Mwananchi Huru
JF-Expert Member
- Nov 20, 2021
- 2,128
- 1,896
- Thread starter
-
- #41
T-bonds hata wewe unaweza ukakopa tu mkuu wanguSisi tunawapa na rasilimari pori,na miradi itakayofanyika wao wanapewa kipaombele,huwezi pewa kitu if there is no return of investment hakuna hio formula duniani
Kumbuka T-bills ni mikópo mkuu,Ujinga kabisa!! Kwa ujinga kama huu, naye Kafulila anajiona ni muelewa wa masuala ya uchumi!!
Nani alikuambia kuwa serikali kukopa treasury bills kwa riba ndogo kunaashiria uchumi mzuri?
Kwanza kiuhalisia ni kuwa hizo nchi ambazo serikali inawakopa wananchi wake kwa treasury bills zenye riba kubwa, zinawanufaisha zaidi wananchi wao kuliko wananchi wa Tanzania wanaoikopesha Serikali kwa riba ndogo zaidi.
Lakini jambo jingine, hizo treasury bills za Tanzania ni za muda gani, na hizo za nchi nyingine ni za muda gani? Mnaweka tu sweeping statements kwa mambo msiyoyajua sawasawa.
Nimeshasema kuwa hakuna mwana CHADEMA mwenye uwezo wa kupangua hoja za Mheshimiwa KafulilaT-bonds hata wewe unaweza ukakopa tu mkuu wangu
Lucas Mwashambwa habari za asubuhi mkuu, 🙌🙌🙌Nimeshasema kuwa hakuna mwana CHADEMA mwenye uwezo wa kupangua hoja za Mheshimiwa Kafulila
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]2mbili Yuko hivi tu hata kabla ya Mchange na Zuhura Yunus,
Ni mtu wa fact tu, Ukifura pata maji kidogo tuendelee
Acha ngonjera hapa .hoja hujibiwa kwa hoja .kama una hoja zenye ushahidi basi mpinge na kumkosoa Mheshimiwa Kafulila kwa takwimu na siyo maneno manenombona mnamtetea sana huyo mtu ila hali halisi inajionyesha mtaani halafu tuna uhakika gani kama 5% kweli au ndio zile habari za kuambizana tuko uchumi wa kati.....
ukiona mtu anatetewa sana kuna mawili uwezo mdogo au watetezi wana kafungu kao
Nzuri kabisa mkuuLucas Mwashambwa habari za asubuhi mkuu, 🙌🙌🙌
Kuna kitu hujakifahamu vizuri mkuu,Hana facts zozote ni mtu wa kuokoteza vitaarifa bila ya kuwa na uwezo wa kuchambua kitaalam.
Sidhani kama anaelewa hata hiyo business ya treasury bills and bonds inavyofanya kazi. Treasury bills ni mnada. Kunapokuwa na opportunities chache za uwekezaji au faida ndogo sana ukiweka pesa yako bank, wengi wenye hela mnaamua kuikopesha Serikali ambapo ni mkopo mnaipa serikali kwa vipindi vifupi vifupi kwa riba inayotegemea mnada unavyoamua.
Kunapokuwa na wengi wanaotaka kuikopesha Serikali, riba inashuka. Hivyo kwa Tanzania kuwa na riba ndogo kwenye treasury bills kunaashiria fursa chache za uwekezaji au mazingira mabaya ya uwekezaji, na hivyo mtu anaona aheri aikopeshe Serikali yenyewe ili kuepuka usumbufu unaosababishwa na Serikali yenyewe kwenye uwekezaji. Na kwa kuwa mpo wengi, riba inashuka. Kwenye biashara ya treasury bills, hakuna TRA, OSHA, TBS wala tozo.
Hizo nchi zenye riba kubwa ina maana wenye hela wanaona wana uwezo wa kutengeneza faida kubwa zaidi kwa kuwekeza maeneo mengine kuliko faida wanayoweza kuipata kwa kuikopesha Serikali. Hivyo wachache walioamua kuikopesha serikali, wanaikopesha kwa riba kubwa.
Ufafanuzi mzuri wenye akili ndani yake .Hana facts zozote ni mtu wa kuokoteza vitaarifa bila ya kuwa na uwezo wa kuchambua kitaalam.
Sidhani kama anaelewa hata hiyo business ya treasury bills and bonds inavyofanya kazi. Treasury bills ni mnada. Kunapokuwa na opportunities chache za uwekezaji au faida ndogo sana ukiweka pesa yako bank, wengi wenye hela mnaamua kuikopesha Serikali ambapo ni mkopo mnaipa serikali kwa vipindi vifupi vifupi kwa riba inayotegemea mnada unavyoamua.
