Mwananchi Huru
JF-Expert Member
- Nov 20, 2021
- 2,128
- 1,896
- Thread starter
-
- #161
Ndio maana ya gharama za maisha kuwa juu,Basi Mkuu acha siasa twende kwa utaalamu kwa kutumia hizo hizo data ulizoweka hapa,niambie kama uchumi wetu upo vizuri why Tanzania ni 5% na Kenya ni 16%
Mheshimiwa Kafulila anawanyima pumzi CHADEMA kwa hoja zake nzito zinawaywanga mpaka wanashindwa kupumua.ndio maana wanatamani asiandike UKWELI mchungu kama huu unaowakaba koo.Na bado yupo sana
Kwanini Kenya ni 16?View attachment 3016052
CEO wa PPP Bwana David Kafulila katika Ukurasa wake wa tweeter ( X ) ameisifu Serikali ya Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kuwa ndio nchi pekee inayokopa ndani kwa riba ndogo kuliko nchi nyingi za Africa.
Kafulila anasema Wakati Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan inakopa T-bills kwa asilimia 5 lakini wenzetu uchumi wao ndani ni hoi ndio sababu Riba zao kwenye T-bills ziko juu mafano Msumbiji ni asilimia 17 Kenya ni asilimia 16, Malawi ni Asilimia 16, Zambia ni Asilimia 10,Namibia ni asilimia 9,Uganda ni asilimia 9 na Africa ya kusini ni asilimia 8 hiki ni kielelezo Cha uimara wa Uchumi wetu ndani katika ukanda wa Africa.
Wakati mnaendelea kumtukana msisahau pia kuwaambia hao Wananchi kuwa ni yeye pekee ndio aliyejenga unafuu wa maisha kwa watu wake katika ukanda mzima wa Africa na baadhi ya ushahidi ni hizo taarifa za David Kafulila huko tweeter ( X )
View attachment 3016048
Ndio Maana tunasema,Kwanini Kenya ni 16?
Hizi ni ntu za dili sana,
Hapa nimekupata. So hii riba kubwa ya bonds za Kenya ndiyo imefanya pesa yao ipate thamani baada ya kuwa inaporomoka. Na riba yetu ndogo ndiyo inafanya pesa yetu izidi kushuka thamani?Andiko la Kafulila haliongelea Treasury Bond, Limeongelea Treasury Bills. Tbills ni za muda mfupi kama siku35, 92 au 182 na haivuki mwaka1. Ndio zinaitwa hati fungani za muda mfupi na ndio riba ya 5%
View attachment 3016052
CEO wa PPP Bwana David Kafulila katika Ukurasa wake wa tweeter ( X ) ameisifu Serikali ya Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kuwa ndio nchi pekee inayokopa ndani kwa riba ndogo kuliko nchi nyingi za Africa.
Kafulila anasema Wakati Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan inakopa T-bills kwa asilimia 5 lakini wenzetu uchumi wao ndani ni hoi ndio sababu Riba zao kwenye T-bills ziko juu mafano Msumbiji ni asilimia 17 Kenya ni asilimia 16, Malawi ni Asilimia 16, Zambia ni Asilimia 10,Namibia ni asilimia 9,Uganda ni asilimia 9 na Africa ya kusini ni asilimia 8 hiki ni kielelezo Cha uimara wa Uchumi wetu ndani katika ukanda wa Africa.
Wakati mnaendelea kumtukana msisahau pia kuwaambia hao Wananchi kuwa ni yeye pekee ndio aliyejenga unafuu wa maisha kwa watu wake katika ukanda mzima wa Africa na baadhi ya ushahidi ni hizo taarifa za David Kafulila huko tweeter ( X )
View attachment 3016048
Hapana,Hapa nimekupata. So hii riba kubwa ya bonds za Kenya ndiyo imefanya pesa yao ipate thamani baada ya kuwa inaporomoka. Na riba yetu ndogo ndiyo inafanya pesa yetu izidi kushuka thamani?
Wewe unazungumzia bonds sio billsAnsema pia ni kwa kipindi gani kuliko kugeneralize.
Kwa kawaida T-bills zipo za short term (miaka 5), Medium term (Miaka 10) na long term ( miaka 15 na kuendelea). Kwa Tanzania short term ni 5 %, medium term nafikiri iko kwenye 10 % na long term ni 15 %.
Nchi kama Namibia, RSA na Zambia kwa kuwa pesa yao in nguvu rate iko 9 % throughout. Ila ya Kenya, Malawi na Mozambique inawezekana ikawa similar to Tanzania.
