hoja ya Kafulila ina msingi mmoja muhimu: Tanzania ina ukuaji wa watu wa karibu 3.4% kwa mwaka, na taasisi kama World Bank na IMF zinaonya kwamba bila elimu, afya na ajira za kutosha, kasi hiyo inaweza kuzidi uwezo wa uchumi kutoa huduma,WAsalaaam wanajf,
Mimi sitaki haya madini yawapite.
==
Mkurugenzi Mtendaji wa PPPC, David Kafulila, amesema ongezeko la watu si tatizo ikiwa wananchi wana elimu bora, afya bora na lishe bora vinavyowawezesha kuwa na tija katika uchumi.
Akizungumza na wafanyabiashara wa Mkoa wa Pwani, Kafulila alisema China iliwahi kutumia sera ya mtoto mmoja kwa familia kudhibiti ongezeko la watu, lakini mjadala mkubwa duniani sasa ni kama watu wengi ni mzigo au fursa.
Kwa mujibu wa takwimu za Benki ya Dunia kuhusu Human Capital Index, mtoto anayezaliwa Tanzania leo anaweza kufikia takribani asilimia 40 ya uwezo wake kamili wa uzalishaji kutokana na viwango vya sasa vya elimu, afya na lishe, wakati China imekaribia asilimia 70.
Kafulila alisema India, moja ya nchi zenye watu wengi zaidi duniani, ina ukuaji wa idadi ya watu wa karibu asilimia 0.8, wakati Tanzania inakua kwa takribani asilimia 3.4 kwa mwaka. Kasi hiyo ikiendelea, Tanzania itakuwa miongoni mwa mataifa 20 yenye watu wengi zaidi duniani kufikia mwaka 2050.
“Changamoto kubwa kwa Afrika si watu wengi, bali kuwabadilisha kuwa rasilimali yenye tija kupitia elimu bora, afya bora na lishe bora. Maendeleo hayapimwi kwa idadi ya watu, bali ubora wao na uwezo wa kuchangia katika uchumi,” alisema Kafulila.Hii imebaki na 40%, 70%, 0.8%, 3.4%, mataifa 20 na mwaka 2050, huku ujumbe mkuu ukiwa kamili.
===
View: https://www.instagram.com/reel/De1ThPqg6DH/?mdxt=MWhibGJhMnJ0eTkxNQ==
DaaahAsante mkuu wazo langu la kujenga mwochwari ya kisasa linaenda kutimia
Kwa Muda mrefu nmekua na mpango wa kujenga mwochwari nzuri naya kisasa ila nlikua sjui wap ntaanzia ila sasa nmejua
Hoja ya kusema “tatizo si kuzaliana, bali kuwafanya watoto wawe na tija” sio hoja ,hoja ya Kafulila ina msingi mmoja muhimu: Tanzania ina ukuaji wa watu wa karibu 3.4% kwa mwaka, na taasisi kama World Bank na IMF zinaonya kwamba bila elimu, afya na ajira za kutosha, kasi hiyo inaweza kuzidi uwezo wa uchumi kutoa huduma,
Lakini Kafulila hapa anachanganya idadi ya watu na ubora wa watu. Tatizo si kuzaliana; tatizo ni kushindwa kugeuza watu kuwa mtaji wa taifa. China, India na mataifa mengine yamejenga nguvu kubwa ya soko na uzalishaji kupitia watu wao. Mtoto anayezaliwa leo si “mzigo” wa kudumuakipata elimu, afya, lishe, ujuzi na ajira, baada ya miaka 20 anaweza kuwa mfanyakazi, mzalishaji, mlipa kodi, mbunifu na mjasiriamali.
Hata World Bank inakiri kuwa idadi kubwa ya vijana Tanzania inaweza kuwa fursa ya kuongeza ukuaji wa uchumi kupitia demographic dividend ikiwa vijana wataelimishwa, watakuwa na afya na kupata fursa za uzalishaji.
Kwa hiyo tusiseme “tusizalishe watoto tusioweza kuwahudumia”; tuulize: kwa nini uchumi wetu na mifumo yetu ishindwe kumjengea Mtanzania anayezaliwa leo uwezo wa kuzalisha zaidi ya gharama ya kumlea? Taifa halitajengwi kwa kupunguza watu pekee; linajengwa kwa kuongeza thamani ya kila mtu.
