Kafulila: Serikali inakopa T-bills kwa 5% wakati Msumbiji 17%, Kenya 16%, Malawi 16%, Zambia 10%, Namibia 9%, Uganda 9%, SA 8%. Uelekeo wetu ni sahihi

Basi Mkuu acha siasa twende kwa utaalamu kwa kutumia hizo hizo data ulizoweka hapa,niambie kama uchumi wetu upo vizuri why Tanzania ni 5% na Kenya ni 16%
Ndio maana ya gharama za maisha kuwa juu,

Hizi T-bills, Zina effect kwenye maisha
 
View attachment 3016052
CEO wa PPP Bwana David Kafulila katika Ukurasa wake wa tweeter ( X ) ameisifu Serikali ya Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kuwa ndio nchi pekee inayokopa ndani kwa riba ndogo kuliko nchi nyingi za Africa.

Kafulila anasema Wakati Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan inakopa T-bills kwa asilimia 5 lakini wenzetu uchumi wao ndani ni hoi ndio sababu Riba zao kwenye T-bills ziko juu mafano Msumbiji ni asilimia 17 Kenya ni asilimia 16, Malawi ni Asilimia 16, Zambia ni Asilimia 10,Namibia ni asilimia 9,Uganda ni asilimia 9 na Africa ya kusini ni asilimia 8 hiki ni kielelezo Cha uimara wa Uchumi wetu ndani katika ukanda wa Africa.

Wakati mnaendelea kumtukana msisahau pia kuwaambia hao Wananchi kuwa ni yeye pekee ndio aliyejenga unafuu wa maisha kwa watu wake katika ukanda mzima wa Africa na baadhi ya ushahidi ni hizo taarifa za David Kafulila huko tweeter ( X )

View attachment 3016048
Kwanini Kenya ni 16?
Hizi ni ntu za dili sana,
 
Andiko la Kafulila haliongelea Treasury Bond, Limeongelea Treasury Bills. Tbills ni za muda mfupi kama siku35, 92 au 182 na haivuki mwaka1. Ndio zinaitwa hati fungani za muda mfupi na ndio riba ya 5%
Hapa nimekupata. So hii riba kubwa ya bonds za Kenya ndiyo imefanya pesa yao ipate thamani baada ya kuwa inaporomoka. Na riba yetu ndogo ndiyo inafanya pesa yetu izidi kushuka thamani?
 
View attachment 3016052
CEO wa PPP Bwana David Kafulila katika Ukurasa wake wa tweeter ( X ) ameisifu Serikali ya Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kuwa ndio nchi pekee inayokopa ndani kwa riba ndogo kuliko nchi nyingi za Africa.

Kafulila anasema Wakati Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan inakopa T-bills kwa asilimia 5 lakini wenzetu uchumi wao ndani ni hoi ndio sababu Riba zao kwenye T-bills ziko juu mafano Msumbiji ni asilimia 17 Kenya ni asilimia 16, Malawi ni Asilimia 16, Zambia ni Asilimia 10,Namibia ni asilimia 9,Uganda ni asilimia 9 na Africa ya kusini ni asilimia 8 hiki ni kielelezo Cha uimara wa Uchumi wetu ndani katika ukanda wa Africa.

Wakati mnaendelea kumtukana msisahau pia kuwaambia hao Wananchi kuwa ni yeye pekee ndio aliyejenga unafuu wa maisha kwa watu wake katika ukanda mzima wa Africa na baadhi ya ushahidi ni hizo taarifa za David Kafulila huko tweeter ( X )

View attachment 3016048

Ansema pia ni kwa kipindi gani kuliko kugeneralize.

Kwa kawaida T-bills zipo za short term (miaka 5), Medium term (Miaka 10) na long term ( miaka 15 na kuendelea). Kwa Tanzania short term ni 5 %, medium term nafikiri iko kwenye 10 % na long term ni 15 %.

Nchi kama Namibia, RSA na Zambia kwa kuwa pesa yao in nguvu rate iko 9 % throughout. Ila ya Kenya, Malawi na Mozambique inawezekana ikawa similar to Tanzania.
 
