishi.

Lakini, pia ukiiondoa CCM leo bila ku address tatizo la population growth ya 3% kwa mwaka, hutoboi. Huzidishi productivity kwa mfumo wowote wa kiuchumi Tanzania.

Kwa sababu utakuwa na nchi "bottom heavy". Utatakiwa usomeshe, uwape huduma za afya, uwalishe watoto wengi tegemezi kwa miaka 18 mpaka 23 mpaka watakapoweza kuanza kazi.

Babies are not economically productive. Huelewi wapi?

You do not have that luxury. That is not the picture of productivity.

Na hao watoto nao usipopunguza uzazi watazaa watoto wengi zaidi.

Kuna binti single mother, hajafikisha hata miaka 40, alikuwa analalamika kaachiwa watoto watatu mabinti awalee, hana msaada.

Juzi nasikia yule binti wake wa kwanza naye ana mimba anakwenda kuzaa hivi karibuni.

Huyu mama anaenda kuwa bibi kabla ya kufikisha miaka 40. Miaka 18 ijayo huyo mjukuu naye si ajabu atakuwa na mtoto.

Sasa huelewi wapi kuwa huwezi kutengeneza uchumi wenye high productivity wakati unazalisha watoto wengi ambao wanakuwa tegemezi kwa miaka 18 mpaka 23 kabla hawajaweza kujitegemea?

Yani by the time hawa watoto wanaweza kujitegemea, population isha double kutoka milioni 70 mpaka 140.

Unajua population ya Tanzania inachukua muda gani ku double sasa hivi kwa rate yetu ya annual growth ya 3%?

Ushaongeza matatizo kabla ya kuongeza uwezo wa kutatua matatizo.

Huelewi wapi hapo?

Swali lako la tukiongeza population bila kuongeza productivity ni la kijinga, ni la strawman logical fallacy.

Kwa sababu mimi sijasema tupunguze uzazi halafu tusiongeze productivity.

In fact nimekuuliza kwa nini unafanya false dichotomy kwamba ukipunguza uzazi huwezi kufanya jitihada za kuongeza productivity pia?

Ulielewa hiko swali? Au najibizana na mtu asiye na uwezo wa kusoma kwa ufahamu hapa?

Kwa nini unauliza swali la kijinga la false dichotomy logical fallacy?

How many times am I going to point this out?

Are you semi literate?
I’m honestly surprised , this's evasion 😆. Kwanza unalabel every disagreement as logical fallacy, badala ya kuaddress hoja yenyewe... at this point, I don't think we're even debating the same thing anymore.

And I second you, I’m semi literate And somehow even this semi literate guy managed to make you spend this much time explaining why he’s wrong.

Anyway tunapo elekea ni person attacks na ww joined 2009 Kipindi hicho hata shule baado sijaanza huenda ni Baba/Babu.

Have Great time, KIONGOZI THANKS FOR YOUR TIME.
 
Jifunze logical fallacies hizi kabla ya kubishana kijingajinga hapa.

Zitakusaidia sana huko mbele kwenye kujenga arguments.

So far unabisha bila mantiki kama mjinga tu.

Kila niliposema kuna logical fallacy kuna logical fallacy, si disagreement tu.

Mfano.

Ninapokuambia huwezi kufanikiwa bila kupunguza uzazi, hata kama ukiiondoa CCM, hapo sijakwambia kuwa utafanikiwa kwa kupunguza uzazi tu, usifanye jitihada nyingine za kuongeza productivity.

Yani nikikwambia kuwa huu ugonjwa huwezi kupona bila kufanya operesheni, hilo halimaanishi nimekwambia usinywe dawa zinazoweza kukusaidia pia kupambana na ugonjwa huo. Unaweza kufanya operesheni na kunywa dawa pia.

Sasa ukija kuniuliza swali kwamba, kupunguza uzazi tu kutanisaidiaje kama sina namna ya kuongeza productivity, swali lako ni la logical fallacy.

Swali linaonesha you are semi literate, hujui kusoma kwa ufahamu.