Logic without humanity turns to be a nuclear bomb, any logical decision that does not consider humanity it is sound in someone mind but if put in action within the public which is irrational it may cause chaos even myhem.
Kafulila kuwa makini na sera zako hasa unapogusa masuala ya mitikasi jamii haitakuelewa utaanguka vibaya sana you should know how to presserve your power by using the shield of the people and not those who made you the officer.
Hii nchi ni kubwa sana hatuwezi kuijaza never, toka hapo pwani panda gari kuwa kama unaenda morogoro ndani ya dakika kadhaa utaanza kuona vichaka na misitu.
Taifa ni watu na wala si maghorofa magari na treni, Japan kabla ya kupigwa na nyuklia ilikuwa taifa tishio sababu watu walikuwa wengi kuliko china, china ni nchi tajiri sababu ya idadi kubwa ya watu.
Itajiri wote upo ardhini iwe chakula, vifaa vya ujenzi, majumba dawa magari yote raw material zake hutoka ardhini na anayetoa huo utajiri ardhini ni mtu.
Hivyo basi taifa ni watu na si majengo
Nchi yenye watu wachache ni dhaifu kivita kiuchumi hata kisiasa.Hoja kwamba “taifa ni watu” ni sahihi, lakini haitoshi kusema watu wengi moja kwa moja maana yake ni taifa lenye nguvu. Swali la msingi si nchi ina watu wangapi, bali watu hao wana elimu gani, afya gani, ujuzi gani, tija gani na uchumi una uwezo gani wa kuwapa fursa.
Unapoomgeza watu na kodi inaongezeka namaanisha mapato, hao watu ili waishi kwenye uchumi wataongeza kitu.Kusema Tanzania haiwezi “kujaa” kwa sababu ukisafiri kutoka Pwani kwenda Morogoro unaona vichaka na misitu ni kuchanganya ukubwa wa ardhi na uwezo wa nchi kuhudumia ongezeko la watu.
Hii ni kazi ya serikali sio watu, elimu kwaajili ya kuzalisha viongozi na watumishi, afya kulinda usalama wa taifa sababu bila watu hamna serikali. Serikali itafanya hayo yote endapo itapata mapato makubwa kutoka kwa watu angalia ufinyu wa rwanda na ongezeko la watu, kodi inaongezeka miundombinu inaaimarika teknolojia inakua yenyewe kama rwanda population ingekuwa hiyo halafu nchi iwe kubwa kama congo unadjani wangeweza kufanya hayo yote?Binadamu hawahitaji nafasi ya kusimama tu; wanahitaji shule, walimu, hospitali, madaktari, maji, chakula, nyumba, ajira, barabara, nishati
Kwani china walitoa wapi mtaji? Kumbuka hawakuwa na chochote na kulikuwa na ukame ukipata jibu mjadala umeishana mitaji. Unaweza kuwa na ardhi kubwa lakini ukawa na uwezo mdogo wa kuwekeza vya kutosha kwa kila mtoto anayezaliwa.
Nchi kuwa tishio hupimwa kwa nguvu ya kijeshi, unajua japan ilikuwa na askari wangapi na marekani alikuwa na askari wangapi? Na unajua kwanini USA aliamua kutumia nyuklia na unajua aliua watu wangapi ili kulinda nguvu yake ya kijeshi?Pili, Japan haikuwa taifa tishio kwa sababu ilikuwa na watu wengi kuliko China.
Uchumi hauhitaji hasiraHilo si sahihi kihistoria. China ilikuwa na watu wengi zaidi kuliko Japan kwa tofauti kubwa hata kabla ya Vita Kuu ya Pili ya Dunia. Nguvu ya Japan ilitokana zaidi na uwezo wake wa kujenga taasisi, viwanda, teknolojia, elimu, jeshi na mfumo wa uzalishaji—yaani ubora wa rasilimali watu na uwezo wa taifa kuigeuza kuwa nguvu ya kiuchumi na kijeshi.
