Mwananchi Huru
JF-Expert Member
- Nov 20, 2021
- 2,128
- 1,896
- Thread starter
-
- #21
Sasa unataka watembee kwa miguu?kukopa sio tatizo matumizi ndio hatuelewi hapo tushakopa pesa kibao riba zinasubiriwa ila hakuna cha maana jiulize zile 190+b za kununua magari mapya ya wakurugenzi na wakuu wa wilaya hakukua na sehemu nyingine ya kupeleka hiyo pesa unanunulia kiongozi gari wakati analotumia bado linauwezo wa kuhudumu
Mkuu Dunia yote inanuka madeni lazima na sisi tukope ili kuendeleahivi ni Kwa nini tunashabikia sana kukopa? Hii sio sifa nzuri hata kidogo... sijui Ni lini tutatoka ktk hizi habari za tunakopeshwa, riba ndogo, ... ni utumwa kudaiwa, fedheha ukimuona mdaiwa wako, Na karaha Kwa mfuatiliaji wa madeni .
Ifike Mahali viongozi wetu waje Na mpango wa ni namna gani tutakuwa debt free sisi Kama Nchi , sio kila siku tunakopa, imekuwa Kausha damu inadumaza sana akili... tunaishi kama digidigi... tumechoka Na kudhihakiwa Na mikopo. Viongozi amkeni...
Aache uongo basi, T-bills mwezi January zilitoka kwa riba ya 15 au 16% kama sijakosea.Kwani Ubunge ni kosa mkuu? Acha akajaribu bahati yake.
Mkuu angalia usije ukakurupuka wenye akili wakakuona upstairs una makamasi kama ya huyo tumbiri anayetafuta sifa za kisiasa.Kachukue taarifa za BOT mkuu hili liko hivyo tunakopa kwa 5% toka kwa watu binafsi na mashika mbalimbali
Haya ni matokeo ya mnada wa jana June 12 - Average rate ilikuwa 6.75Kachukue taarifa za BOT mkuu hili liko hivyo tunakopa kwa 5% toka kwa watu binafsi na mashika mbalimbali
Nadhani hoja ni rates Wala sio matumizi, Kumbuka unapokopa kwa 17% anayeumia ni Mwananchi,Mkuu angalia usije ukakurupuka wenye akili wakakuona upstairs una makamasi kama ya huyo tumbiri anayetafuta sifa za kisiasa.
BOT inapo issue T-bill kwa umma katika riba kubwa au ndogo inategemeana na lengo la kiuchumi ambalo Serikali inataka kulifanikisha.hapo issue sio riba kubwa au ndogo inategemeana na jambo la kiuchumi lililopelekea Serikali ku offer hizo hati fungani.
Kenya anaweza offer 16% lakini lengo Lake ni ku curb inflation,Tanzania unaweza ku offer 5% but lengo lake ni kupata pesa kupeleka kwenye uchaguzi,Namibia anaweza ku offer 9% a lengo lake anataka kupata pesa apeleke kwenye kujenga mradi.
ficha ujinga saa hizi walipo wana magari mazuri tu sasa hayo mapya ya nini labda na hiyo hela iingeweza fanya mambo mangapi yanayogusa moja kwa moja mwananchi?Sasa unataka watembee kwa miguu?
5-7% nadhani hoja ya Kafulila iko sahihi
Mtaani kwako kukoje kulinganisha na lini? Leta majibumbona mnamtetea sana huyo mtu ila hali halisi inajionyesha mtaani halafu tuna uhakika gani kama 5% kweli au ndio zile habari za kuambizana tuko uchumi wa kati.....
ukiona mtu anatetewa sana kuna mawili uwezo mdogo au watetezi wana kafungu kao
Magari hayo yalinunuliwa na Kikwete miaka 10 iliyopita yamechoka naaminificha ujinga saa hizi walipo wana magari mazuri tu sasa hayo mapya ya nini labda na hiyo hela iingeweza fanya mambo mangapi yanayogusa moja kwa moja mwananchi?