Kunapokuwa na wengi wanaotaka kuikopesha Serikali, riba inashuka. Hivyo kwa Tanzania kuwa na riba ndogo kwenye treasury bills kunaashiria fursa chache za uwekezaji au mazingira mabaya ya uwekezaji, na hivyo mtu anaona aheri aikopeshe Serikali yenyewe ili kuepuka usumbufu unaosababishwa na Serikali yenyewe kwenye uwekezaji. Na kwa kuwa mpo wengi, riba inashuka. Kwenye biashara ya treasury bills, hakuna TRA, OSHA, TBS wala tozo.
Hizo nchi zenye riba kubwa ina maana wenye hela wanaona wana uwezo wa kutengeneza faida kubwa zaidi kwa kuwekeza maeneo mengine kuliko faida wanayoweza kuipata kwa kuikopesha Serikali. Hivyo wachache walioamua kuikopesha serikali, wanaikopesha kwa riba kubwa.
Tuko pamoja Cde mama mitano lazima.Nzuri kabisa mkuu
Akili ipi hapo🤣🤣Ufafanuzi mzuri wenye akili ndani yake .
Hana facts zozote ni mtu wa kuokoteza vitaarifa bila ya kuwa na uwezo wa kuchambua kitaalam.
Sidhani kama anaelewa hata hiyo business ya treasury bills and bonds inavyofanya kazi. Treasury bills ni mnada. Kunapokuwa na opportunities chache za uwekezaji au faida ndogo sana ukiweka pesa yako bank, wengi wenye hela mnaamua kuikopesha Serikali ambapo ni mkopo mnaipa serikali kwa vipindi vifupi vifupi kwa riba inayotegemea mnada unavyoamua.
Kunapokuwa na wengi wanaotaka kuikopesha Serikali, riba inashuka. Hivyo kwa Tanzania kuwa na riba ndogo kwenye treasury bills kunaashiria fursa chache za uwekezaji au mazingira mabaya ya uwekezaji, na hivyo mtu anaona aheri aikopeshe Serikali yenyewe ili kuepuka usumbufu unaosababishwa na Serikali yenyewe kwenye uwekezaji. Na kwa kuwa mpo wengi, riba inashuka. Kwenye biashara ya treasury bills, hakuna TRA, OSHA, TBS wala tozo.
Hizo nchi zenye riba kubwa ina maana wenye hela wanaona wana uwezo wa kutengeneza faida kubwa zaidi kwa kuwekeza maeneo mengine kuliko faida wanayoweza kuipata kwa kuikopesha Serikali. Hivyo wachache walioamua kuikopesha serikali, wanaikopesha kwa riba kubwa.
Kwa nini?Huyu jamaa km ndo anakua mshauri wa rais mnaweza jikuta mmekopa na kuweka rehan kila kitu.Hivi kukopa ni sifa sijawahi mwelewa huyu tumbili.
Kwa maombi ya Watanzania naamini mwakani panapo majaliwa ya Mwenyezi Mungu, Mheshimiwa Kafulila ataingia Bungeni.Kwani Ubunge ni kosa mkuu? Acha akajaribu bahati yake.
Usipojilinganisha utajuaje kama uko kwenye right track in Jiwe's voice? Kwani wewe ni kisiwa ?Haya mambo ya kulingania ni ya kijinga sana
Taarifa zinatoka sana tuu sema amekuwa popular kama Makonda.Kafulila akifanya hivi Watanzania wote wakapata taarifa hizi maswali mengi yatakwisha
Asante kwa taarifaTaarifa zinatoka sana tuu sema amekuwa popular kama Makonda.
Kuna watu wanajua Mkaonda ndio amekuwa anatatua kero za watu kisa branding wakati Mimi nawajua ma RC kibao tuu kabla ya Makonda na WA kwanza alikuwa Makalla akiwa Dar.
Kwanza Ukiwa mbumbumbu wa Uchumi lazima ushangae.hivi ni Kwa nini tunashabikia sana kukopa? Hii sio sifa nzuri hata kidogo... sijui Ni lini tutatoka ktk hizi habari za tunakopeshwa, riba ndogo, ... ni utumwa kudaiwa, fedheha ukimuona mdaiwa wako, Na karaha Kwa mfuatiliaji wa madeni .
Ifike Mahali viongozi wetu waje Na mpango wa ni namna gani tutakuwa debt free sisi Kama Nchi , sio kila siku tunakopa, imekuwa Kausha damu inadumaza sana akili... tunaishi kama digidigi... tumechoka Na kudhihakiwa Na mikopo. Viongozi amkeni...