Vivyo hivyo, China haikutajirika kwa sababu tu ilikuwa na watu wengi. China ilikuwa na idadi kubwa ya watu hata ilipokuwa maskini. Mabadiliko makubwa yalikuja baada ya mageuzi ya kiuchumi, uwekezaji katika elimu, afya, miundombinu, viwanda, teknolojia, biashara na kuongeza tija ya wafanyakazi. Idadi kubwa ikakutana na tija kubwa ndipo ikawa faida. Watu wengi bila tija wanaweza kuongeza ukubwa wa mahitaji kuliko ukubwa wa uzalishaji.
Ni kweli pia kwamba malighafi nyingi zinatokana na ardhi na binadamu ndiye anayezigeuza kuwa utajiri. Lakini hapo ndipo hoja ya UBORA WA MTU inapokuwa muhimu zaidi. Tani moja ya madini mikononi mwa jamii isiyo na teknolojia inaweza kuuzwa kama malighafi kwa thamani ndogo; mikononi mwa jamii yenye elimu, sayansi, teknolojia na mitaji inaweza kutengeneza bidhaa zenye thamani mara nyingi zaidi. Utajiri wa taifa hauamuliwi tu na kilicho ardhini, bali na uwezo wa akili, maarifa na teknolojia ya watu wake kukiongezea thamani.
Kwa hiyo mjadala si “watu dhidi ya maendeleo”, wala si kwamba watu hawana umuhimu. Hoja ni kwamba WATU NDIO TAIFA, lakini UBORA WA WATU NDIO NGUVU YA TAIFA.
Kwa nchi maskini, kuzaliana kwa kasi kuliko uwezo wa uchumi kuongeza shule, afya, lishe, ajira na uwekezaji kwa kila mtoto kunaweza kufanya taifa ligawanye rasilimali chache kwa watu wengi zaidi. Lakini kasi ya ongezeko la watu ikienda sambamba na uwekezaji mkubwa katika elimu, afya, lishe, ujuzi na ajira, idadi hiyo inaweza kuwa
SawaSasa kama si sahihi...kodi zinazokusanywa ni za kulipa mishahara na posho tu na kununua magari ya kifahari?
naisomaNchi yenye watu wachache ni dhaifu kivita kiuchumi hata kisiasa.
Unaposema taifa usiongelee mtu mmoja mmoja ongelea mfumo wa kiserikali, serikali hakati kodi misitu inakata kodi kutoka kwa watu na mali zao ndio inajenga nchi. Mikoa ni ile ile barabara ni zilezile kama kodi ikiongezeka maana yake serikali itajenga miundo mbinu kkurahisi hata afya itaelimika.
watu wakiwa wengi science italetwa na hao watu watakapokuwa wakijaribu kusurvive kwenye mazingira yenye ushindani.
science hailetwi na serikali inaletwa na watu kisha serikali huisambaza rejea china
Unapoomgeza watu na kodi inaongezeka namaanisha mapato, hao watu ili waishi kwenye uchumi wataongeza kitu.
Hii ni kazi ya serikali sio watu, elimu kwaajili ya kuzalisha viongozi na watumishi, afya kulinda usalama wa taifa sababu bila watu hamna serikali. Serikali itafanya hayo yote endapo itapata mapato makubwa kutoka kwa watu angalia ufinyu wa rwanda na ongezeko la watu, kodi inaongezeka miundombinu inaaimarika teknolojia inakua yenyewe kama rwanda population ingekuwa hiyo halafu nchi iwe kubwa kama congo unadjani wangeweza kufanya hayo yote?
Kwani china walitoa wapi mtaji? Kumbuka hawakuwa na chochote na kulikuwa na ukame ukipata jibu mjadala umeisha
Nchi kuwa tishio hupimwa kwa nguvu ya kijeshi, unajua japan ilikuwa na askari wangapi na marekani alikuwa na askari wangapi? Na unajua kwanini USA aliamua kutumia nyuklia na unajua aliua watu wangapi ili kulinda nguvu yake ya kijeshi?