🤣🤣🤣Mtaani kwako kukoje kulinganisha na lini? Leta majibu
Umejibiwa hapo chini na MtamaMchunguAache uongo basi, T-bills mwezi January zilitoka kwa riba ya 15 au 16% kama sijakosea.
Kukopa na kujenga miradi ndio maisha ya Dunia mkuu wangu, It is inevitablehivi ni Kwa nini tunashabikia sana kukopa? Hii sio sifa nzuri hata kidogo... sijui Ni lini tutatoka ktk hizi habari za tunakopeshwa, riba ndogo, ... ni utumwa kudaiwa, fedheha ukimuona mdaiwa wako, Na karaha Kwa mfuatiliaji wa madeni .
Ifike Mahali viongozi wetu waje Na mpango wa ni namna gani tutakuwa debt free sisi Kama Nchi , sio kila siku tunakopa, imekuwa Kausha damu inadumaza sana akili... tunaishi kama digidigi... tumechoka Na kudhihakiwa Na mikopo. Viongozi amkeni...
Hebu chukua hesabu rahisi si Ina maana kama nchi hizi zikiuza hati fungani kwa mtu wa ndani mathalani" tutumie Euro"1000 zikiiva Tanzania itarejedha 1000+(1000x5%)=€1,050,Kenya=1,160,SA=1,View attachment 3016052
Kafulila katika Ukurasa wake wa tweeter (X) ameisifu Serikali ya Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kuwa ndio nchi pekee inayokopa ndani kwa riba ndogo kuliko nchi nyingi za Africa.
Kafulila anasema Wakati Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan inakopa T-bills kwa 5% wenzetu uchumi wao ni hoi ndio sababu Ripa ziko juu mafano Msumbiji 17% Kenya 16%,Malawi 16% Zambia 10%,Namibia 9%,Uganda 9% SA 8% hili ni kielelezo Cha uimara wa Uchumi wetu katika ukanda wa Africa.
View attachment 3016048
Hoja hapa ni rahisi Mkuu,Hebu chukua hesabu rahisi si Ina maana kama nchi hizi zikiuza hati fungani kwa mtu wa ndani mathalani" tutumie Euro"1000 zikiiva Tanzania itarejedha 1000+(1000x5%)=€1,050,Kenya=1,160,SA=1,
080,Msumbiji=1,170,Malawi=1,160,Zambia=1,100,Namibia=1,090.Sasa kama hizi hesabu ni sawa ni wapi wakopeshaji wa ndani wanafaidi!na tafsiri yake ni nini.
Ni Mikopo ya inayokopa Serikali toka kwa Watu binafsi au taasisiT-bills ndio nini?
Sisi tunawapa na rasilimari pori,na miradi itakayofanyika wao wanapewa kipaombele,huwezi pewa kitu if there is no return of investment hakuna hio formula dunianiView attachment 3016052
CEO wa PPP Bwana David Kafulila katika Ukurasa wake wa tweeter ( X ) ameisifu Serikali ya Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kuwa ndio nchi pekee inayokopa ndani kwa riba ndogo kuliko nchi nyingi za Africa.
Kafulila anasema Wakati Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan inakopa T-bills kwa asilimia 5 lakini wenzetu uchumi wao ndani ni hoi ndio sababu Riba zao kwenye T-bills ziko juu mafano Msumbiji ni asilimia 17 Kenya ni asilimia 16, Malawi ni Asilimia 16, Zambia ni Asilimia 10,Namibia ni asilimia 9,Uganda ni asilimia 9 na Africa ya kusini ni asilimia 8 hiki ni kielelezo Cha uimara wa Uchumi wetu ndani katika ukanda wa Africa.
Wakati mnaendelea kumtukana msisahau pia kuwaambia hao Wananchi kuwa ni yeye pekee ndio aliyejenga unafuu wa maisha kwa watu wake katika ukanda mzima wa Africa na baadhi ya ushahidi ni hizo taarifa za David Kafulila huko tweeter ( X )
View attachment 3016048
View attachment 3016052