Umefanya non sequitur logical fallacy kwamba nikipunguza uzazi siwezi kuongeza ufanisi kwa namna nyingine yoyote, kama vile nimesema tatizo letu ni uzazi mkubwa tu, tukipunguza uzazi tutaendelea bila kuongeza ufanisi sehemu nyingine.

Mimi sijasema hivyo. Nimesema tunaweza kufanya vyote kwa pamoja, kupunguza uzazi na kuongeza ufanisi vingine.

Ika nimesema bila kupunguza uzazi hatutoboi.

Huelewi wapi?

Swali lako ni la logical non sequitur fallacy.

Swali lako ni la false dichotomy fallacy.

Clearly. Logically.

Hii si habari kwamba tusipokubaliana tu nasema unatumia logical fallacy.

Labda huelewi logical fallacy iko wapi. Labda huelewi logical fallacu ni nini. Ndiyo maana hunielewi.

Mimi sijadiliani na wewe hapa, wewe hujui kusoma kwa ufahamu nitajadikiana nawe vipi?

Naandikia kadamnasi ya JF inayofuatikia isome na kujifunza hapa kuna logical fallacy.

Logical non sequitur.

False dichotomy.

Strawman argument.

Look them up, you may get a better understanding.

Right now it seems you don't understand these logical fallacies.

Perhaps you don't even know what a logical fallacy is.

That is how you come across.
 
Tu2 yuko sahihi, aungwe mkono kwa 1000%. Watu lazima wadhibitiwe kufyatua tu watoto kiholela. "2 children policy" inahitajika Tanzania.
Mi naomba watu wazaliane,imagine ukiwa na baishara pale Kariakoo wauzaji wapo wa kumwagia tu/tena bureee=MAWINGA
 
Inaonekana una hasira sana na CCM mpaka unahemuka kuita watu CCM bila hata uhakiki.

Kwanza mimi si CCM. Acha kuhemuka. Nawakosoa CCM kila siku. Leo hapa nimetoka kuwakosoa.

Pili, hoja yako ni logical non sequitur fallacy.

Kwa sababu inawezekana mambo mawili yote yakawa kweli kwa pamoja, kwamba inawezekana Watanzania wengi ni wajinga wanazaliana sana bila mpango, na hapohapo CCM ina uongozi mbovu.

Ukweli kwamba Watanzania wengi ni wajinga wanazaana sana bila mpango haufanyi CCM kuwa ni chama kizuri kisicho na lawama. Wewe umenishambulia kama vile kusema Watanzania wengi ni wajinga wanazaliana bila mpango maana yake CCM ni chama kizuri. Umeunganisha mambo mawili kwa namna ambayo mimi sijasema hivyo.

Hili si swali ambalo jibu lake ni lazima liwe A na kama si A basi lazima liwe B.

Unaleta false dichotomy logical fallacy.

Umeuliza kwa nini tusiongeze productivity badala ya kupunguza uzazi?

Kwani nani kasema tusiongeze productivity?

Again, this is a fakse dichotony. Kwamba "ama tupunguze uzazi, ama tuongeze productivity". Kwani haiwezekani kufanya vhote?

Unajua hesabu za kuongeza productivity zipo vipi?

Unajua unahitaji kumsomesha mtu kwa miaka mingapi mpaka awe productive katika jamii?

Unajua kama hujapunguza uzazi katika hiyo miaka ya kutaka kuongeza productivity, hizo habari za kuongeza productivity zitakuwa ni ndoto ya kuifukuza tu bila kuifikia?

Unajua kwa hesabu za kumsomesha mtu awe na miaka angalau 16 ili kuweza kufanya kazi na angakau miaka 23 awe productive properly zinapelekea popukation ku double kabla huyo mtu hajawa productive, yani ukitaka kuongeza productivity bila kuounguza uzazi, population yetu ya sasa ya watu milioni 70 itakuwa milioni 140? Wengi wakiwa ni watu wadogo tegemezi wanaoongeza mzigo katika jamii na kushusha productivity?

Unaelewa kuwa hapo hakuna hesabu za kuongeza productivity bila kupunguza uzazi?