Uchumi hauhitaji hasira
Kafulila ni akili kubwa sana
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPPC), David Kafulila, amewataka wafanyabiashara na wawekezaji wa Mkoa wa Pwani kutumia fursa za ubia na Serikali kuwekeza katika miradi mbalimbali ya miundombinu ya huduma za umma, badala ya kuiachia Serikali pekee jukumu la kugharamia miradi hiyo.
Akizungumza na wafanyabiashara hao, Kafulila alisema katika mazingira ya sasa ya maendeleo, si lazima Serikali ikope au kutafuta fedha za kujenga kila mradi wa huduma za kijamii na kiuchumi, ikiwemo maegesho ya magari, masoko, machinjio, majosho ya mifugo na hosteli za wanafunzi.
"Katika dunia ya leo, si lazima Serikali itafute au kukopa fedha za kujenga maegesho ya magari, masoko, machinjio, majosho au hosteli za wanafunzi. Hivi ni vitu ambavyo kwa kawaida kabisa vinaweza kujengwa na sekta binafsi, na wananchi wakalipia huduma wanazozitumia," alisema Kafulila.
Alifafanua kuwa hata pale ambapo Serikali ndiyo inayojenga miundombinu hiyo, wananchi hulazimika kulipia huduma hizo, hivyo hakuna sababu ya kutoshirikisha sekta binafsi katika uwekezaji wake.
Kwa mujibu wa Kafulila, mfumo wa ubia unaipa Serikali nafasi ya kuelekeza rasilimali zake katika maeneo mengine muhimu ya maendeleo ambayo hayana mvuto mkubwa wa kibiashara, huku wawekezaji wakichangia maendeleo ya miundombinu yenye uwezo wa kujigharamia.
Aidha, alisema sababu nyingine muhimu ya kuhamasisha ubia ni kuongeza ufanisi katika utoaji wa huduma kwa wananchi.
"Sababu ya pili ya kufanya ubia ni kuleta ufanisi. Sekta binafsi mara nyingi ina uwezo mkubwa wa kusimamia miradi na huduma kwa ufanisi zaidi, jambo ambalo huongeza tija na ubora wa huduma kwa wananchi," alisisitiza.
Kafulila alitoa wito kwa wafanyabiashara wa Mkoa wa Pwani kuchangamkia fursa zilizopo katika miradi ya ubia, akieleza kuwa ushirikiano kati ya Serikali na sekta binafsi ni nguzo muhimu ya kuharakisha maendeleo ya kiuchumi na kijamii nchini.
Huyu anaelewa ila Kuna wapumbavu wengi sana huko Halmashauri hawajui kazi Yao ni ipi kama Serikali badala yake wanafanya kazi za kushindana na Wananchi eti kujenga maduka,sijui parking and such many nonsense kama hizi 👇👇
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPPC), David Kafulila, amewataka wafanyabiashara na wawekezaji wa Mkoa wa Pwani kutumia fursa za ubia na Serikali kuwekeza katika miradi mbalimbali ya miundombinu ya huduma za umma, badala ya kuiachia Serikali pekee jukumu la kugharamia miradi hiyo.
Akizungumza na wafanyabiashara hao, Kafulila alisema katika mazingira ya sasa ya maendeleo, si lazima Serikali ikope au kutafuta fedha za kujenga kila mradi wa huduma za kijamii na kiuchumi, ikiwemo maegesho ya magari, masoko, machinjio, majosho ya mifugo na hosteli za wanafunzi.
"Katika dunia ya leo, si lazima Serikali itafute au kukopa fedha za kujenga maegesho ya magari, masoko, machinjio, majosho au hosteli za wanafunzi. Hivi ni vitu ambavyo kwa kawaida kabisa vinaweza kujengwa na sekta binafsi, na wananchi wakalipia huduma wanazozitumia," alisema Kafulila.
Alifafanua kuwa hata pale ambapo Serikali ndiyo inayojenga miundombinu hiyo, wananchi hulazimika kulipia huduma hizo, hivyo hakuna sababu ya kutoshirikisha sekta binafsi katika uwekezaji wake.