Wewe unazungumzia bonds sio bills
 
Nini kimefanya thamani ya pesa ya Kenya iliyokuwa inaporomoka ipande ghafla kama siyo hizo riba kwenye masoko yao ya fedha? Nataka kusema kuwa riba kubwa si mbaya kama ambavyo Kafulila anataka kutuaminisha. Riba kubwa inaweza kupandisha thamani ya fedha.
 
Kuimarika kwa sarafu ya nchi ni mkusanyiko wa mambo mengi,

Riba kubwa ni faida ya kikundi kidogo tu
 
Ni mengi kweli. Lakini njia ya haraka ya kukuza thamani ya pesa yako ni kurise interest rate. Kenya Shiling iyao ilikuwa inaporomoka balaa.

Kukopa mikopo kwa riba kubwa hakuna ubaya kama ambavyo Kafulila anataka kuwaaminisha watu. Kwamba sisi wenye riba ndogo kwenye bonds tupo vizuri kuliko wenye riba kubwa. Inaweza kuwa kinyume chake kabisa.
 
Wakikopa Kwa wazungu wanalipa riba nzuri na masharti kibao, Kwa wananchi wao wanawalipa na kuwapiga kama walivyozoea, inalipa 5% wakati inflation ni 5% hiyo hiyo, kama sio wizi ni Nini, na sijamwelewa Kafulila, anafikiri hii ni sifa au wizi tuu, ila katupa akili tuanze kuangalia nchi nyingine maana haya masoko yanaruhusu watu wa nje pia
 
View attachment 3016052
CEO wa PPP Bwana David Kafulila katika Ukurasa wake wa tweeter ( X ) ameisifu Serikali ya Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kuwa ndio nchi pekee inayokopa ndani kwa riba ndogo kuliko nchi nyingi za Africa.

Kafulila anasema Wakati Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan inakopa T-bills kwa asilimia 5 lakini wenzetu uchumi wao ndani ni hoi ndio sababu Riba zao kwenye T-bills ziko juu mafano Msumbiji ni asilimia 17 Kenya ni asilimia 16, Malawi ni Asilimia 16, Zambia ni Asilimia 10,Namibia ni asilimia 9,Uganda ni asilimia 9 na Africa ya kusini ni asilimia 8 hiki ni kielelezo Cha uimara wa Uchumi wetu ndani katika ukanda wa Africa.

Wakati mnaendelea kumtukana msisahau pia kuwaambia hao Wananchi kuwa ni yeye pekee ndio aliyejenga unafuu wa maisha kwa watu wake katika ukanda mzima wa Africa na baadhi ya ushahidi ni hizo taarifa za David Kafulila huko tweeter ( X )

View attachment 3016048
Riba ndogo si mmewauzia nchi!!!
 
Nduguyo Zitto kabwe anasemaje?
 
Max nibonyeze Wapi ili nisiweze kuziona hizi habari za Bwana Kafulila? I'm feeling tired of reading the things I don't wanna read at all

Tuwe na wekewa button ya machaguo kipi tunataka kuona na kipi hatutaki kuona sio tunaona mengine hatutaki kuona

GM fellas!
 
Mwenye bargaining ni power ni investor sio serikali katika dunia ya ushindani.

Kama kuna watu wanatoa riba mpaka ya 17% kwa madeni yanayolipwa ndani ya miezi michache maximum mwaka nani sasa ataenda kununua kwenye interest ya 5% aache hizo kubwa.

Kama kuna ukweli sanasana anaamsha watu waliolala waende huko kwenye better interest offered on T-Bills, hizo za Tanzania hazina mpango; hiyo ndio tafsiri yake.
 
Mwenye bargaining ni power ni investor sio serikali katika dunia ya ushindani.

Kama kuna watu wanatoa riba mpaka ya 17% kwa madeni yanayolipwa ndani ya mwaka nani ataenda kununua kwenye 5%.

Kama kuna ukweli sanasana anaamsha watu waliolala waende huko kwenye better offer T-Bills za Tanzania hazina mpango; hiyo ndio tafsiri yake.
Unazungumzia nini T-bills ndio Mdudu gani mboni tunachanganyana?
 
Back
Top Bottom