Unaelewa kuwa hesabu za productivity zinahusisha hesabu za breadwinners wangapi wana support watoto wangapi, na bila kupunguza hii 3% annual population increase timebomb ya watoto ambao ni tegemezi na unproductive huwezi kuongeza productivity hapo kwa nfumo wowote wa kiuchumi ambao uko feasible sasa hivi Tanzania?

Pia, kwa nini unaona mtu akisema tupunguze uzazi, anatakiwa kufanya hiyo habari ya kupunguza uzazi tu, bila kufanya habari nyingine za kuongeza productivity?

Kwa nini huelewi kuwa kwa sasa, chochote tunachofanya kuongeza productivity, hakitusaidii sana, kwa sababu ni kama tunakimbia katika treadmill iliyosimama, juhudi zetu hazitusogezi mbele, na pengine tunarudi nyuma, kwa sababu juhudi zote zinamezwa na ukuaji wa population?

Umemsoma Professor Paul Bjerk katika "Building A Peaceful Nation: Julius Nyerere and The Establishment of Tanzania 1961 - 1964" professor Bjerk alivyoelezea jinsi serikali ya kwanza Nyerere ilivyoanza mpango wa maendeleo kwa ari kubwa, ikafanya kila kitu by the book, ikasahau kuangalia population growth, na baada ya miaka mitano, ingawa mipango yote ilitekelezwa kama ilivyopangwa, mwishowe mipango ilikuwa ishapitwa na wakati kwa sababu serikali haikuangalia suala la ongezeko la watu?

Umesoma haya mambo yalivyotusumbua tangu tunapata uhuru au unarukia hoja kwa hisia tu?

Unauliza "Kwa nini tuanze kwa kupunguza potential workforce kabla hatujaongeza productivity yake?"

Kwa sababu hatujaongeza productivity yake.

Unataka kuongeza watoto kwenye nyumba ndogo ambayo haitoshi watoto ulionao kabla hujawatafutia nafasi ya chumba cha kulala hao watoto wapya?

Kabla hujawezesha watu waliopo kupika kwa nishati bora, ukiongeza watu inaleta tatizo la mazingira tu la watu kukata miti na kusababisha jangwa.

Weka teknolojia kwanza kabla ya kuongeza watu.

Kabla hujaweza kujenga shule nzuri, makazi bora, vyuo vya kutosha, kuweza kuwa na uchumi wenye kuweza kutoa ajira zaidi, kwa nini unataka kuongeza watu?

Una watoto wawili, huwezi kuwalisha kuwaelimisha na kuwapa dawa, halafu unasema hapa suluhisho ni kuongeza watoto watano zaidi?

Hawa watu waliopo tu wanalia njaa, hawana kazi, hawana elimu, hawana tiba, unaona kuongeza watu zaidi ndiyo suluhisho la matatizo yetu?
Now Days ukipita mitaani Watoto ni wengi sana kuliko watu Wazima, Maana yake utegemezi upo juu sana
 
Exactly.

Inashangaza sana mtu anaposhindwa au anapokataa kuelewa suala lililo wazi kama hili.

Watoto hawazalishi na ni tegemezi, kuzaa sana bila mpango ni kuwa na uchumi wenye watu wengi tegemezi, angalau kwa miaka 18 mpaka 23 baada ya mtu kuzaliwa, na hivyo ili kujenga uchumi wenye ufanisi inabidi kupunguza uzazi ufike angalau replacement rate.

Sasa anakuja mtu hajui hesabu, hajui uchumi, hajui hata replacement rate ni nini, hajui population ina double baada ya miaka mingapi, hajui current rate of population increase ni ipi, hajui tatizo la population increase lilivyotukabili tangu uhuru.

Anabisha tu.

Unamwambia this is a logical fallacy, because of this.

Hajui hata logical fallacy ni nini.

Hili nalo ni tatizo la population kubwa ya watu wajinga.

Yani tatizo la population tunaliona hata hapa kwenye mazungumzo ya JF.

Watu wanachangia unaona kabisa huyu si tu hana elimu, huyu hata kufundishika ni tabu.
 
La kuzaliana naafiki. Watu wanazaa hovyo kama wadudu. Hatuko zama za mawe kusema utazaa tu ardhi tele chakula tele.
 
Back
Top Bottom