Kwa mujibu wa Kafulila, mfumo wa ubia unaipa Serikali nafasi ya kuelekeza rasilimali zake katika maeneo mengine muhimu ya maendeleo ambayo hayana mvuto mkubwa wa kibiashara, huku wawekezaji wakichangia maendeleo ya miundombinu yenye uwezo wa kujigharamia.
Aidha, alisema sababu nyingine muhimu ya kuhamasisha ubia ni kuongeza ufanisi katika utoaji wa huduma kwa wananchi.
"Sababu ya pili ya kufanya ubia ni kuleta ufanisi. Sekta binafsi mara nyingi ina uwezo mkubwa wa kusimamia miradi na huduma kwa ufanisi zaidi, jambo ambalo huongeza tija na ubora wa huduma kwa wananchi," alisisitiza.
Kafulila alitoa wito kwa wafanyabiashara wa Mkoa wa Pwani kuchangamkia fursa zilizopo katika miradi ya ubia, akieleza kuwa ushirikiano kati ya Serikali na sekta binafsi ni nguzo muhimu ya kuharakisha maendeleo ya kiuchumi na kijamii nchini.
Kazi za serikali huzijui? Serikali ikijenga fremu wewe utafanya kazi gani?Sasa kama si sahihi...kodi zinazokusanywa ni za kulipa mishahara na posho tu na kununua magari ya kifahari?
Utabadilisha watu kuwa mtaji Kwa kuflya hayo aliyoeleza Kafulira? Unajua wajibu wa Serikali lakini?hoja ya Kafulila ina msingi mmoja muhimu: Tanzania ina ukuaji wa watu wa karibu 3.4% kwa mwaka, na taasisi kama World Bank na IMF zinaonya kwamba bila elimu, afya na ajira za kutosha, kasi hiyo inaweza kuzidi uwezo wa uchumi kutoa huduma,
Lakini Kafulila hapa anachanganya idadi ya watu na ubora wa watu. Tatizo si kuzaliana; tatizo ni kushindwa kugeuza watu kuwa mtaji wa taifa. China, India na mataifa mengine yamejenga nguvu kubwa ya soko na uzalishaji kupitia watu wao. Mtoto anayezaliwa leo si “mzigo” wa kudumuakipata elimu, afya, lishe, ujuzi na ajira, baada ya miaka 20 anaweza kuwa mfanyakazi, mzalishaji, mlipa kodi, mbunifu na mjasiriamali.
Hata World Bank inakiri kuwa idadi kubwa ya vijana Tanzania inaweza kuwa fursa ya kuongeza ukuaji wa uchumi kupitia demographic dividend ikiwa vijana wataelimishwa, watakuwa na afya na kupata fursa za uzalishaji.
Kwa hiyo tusiseme “tusizalishe watoto tusioweza kuwahudumia”; tuulize: kwa nini uchumi wetu na mifumo yetu ishindwe kumjengea Mtanzania anayezaliwa leo uwezo wa kuzalisha zaidi ya gharama ya kumlea? Taifa halitajengwi kwa kupunguza watu pekee; linajengwa kwa kuongeza thamani ya kila mtu.
Hii haijakaa sawaHuyu anaelewa ila Kuna wapumbavu wengi sana huko Halmashauri hawajui kazi Yao ni ipi kama Serikali badala yake wanafanya kazi za kushindana na Wananchi eti kujenga maduka,sijui parking and such many nonsense kama hizi 👇👇
View: https://www.instagram.com/reel/De349BdxqUF/?xtok=d2l5aGo5YmI5ajRn
Ngoja ajibuUtabadilisha watu kuwa mtaji Kwa kuflya hayo aliyoeleza Kafulira? Unajua wajibu wa Serikali lakini?
Wewe unaonaje?Sasa kama si sahihi...kodi zinazokusanywa ni za kulipa mishahara na posho tu na kununua magari ya kifahari?
AjabuHuyu anaelewa ila Kuna wapumbavu wengi sana huko Halmashauri hawajui kazi Yao ni ipi kama Serikali badala yake wanafanya kazi za kushindana na Wananchi eti kujenga maduka,sijui parking and such many nonsense kama hizi 👇👇
View: https://www.instagram.com/reel/De349BdxqUF/?xtok=d2l5aGo5YmI5ajRn