Nini kimefanya thamani ya pesa ya Kenya iliyokuwa inaporomoka ipande ghafla kama siyo hizo riba kwenye masoko yao ya fedha? Nataka kusema kuwa riba kubwa si mbaya kama ambavyo Kafulila anataka kutuaminisha. Riba kubwa inaweza kupandisha thamani ya fedha.Hapana,
Anayeweza ku offer bond ya 5% rate na mwingine 16 rate yupi ambaye uchumi wake upo juu na yupi ambaye uchumi wake upi chini???Ndio maana ya gharama za maisha kuwa juu,
Hizi T-bills, Zina effect kwenye maisha
Kuimarika kwa sarafu ya nchi ni mkusanyiko wa mambo mengi,Nini kimefanya thamani ya pesa ya Kenya iliyokuwa inaporomoka ipande ghafla kama siyo hizo riba kwenye masoko yao ya fedha? Nataka kusema kuwa riba kubwa si mbaya kama ambavyo Kafulila anataka kutuaminisha. Riba kubwa inaweza kupandisha thamani ya fedha.
Ni mengi kweli. Lakini njia ya haraka ya kukuza thamani ya pesa yako ni kurise interest rate. Kenya Shiling iyao ilikuwa inaporomoka balaa.Kuimarika kwa sarafu ya nchi ni mkusanyiko wa mambo mengi,
Riba kubwa ni faida ya kikundi kidogo tu
Riba ndogo si mmewauzia nchi!!!View attachment 3016052
CEO wa PPP Bwana David Kafulila katika Ukurasa wake wa tweeter ( X ) ameisifu Serikali ya Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kuwa ndio nchi pekee inayokopa ndani kwa riba ndogo kuliko nchi nyingi za Africa.
Kafulila anasema Wakati Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan inakopa T-bills kwa asilimia 5 lakini wenzetu uchumi wao ndani ni hoi ndio sababu Riba zao kwenye T-bills ziko juu mafano Msumbiji ni asilimia 17 Kenya ni asilimia 16, Malawi ni Asilimia 16, Zambia ni Asilimia 10,Namibia ni asilimia 9,Uganda ni asilimia 9 na Africa ya kusini ni asilimia 8 hiki ni kielelezo Cha uimara wa Uchumi wetu ndani katika ukanda wa Africa.
Wakati mnaendelea kumtukana msisahau pia kuwaambia hao Wananchi kuwa ni yeye pekee ndio aliyejenga unafuu wa maisha kwa watu wake katika ukanda mzima wa Africa na baadhi ya ushahidi ni hizo taarifa za David Kafulila huko tweeter ( X )
View attachment 3016048
Amefanyaje? Au kwa nini anahitaji kuombewa?Tuzidi kumuombea mtanganyika mwenzetu Pascal Mayalla πππ₯
Nduguyo Zitto kabwe anasemaje?View attachment 3016052
CEO wa PPP Bwana David Kafulila katika Ukurasa wake wa tweeter ( X ) ameisifu Serikali ya Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kuwa ndio nchi pekee inayokopa ndani kwa riba ndogo kuliko nchi nyingi za Africa.
Kafulila anasema Wakati Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan inakopa T-bills kwa asilimia 5 lakini wenzetu uchumi wao ndani ni hoi ndio sababu Riba zao kwenye T-bills ziko juu mafano Msumbiji ni asilimia 17 Kenya ni asilimia 16, Malawi ni Asilimia 16, Zambia ni Asilimia 10,Namibia ni asilimia 9,Uganda ni asilimia 9 na Africa ya kusini ni asilimia 8 hiki ni kielelezo Cha uimara wa Uchumi wetu ndani katika ukanda wa Africa.
Wakati mnaendelea kumtukana msisahau pia kuwaambia hao Wananchi kuwa ni yeye pekee ndio aliyejenga unafuu wa maisha kwa watu wake katika ukanda mzima wa Africa na baadhi ya ushahidi ni hizo taarifa za David Kafulila huko tweeter ( X )
View attachment 3016048
Unazungumzia nini T-bills ndio Mdudu gani mboni tunachanganyana?Mwenye bargaining ni power ni investor sio serikali katika dunia ya ushindani.
Kama kuna watu wanatoa riba mpaka ya 17% kwa madeni yanayolipwa ndani ya mwaka nani ataenda kununua kwenye 5%.
Kama kuna ukweli sanasana anaamsha watu waliolala waende huko kwenye better offer T-Bills za Tanzania hazina mpango; hiyo ndio tafsiri yake.